Tanzania haijulikani Duniani kiivyooo kama magazeti yetu yanavyoripoti eti Dunia nzima ni Tundu Lissu tu!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
 
ni kweli Tanzania haijulikani kiivyo lakini dunia nzima inamtambua TUNDU LISSU
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
Kwani nguruwe anajua thamani ya almasi?
Mchanganyie kwenye pumba ataivurumisha kwenye matope akisaka vipande vya uozo wa nafaka.
 
Sasa we kinachokuuma ni nini??!
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu tramadol ni wa kupuuzwa tu, kila asubuhi yeye na Tundu Lissu !!mwache Lissu augue pole mmeshamuumiza!!

Hata Nelson Mandela waliokuwa wanajikomba kwa makaburu walimpinga!! Hatukushangai tramadol
 
Yule Mchina wenu aliposema dunia yote inamtambua JPM vipi CNN walitangaza? Au mna dunia ya aina yenu nyie Wakomunisti?
 
Huyu tramadol ni wa kupuuzwa tu, kila asubuhi yeye na Tundu Lissu !!mwache Lissu augue pole mmeshamuumiza!!

Hata Nelson Mandela waliokuwa wanajikomba kwa makaburu walimpinga!! Hatukushangai tramadol
Anza wewe.mbona unanifuata.
 
Naona waandishi wetu wamekazana kweli kutafuta taarifa za Tundu Lissu zilivyoripotiwa nje ya nchi.

Maajabu hata mtu mmoja kutoka nchi fulani aki tweet tu basi inachukiliwa eti huo ni mtandao nao ulioripoti habari ya Tundu Lissu.

Lengo la wana habari ni kuifanya taarifa ya Tundu Lissu kuwa Dunia nzima imekuwa inaripoti kwahiyo ni taarifa kubwa sana.

Hata CNN hawajaripoti tu halafu tumetoka mishipa ya shingo eti Dunia nzima ni Lissu tu.

Watanzania tuna shida sana Mimi sijui lengo la waandishi hawa ni nini sijui?

Wewe ni mfano wa mtanzania ila sio mtanzania I believe watz wakiambiwa watoke mbele najua huwezi toka
 
Eti wana msemo Dunia imesema halafu wanaweka screenshot mbili tofauti kutoka kwa mtu mmoja
 
Pambana na hali yako ila msituletee ujinga hapa eti Tundu Lissu Dunia nzima.Hata CNN wenyewe sijaona hiyo news mmekazana tu kutuletea news za kitoto hapa.
Nakushangaa wewe badala ya kupambana na hali yako, bize unapambana na uhai wa Lissu!
 
Back
Top Bottom