Tanzania government condemns Israel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania government condemns Israel

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jun 4, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,069
  Likes Received: 5,194
  Trophy Points: 280
  THE Government of Tanzania has strongly condemned Israel's attack on a Turkish flotilla bound for Gaza strip last Monday, saying such action is inhuman, provocative and offensive.

  A statement released today by the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation, said that the government had received reports of the attacks with great shock and sadness.


  ''The government of the United Republic of Tanzania considers the disproportionate attack against a humanitarian mission as a clear violation of international law and at the same time aggravates the suffering of the civilian population in Gaza.


  ''The government has received with great shock and sadness reports that the Israeli naval forces attacked a Turkish flotilla which left 10 activists dead leaving 50 others injured,'' the statement reads.


  It further states that the continued Israeli blockade of the coastal territory unfairly hurts the people of Gaza.


  ''The government believes that the
  unprovoked action taken by Israeli military is a dangerous step that exacerbates tension and undermines peace efforts in the Middle East,'' the statement reads further.

  In this regard, the government is very concerned with the Israeli actions of deliberately hampering international efforts to resolve the long standing conflict in the region, according to the statement.


  ''The Tanzanian Government joins the international community to take firm and immediate action by conducting an inquiry into the matter,
  along side calling for the government of the state of Israel to lift its blockade imposed on the Gaza strip and to allow safe passage for humanitarian relief for the innocent civilians,'' concludes the statement

  Source: Daily News

  My Take:

  Really? Unprovoked?
   
 2. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #2
  Jun 4, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,975
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ndio utafiti uliofanywa chini ya Membe.
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,125
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tanzania nayo kwa kukurupuka, wao wanajua kwanini Israel imefanya hayo? Mbona serikali ya Tanzania ilikwenda kumtwanga Rais wa Kisiwa cha Anjuani na hakuna aliyeikoromea. Leo yenyewe inaingiaje kukoromea Israel? Hiki ni kimbelembele tu!!
   
 4. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kulikuwa na haja ya ka nchi kama Tanzania kutoa hilo tamko?
  Au Membe aliona thread ya mtu mmoja aliuliza humu kwa nini serikali haijatoa tamko au inasubiri msimamo wa Marekani ndio wakakurupuka?
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  :painkiller:wamejitahidi kuandika ili kuwapoza "WATU FULANI HIVI.."sitaki kuwataja, hapa tz..wala haitoki moyoni...kwasababu hawana point hata moja..to be fair, kitu ambacho walitakiwa kukisema ni kwamba, israel walitakiwa kuwa wapole kidogo na wangewavumilia wale watu wakaidi waliokuwa wanataka international publicity....ila sio kusema kuwa kulikuwa na clear violation of international law...HIVI HAWA VILAZA wanasheria wa wizara ya mambo ya nje ni kina nani?...ni mwanasheria gani anaweza kuongea kuwa umevunja kifungu cha sheria bila kukitaja? which international humanitarian law israel has violated? they were supposed to mention it jamani au siyo....sasa hao wanasheria walioko wizara ya mambo ya nje, hawajui sheria za kimataifa? kama wanajua mbona hawajataja? kama hawajaitaja, je ipo iliyovujwa? kama ipo, naomba nipeni ipi sheria imevunjwa hapo..HAKUNA SHERIA YA KIMATAIFA IMEVUNJWA HAPO na selikali yetu inaonyesha namna gani ilivyo kilaza kwa kila kitu kuanzia mambo yetu sisi wenyewe ya ndani hapahapa hadi kwenye mambo ya kimataifa...

  pia, kwani israel ina wahusu nini Tz wakati tangu zamani Tanzania amekuwa adui wa israel? ndio maana israel waliweka ubalozi Kenya, ubalozi mkubwa tu...lakini Tz hakuna ubalozi,...kuna kaofisi tu ambako kanatusaidia sisi wakristo tunapokwenda kutembelea israel, nakama wakristo tusingekuwa tunapata shida kwenda kenya kupata visa, hata hako kasingekuwepo kwasababu moja ya nchi ambazo Israel wanajijua si marafiki ni Tanzania, sasa maneno yanawatoka mdomoni kwa watu ambao hata hawana uhusiano nao....hawa ni wagumu wa kufikiri kwenye selikali yetu..KAMA KUNA MTU ANAJUA ISRAEL WAMEVUNJA SHERIA YA KIMATAIFA AITAJE HAPA ILI NA MIMI NIMWAMBIA UKWELI ULIVYO...acheni soga za kina kikwete...

  however, kama nilivyosema mwanzo, walikuwa wanajikosha tu kuwaonyesha watu fulani kuwa wanajali...ila hawana hata msingi wowote kuongea kama walivyoongea, labda wangekuwa wamesema kuwa israel walitakiwa kuwa wapole kidogo na sio kusema wamevunja sheria ya kimataifa, kuongea hivyo wameonyesha ukilaza na umbumbumbu wa kutokua sheria ya kimataifa,wangeenda kumwuliza hata Prof Mainda peter pale udsm nafikir angewasaidia...
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Yes, unprovoked. According to reports by various independent newtorks -- except those of israel itself -- the ships were in international waters (not Israel territorial waters) and that the activists were unarmed. It was the israel commandoes who descended of the ships' decks with guns blazing --- killing undiscrimnately. Tell me -- how were these Israel comandos PROVOKED by the ships' passengers? We never heard that the passengers/activists fired at the Israel naval vessels first!
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jun 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Wanaharakati walionywa kabla na Israel wasipeleke misaada yao Gaza wakashupaza shingo, wakachukua misaada, nondo na visu kuelekea Gaza! Njiani wakakumbana na makomandoo wakaanza kuwashambulia kwa nondo na visu ndipo walipopewa kichapo!
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jun 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,069
  Likes Received: 5,194
  Trophy Points: 280
  serikali ya Tanzania itatoa tamko kwa meli nyingine inayoenda tena huko kuchallenge Israeli... hawaoni huko ni kuprovoke..?
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Here we go again. nimejaribu kutafuta nchi iliyotoa statement ya kusapoti kitendo cha Israel sijaipata -- naomba mnisaidie jamani. Hata US na nchi za EU aidha zimewkaa kimya au (mfano US) imetoa a careful worded statement ya kulani. UN Security Council, chombo ambacho US inakitumia itakavyo kwa kuwa nacho ushawishi mkubwa pia ilitoa statement ya kulani. Tanzania ingekuwa nchi pekee kusapotiu openly!
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Jun 4, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Wanaharakati walionywa kabla na Israel wasipeleke misaada yao Gaza wakashupaza shingo, wakachukua misaada, nondo na visu kuelekea Gaza! Njiani wakakumbana na makomandoo wakaanza kuwashambulia kwa nondo na visu ndipo walipopewa kichapo! Sasa hapa nani mchokozi?
   
 11. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,042
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  To be sincere, this people (Membe and his buddies) must be crazy.
   
 12. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Israel ilisha withdraw from Gaza strip tangu 2004 kutokana na makubaliano ya amani. Kwa meli zake za kivita kuwako katika territorial waters za Gaza ni provocation inayotokana na ubabe tu, si kingine. nakubaliana pia na mnchangiaji mmoja hapo juu aliyesema: who fired first on that fateful day?
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,941
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Mfupa umemshinda fisi huo mbwa koko atauweza?
   
 14. W

  WaMzizima Senior Member

  #14
  Jun 4, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ni uonevu wa wazi na ni wajibu wa serikali yetu kupinga hicho kitendo cha kigaidi cha Israel na hata US wamecodemned hiyo (refer Mrs clinton comment). Ni wazi kuwa huu ni uonevu sababu kuu;
  • Meli ilikuwa international waters
  • Hawakuwa na silaha
  • Makomandoo wa Israel walivamia na kuanza kuwapiga risasi raia ambao walikuwa hawana silaha
  • Israel inakalia Gaza kimabavu na kinyume na sheria zote za kimataifa hili ni jambo ambalo wapenda amani duniani kote tunalipinga.
  • Haihusiana na dini hapa ni swala la watu wa Gaza kuwa na uhuru wao kama sisi wengine ambavyo tunafaidi uhuru wetu bila kubugudhiwa.
  • Hii meli ilikuwa inapeleka misaada ya kibinadamu sasa ni kwanini Israel itumie makomandoo kuwavamia na kuwaua?
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nikikumbuka, hata baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (General Assembly) lilitoa statement ya kulani kitendo cha Israel. Hakuna nchi mwanachama yoyote ilisikika ikisema pembeni inapinga statement hiyo. Pengine hizo nchi kama zipo, basi zinawakilishwa na akina Mwanakijiji, Buchanan, Ubungoubungo na wengineo.
   
 16. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Na tusisahau kwamba tangu enzi za Awamu ya kwanza chini ya Mwl Nyerere, msimamo wa serikali yetu ilikuwa inaunga mkono harakati za Wapalestina kukomboa ardhi yao. Imekuwa hivyo hadi leo na ndiyo maana serikali iliruhusu Palestrina kufungua ofisi ya ubalozi wao hapa -- miaka mingi tu.

  Sidhani iwapo sera hii ya serikali kuhusu suala la Wapalestina imebadilika.
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,042
  Likes Received: 1,204
  Trophy Points: 280
  Mie nafikiri serikali yetu inakua kinafiki sana

  Ingebidi kumlaani Tendwa kwanza kuwazingua CCJ, ndo waje kwenye mambo makubwa.
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ongelea international law ipi imevunjwa hapo..hata nchi zingine zimelaani tu lakini hazijataja international law...kwasababu wanazijua international law, sasa wanasheria wa ministry of foreign affairs hiyo international law iliyokuwa violated ni ipi?

  unasema meli ilikuwa kwenye international waters...and so what....kama inaleva madhara kwa israel in maana sheria ya vita vya majini inakataza kupigana kwenye international water?unachotakiwa kujua ni kwamba, hawa watu walikuwa mwanzoni civilians lakini waligeuka kuwa hostile baada ya kuanza kuwashambulia makomandoo, na kama civilian akiwa hostile anageuka kuwa military target kisheria ya kimataifa....na wale jamaa baada ya kuwashambulia wanaharakati, walikuwa wanastahili walichopata...makomandoo wasingeacha hivihivi watu wanaowashambulia kwa silaha..

  unasema hawakuwa na silaha, visu, nondo etc walizokuwa wanawapiga makomandoo, ni nini?..ndo maana makomandoo walipoona wanataka kufa kwa kipigo walianza kujirusha kwenye maji ili pengine waogelee waokoe maisha yao..baada ya hapo ndo IDF wakaona kuna umuhimu wa kurusha risadi toka kwenye helikopita..kama hao jamaa wangetulia kimya tu hakungekuwa na madhara yoyote

  jumuiya nzima ya kimataifa inatambua kuwa Gaza iko mikononi mwa israel, na kwa taarifa yako, muda mwingi israel wanajaribu kukataa kuwa wanacontrol gaza na jumuiya ya kimataifa ndo inawashutumu kuwa gaza iko mikononi mwa israel, hivyo hata israel hawapendi kuwa juu ya gaza ndo maana waliondoka kuwaachia wapalestina...lakini kwasababu wanacontrol kile kitu kuanzia maji,mafuta, umeme, uingizwaji wa meli kila kitu, hata jumuiya ya kimataifa inajua kuwa israel iko responsible kwaajili ya hili...soma GOLDSTONE REPORT utajua kuwa gaza iko mikononi mwa israel..

  kupeleka misaada haimaanishi unatakiwa kuwa mbabe...ukipeleka misaada unatakiwa kufuata sheria, huwezi kuvunja sheria kwasababu ya misaada yako..

  unaongea bila vithibitisho vyovyote, unaposema hawakuwa na silaha, hawakuwashambulia makomandoo, unaposema walishambuliwa na IDF...huna point bora ungekaa kimyaa...
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  brother, tuache ufupi wa mawazo..ongea kama msomi...unasema kuwa walikuwa unprovoked, unajua kuwa walikuwa wamepewa onyo, na walikaidi na wakawaprovoke israel wakijua hawatawafanya chochote? unaelewa wewe?....israel ilikuwa na right ya kuingia kwenye meli na kuwakamata wale waliokuwa wakaidi...you are the only person who haven't heard that the commandors were attacked by the activists..that means you live in an island with no news?.....the activists attacked the IDF and the israelis had a right to defend themselves..
   
 20. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...