Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

Mkuu hawa wenye kutokwa na jasho wakitafuta habari za Lissu huko nje, ni wanasiasa uchwara tulionao nchini mwetu.

Wanajaribu kutengeneza mazingira ya Tanzania kuonekana ni nchi yenye kufaa kutengwa na shughuli zote za kimataifa, bahati mbaya ni kwamba tunaopiga magoti na kuiombea mema awamu hii ya tano, tupo wengi sana.
Kabisa mkuu
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Albadir ya anza kufanya kazi ....!!
Si mlikuwa mnasema magu anajulikana nakuipaisha Tanzania dunia nzima? Sasa hivi baada ya tukio la lissu, mnasema Tanzania haijulikani duniani
 
Mkuu, inaonekana unapenda giza kuliko nuru, kama wewe huoni utadhania hivyo unavyodhani kuwa dunia nzima hawana macho kwa kuwa wewe ni kipofu na uko gizani.

Vv
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Inawekana ww ni kati ya watu wasiojulikana
 
MAZWAZWA ndivyo walivyo Mkuu! Hawajui wasemalo wamebaki kutoa povu tu.

Si mlikuwa mnasema magu anajulikana nakuipaisha Tanzania dunia nzima? Sasa hivi baada ya tukio la lissu, mnasema Tanzania haijulikani duniani
 
ila magufuli alisifiwa na trump ndio kinachojulikana duniani,crazy bald head wewe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?

Hao jamaa wanamaanisha dunia ya manyumbu inayotaka kumfanya liso mtu maarufu, lakini si dunia ambayo ni sayari tunayoishi.
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Ndiyo Tanzania ya Mgfool haijulikani lkn Tundu Lissu anajulikana!
 
Back
Top Bottom