Tanzania government condemns Israel

Tanzania government condemns Israel

hata huo ujumbe haujawafikia israel kwasababu sisimizi hana sauti ya kumwita tembo hadi akasikia..afterall, israel hawana interest yoyote toka tz na hatuna uhusiano wa maana hivyo watacheka kweli wakisikia masikini wa tz wanahangaika na hili..
 
badala ya kuhangaika na umasikini unaoitesa nchi, wanahangaika na israel...lakini wamefanya la maana ili kuwapiga changa la macho watu fulani hivi, pamoja na waarabu..si unajua wakati mwingine unaweza kumtandika mtoto wako kibao...baadaye unamwambia polee polee mwananguuuu unamwongelea maneno ya kinafiki ananyamaza na maisha yanaendelea, kesho yake akifanya kosa tena, kibao...

sasa selikali ifanye nini, wakati kama haitalaani israel, waarabu hawatawaelewa, watu fulani hivi hapa tz hawatawaelewa..so ili kuwapiga changa la macho waone kama selikali inajali, wanaamua kuongea tu ivyoivyo...ili kuwapunguza hasira...pamoja na kwamba taarifa iyo imeishia zanzibar au tanga..hata israel wenyewe sijui kama itawafikia manake wengine hawajui tz iko wapi pengine wanajua iko carrebeans...
 
Wayahudi si mchezo wana lobbies kila seheme duniani!Hata JF kweli hao watu sio wakuchezea!
 
Huu ni uonevu wa wazi na ni wajibu wa serikali yetu kupinga hicho kitendo cha kigaidi cha Israel na hata US wamecodemned hiyo (refer Mrs clinton comment). Ni wazi kuwa huu ni uonevu sababu kuu;
  • Meli ilikuwa international waters
  • Hawakuwa na silaha
  • Makomandoo wa Israel walivamia na kuanza kuwapiga risasi raia ambao walikuwa hawana silaha
  • Israel inakalia Gaza kimabavu na kinyume na sheria zote za kimataifa hili ni jambo ambalo wapenda amani duniani kote tunalipinga.
  • Haihusiana na dini hapa ni swala la watu wa Gaza kuwa na uhuru wao kama sisi wengine ambavyo tunafaidi uhuru wetu bila kubugudhiwa.
  • Hii meli ilikuwa inapeleka misaada ya kibinadamu sasa ni kwanini Israel itumie makomandoo kuwavamia na kuwaua?

Na waPalestina woooote sio wa Gaza tu, ni wote waliichagua HAMAS katika uchaguzi halali na wa
kidemokrasia kuiongoza nchi yao hapo Januari 2006. Hakujawahi kuwa na uchaguzi mwengine tangu hapo.
Hivyo HAMAS ni serikali halali ya Palestina na FATAH ndio watawala haramu kwa maana hawakuchaguliwa
na waPalestina wenyewe. FATAH wanalazimishwa tu na waZayuni na waMagharibi ili kuendelea kuwakandamiza waPalestina (puppets)

Ukandamizaji huu unafanywa dhidi ya waPalestina wooote na huku kujidai kutumia propaganda na
brainwashing kwamba eti haya ni dhidi ya HAMAS administration ni janja ya kipumbavu ambayo waZayuni
wenyewe, mafedhuli waKimagharibi, waigaji-igaji miongoni mwetu kama Ubungoubungu and Buchanan
mentalities na wenzao wengine (brainwashed) woote mnajua kwamba "haina maana yoyote, it does not
make any sense" na mnajidanganya na kujaribu kudanganya watu, bali mna accept tu na kuifanya ionekana
ni "reality" kama vile mnavyo-accept uvundo mwengine mwingi tu ijapokuwa una-contradict na ku-violet
your own intellect and reason. Fortunately stupid tricks za namna hii ni very unsustainable and usually bump
into big supprises.

You can only fool people sometimes but not all the time.
 
Na waPalestina woooote sio wa Gaza tu, ni wote waliichagua HAMAS katika uchaguzi halali na wa
kidemokrasia kuiongoza nchi yao hapo Januari 2006. Hakujawahi kuwa na uchaguzi mwengine tangu hapo.
Hivyo HAMAS ni serikali halali ya Palestina na FATAH ndio watawala haramu kwa maana hawakuchaguliwa
na waPalestina wenyewe.
FATAH wanalazimishwa tu na waZayuni na waMagharibi ili kuendelea kuwakandamiza waPalestina (puppets)

Ukandamizaji huu unafanywa dhidi ya waPalestina wooote na huku kujidai kutumia propaganda na
brainwashing kwamba eti haya ni dhidi ya HAMAS administration ni janja ya kipumbavu ambayo waZayuni
wenyewe, mafedhuli waKimagharibi, waigaji-igaji miongoni mwetu kama Ubungoubungu and Buchanan
mentalities na wenzao wengine (brainwashed) woote mnajua kwamba "haina maana yoyote, it does not
make any sense" na mnajidanganya na kujaribu kudanganya watu, bali mna accept tu na kuifanya ionekana
ni "reality" kama vile mnavyo-accept uvundo mwengine mwingi tu ijapokuwa una-contradict na ku-violet
your own intellect and reason. Fortunately stupid tricks za namna hii ni very unsustainable and usually bump
into big supprises.

You can only fool people sometimes but not all the time.

poor argument...usifikiri wapalestina wanaishi gaza tu, umesahau westbank...so unaposema kuwa HAMAS ndo selikali halali kwasababu ilichaguliwa na wapalestina wote, unakuwa haujui unachoongea, pia unaposema FATAH imewekwa na wamagaribi na wazayuni, unakosa point kwasababu kama ndo hivyo abas asingelaani hii kitu juzi...unahitaji kwenda shule ukasome ndo uje uchangie hii mada.

however, jamani mimi ni mwanadamu, kusema ukweli, wapalestina wanapata shida, na ninawaonea huruma toka moyoni kabisa, ila sasa, nashindwa kuelewa kwanini wanajiweka kwenye wakati mgumu wao wenyewe? kwanini waliichagua hamas wakijua kuwa ni chama radical kitakachosababisha ugomvi na israel ugomvi utakaowapelekea wao raia kuumia, kwanini walifanya hivyo jamani kwasababu raia ndo wanapata shida....basi, siku nyingine wasichague chama kitakacholeta matatizo, kama wakifanya hivyo tena basi, itakuwa ni juu yao.
 
hata huo ujumbe haujawafikia israel kwasababu sisimizi hana sauti ya kumwita tembo hadi akasikia..afterall, israel hawana interest yoyote toka tz na hatuna uhusiano wa maana hivyo watacheka kweli wakisikia masikini wa tz wanahangaika na hili..

Lengo la ujumbe siyo Israel -- ni jumuia ya kimataifa -- ijue kwamba Tz iko pamoja na Wapalestina wanaoonewa. Tz imedungana tu na jumuia hiyo -- whether israel listens or not.
 
poor argument...usifikiri wapalestina wanaishi gaza tu, umesahau westbank...so unaposema kuwa HAMAS ndo selikali halali kwasababu ilichaguliwa na wapalestina wote, unakuwa haujui unachoongea, pia unaposema FATAH imewekwa na wamagaribi na wazayuni, unakosa point kwasababu kama ndo hivyo abas asingelaani hii kitu juzi...unahitaji kwenda shule ukasome ndo uje uchangie hii mada.

however, jamani mimi ni mwanadamu, kusema ukweli, wapalestina wanapata shida, na ninawaonea huruma toka moyoni kabisa, ila sasa, nashindwa kuelewa kwanini wanajiweka kwenye wakati mgumu wao wenyewe? kwanini waliichagua hamas wakijua kuwa ni chama radical kitakachosababisha ugomvi na israel ugomvi utakaowapelekea wao raia kuumia, kwanini walifanya hivyo jamani kwasababu raia ndo wanapata shida....basi, siku nyingine wasichague chama kitakacholeta matatizo, kama wakifanya hivyo tena basi, itakuwa ni juu yao.

Very hopeless reasoning and ignorant of historical facts. walichagua hamas kwa sababu Fatah ilikuwa tayari mesha kuwa compromised na israel govt. Walikuwa hawafanyti chocote cha maana kuhusu upatikanaji wa amani mbali kumkaribisha Madeleine Albright au Condoleeza Rice kila mara, huku wapalestina wengi (majority yao ni wale wa Fatah wa West Bank) wakizidi kusekwa ndani kwa kosa la kudai haki yao, na huku Wayahudi wanazidi kujenga makazi yao kwenye ardhi ya Wapalestina wakikiuka wito wa jumuia ya kimataifa ikiwamo Marekani yenyewe, sapota wao mkubwa. Wakaona ni bora wajiunge na Hamas, potelewa mbali, kwani kama kufa ni kufa tu kwani Israel kamwe haiwezi kutoa ardhi on a silver platter.

Afrika ya Kusini ilibidi wazalendo wengine wafe ili nchi iwe na uhuru wa kikweli kweli. Wangeacha kupigana na kujitolea mhanga ujiumbe usingefika kwqa makaburi kisawsawa. Naamini iko siku Wapalestina nao watakuwa hguru katika ardhi yao.
 
Tanzania nayo kwa kukurupuka, wao wanajua kwanini Israel imefanya hayo? Mbona serikali ya Tanzania ilikwenda kumtwanga Rais wa Kisiwa cha Anjuani na hakuna aliyeikoromea. Leo yenyewe inaingiaje kukoromea Israel? Hiki ni kimbelembele tu!!

i have never heard such nonsense!!!! Tanzania haikwenda kumtwanga risasi Rais wa Anjuan, bali ilituma majeshi, yakisaidiana na mengine ya Afrika kwa maagizo ya AU kuiondoa serikali ya huyo rais wa Anjuan ambayo haikuwa halali -- kwa mtazamo wa AU!!!! Huyu mtu Vangi vipi?????
 
Hivi ni kanuni gani inaruhusu uvamizi wa nchi nyingine?

Upuuzi tu!
 
brother, tuache ufupi wa mawazo..ongea kama msomi...unasema kuwa walikuwa unprovoked, unajua kuwa walikuwa wamepewa onyo, na walikaidi na wakawaprovoke israel wakijua hawatawafanya chochote? unaelewa wewe?....israel ilikuwa na right ya kuingia kwenye meli na kuwakamata wale waliokuwa wakaidi...you are the only person who haven't heard that the commandors were attacked by the activists..that means you live in an island with no news?.....the activists attacked the IDF and the israelis had a right to defend themselves..

Walipewa onyo kama nani wao! Sure onyo lilitoka kwa mbabe wa sehemu hiyo. Na mbabe ni mbabe tu, hajishugfvhulishi kuona haki inatendeka. Sapota mkubwa wa israel, Marekani, naye ni mbabe tu -- hujifanyia mambo inavyotaka, ingawa lakini nayo hupingwa, kama vile ulimwengu ulivyoipinga kuivamia Iraq 2003, hadi ikaamua kulizunguka baraza la usalama walipoona haliwaungi mkono. Marekani ilikuwa provoked?

Mfano mwingine -- Marekani ina rekodi pekee ya kimataifa ya kumkamata Rais wa nchi huru na kumpeleka kwake kumfungulia mashitaka na kumfunga! Nothing but ubabe tu huo. Isitoshe mwaka 1986 Marekani, wakati wa Reagan ilituma manowari na kuingilia kimakusudi katika territorial waters za Libya. Libya ingawa ilikuwa dhaifu, ilizikabili ndege za US -- ingawa baadaye Reagan aliamua kuyapiga makombora makazi ya Gaddafi kule tripoli kwa lengo la kummwuua. Hata hivo jumuia ya kimataifa ilikuwa upande wa Libya, siyo upande wa mbabe.

Kwa ufupi ni kwamba mtu akishajiona ni mbabe, basi hajali hbaki tena -- kwani they think maight is always right, which is not true. ,leo hii Israel imejikuta peke yake, almost kwa sababu majority ya nchi duniani zinaona haki haikutendeka katika tukio la nhjuzi.
 
Umenena mkuu. Wababe ni lazima wapigwe vita kila mahali ama sivyo haki itapotea kabisa duniani. Napoleon, Hitler, Hirohito, Mussolini na wengine walitokomezwa pamoja na ubabe wao. Kama dunia Hitler asingepigwa vita sijui dunia hii ingekuwaje hadi leo. Israel isifikiri kwamba itaendelea na ubabe wake milele, na bila shaka sasa polepole inatambua kwamba the world is abandonig it, siyo kwa sababu nyingine isipokuwa ni ubabe wake tu. Siku moja itajikuta hata US itakuwa inamweka kwa mbali, ingawa hii haitakuja leo au kesho.
 
WanaJF: The following is an article from America's most respected political newsletter -- 'Counterpunch.'

Israel: Pariah Nation

By ALEXANDER COCKBURN, Washington

As the tv networks here give unlimited airtime to its apologists, the message rolls out that Israel is permitted every illegal act in the lexicon of international law, from acts of violence against a civilian population (the people of Gaza, starved under permanent blockade) to piracy on the high seas and the lethal attacks by Israeli commandos on the relief flotilla. The guiding purpose in this tsunami of drivel is that the viewers should be brainwashed into thinking Israel somehow has the right and the duty to act at will as the mad-dog of the planet.

Israel regrets… But no! Israel doesn't regret. It preens and boasts and demands approval – which it duly gets from its prime sponsor, the United States government, and most of the press. As former US senator Jim Abourezk remarked on this site last week "It's very much like the bully who, after punching someone smaller in the jaw, requires the victim to apologize for getting his face in the way of the bully's fist."

Two points need stressing. Some of the critical commentary suggests that Israel's murderous onslaught on the Mavi Marmara represents a qualitative escalation in that nation's brazen criminality. Scarcely. Brazen criminality coincided with the establishment of the state in 1948. Only last week I reminded CounterPunchers of the lethal onslaught on the USS Liberty in 1967 which killed 34 and wounded 173.

The attack on the Mavi Marmara was carefully planned. As Max Blumenthal reports on his website,

Tel Aviv-Israel Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and his senior ministers have attempted to blame army commanders for "the bungled raid on a Gaza-bound flotilla," according to the UK's Daily Telegraph. …

But was the raid really bungled? Did the Israeli military command and Netanyahu government have no clear strategy going in? Or was the violence they meted out against the flotilla activists deliberate and methodically planned?

Statements by senior Israeli military commanders made in the Hebrew media days before the massacre revealed that the raid was planned over a week in advance by the Israeli military and was personally approved by Prime Minister Benjamin Netanyahu and Minister of Defense Ehud Barak. … Details of the plan show that the use of deadly force was authorized and calculated.

The massacre of activists should not have been unexpected.

On May 28, three days before the raid, top Israeli military officials revealed details of their strategy to Maariv, Israel's most widely circulated paper. The caption of the Maariv article reflected the military command's plan to use force: "On the way to violence; one of the boats is on its way."

In the opinion of much of the world, Israel is descending to the status of South Africa in the final years of apartheid (in which period, it has just emerged, Israel was trying to sell South Africa nuclear weapons) – a pariah nation.

In February the Tel Aviv–based Reut Institute presented a big report to the Israeli cabinet, long in the making, called "The Delegitimization Challenge: Creating a Political Firewall." It has sinister recommendations for a strategy of "offense." Israel's government is embarking on a methodical assault on human rights groups and kindred NGOs seen as delegitimizers. It's not paranoid to expect COINTELPRO-type black-bag jobs sponsored by Israel on solidarity groups here and around the world.

Israel is plunging into deeper darkness. As the Israeli journalist Gideon Levy recently told one interviewer: "In the last year there have been real cracks in the democratic system of Israel.… It's systematic-it's not here and there. Things are becoming much harder." And Levy also wrote in Ha'aretz, "When Israel closes its gates to anyone who doesn't fall in line with our official positions, we are quickly becoming similar to North Korea. When right-wing parties increase their number of anti-democratic bills, and from all sides there are calls to make certain groups illegal, we must worry, of course. But when all this is engulfed in silence, and when even academia is increasingly falling in line with dangerous and dark views…the situation is apparently far beyond desperate."

Who's In Charge Here?

Americans don't care to have a wimp in the White House. They'll take almost any outlandish vulgarity from their commander in chief and give him a positive job-rating. But wimpishness? No. Until Obama, the last president to earn wimp ranking was Jimmy Carter whose chances of reelection thirty years ago expired when he gave wimpish speeches about America's "malaise" and was photographed beating off a rabbit that swam up to his canoe and tried to board it.

Obama isn't in that sort of trouble yet, but he's drifting close.

The fates soon sniff out wimps and deal them bad cards. Obama was all set to make a big speech in Chicago on Memorial Day. Not only was the speech rained out but he started quavering to the crowd about the danger of lightning before scuttling off with his Secret Service guards and getting bogged down in a traffic jam.

One of America's greatest heroes is Ben Franklin – featured on that symbol of optimism, the hundred dollar bill -- who made a sporting effort to fry himself, courting a lightening bolt with his kite.

Wimps can't emote convincingly because they're worried about going too far.

The White House press corps – until recently without a presidential press conference for ten months – quizzes Obama's press secretary about Obama's evident inability to project anger about BP's oil spill, now bidding to be the greatest environmental disaster in the nation's history. Obama's flack claimed his boss was "enraged" at BP. "Can you describe it?" asked Chip Reid of CBS. "Does he yell and scream? What does he do?" The best Gibbs could offer was evocation of Obama's "clenched jaw".

At least half of any US president's job is play-acting, pretending to be in charge, on behalf of We the People. Most of what actually happens in America is beyond any president's ability or political inclination to control.

The banks run the finances. The oil companies and Israel vie for control of US foreign policy. The arms companies arrange the wars. The insurance companies figure out who should live or die.

Bill Clinton was so servile to big business that he took a phone call from a Florida sugar baron, even though Monica Lewinsky was giving him a blow-job when the call came in. He surely shocked the feisty intern with his obsequious manner as the baron issued a crisp command to kill off Al Gore's impertinent talk about environmental clean-up of the Everglades. But Clinton could still scream and throw his weight around in the manner expected of a president.

The all-time presidential champ at bullying was Lyndon Johnson who once lifted up the Greek ambassador by his lapels and snarled at him, ""*** your Parliament and your Constitution. America is an elephant. Cyprus is a flea. Greece is a flea. If those two fleas continue itching the elephant they may just get whacked by the elephant's trunk. Whacked good...."

But Johnson was as servile to the Texas oil kings – most notably the Murchisons – as Clinton was to the sugar baron Alfonso Fanjul. LBJ would delightedly unwrap the bundles of cash Murchison regularly sent up to him.
Obama isn't into lifting anyone up by the lapels. It's the other way round. Week after week he's being hoist off the floor of the Oval Office and thrown against the wall, by everyone from Jamie Dimon of JPMorgan to Benjamin Netanyahu. When Obama tries to bark, it comes out as a yip, like a Chihuahua aping a pit bull.

A year ago Obama gave his famous speech in Cairo, addressing the Muslim World in a constructive manner. He vowed "to seek a new beginning between the United States and Muslims around the world", declaring, "Islam is a part of America" and "is an important part of promoting peace."

It was a great act, but one utterly disconnected from the realities of American politics. Wimps love to be crowd-pleasers. But a year later the crowd – world opinion, in this instance – is remembering the speech as one betrayed commitment after another.

It's clear enough the White House knew of the impending Israeli attack on the relief flotilla and contented itself with a private, purely pro forma call for restraint. In other words, a green light. It may even encouraged the lethal violence, as its own signal to Turkey that its initiative with Brazil to defuse the Iran crisis had not found favor with the US government.

The public White House response to Israel's international piracy was comical in its wimpishness. "The United States deeply regrets the loss of life and injuries sustained and is currently working to understand the circumstances surrounding this tragedy," deputy White House press secretary Bill Burton demurely declared in Chicago.

A friend of mine gave a good parody of the servile posture of the US government and press: "I think," he wrote to me, "that matters are close to the point where if Hillary Clinton and a group of senior American officials were meeting the Israeli leaders for negotiations, and Netanyahu expressed his displeasure at the American positions by pulling out a gun and shooting her dead, then having the entire American delegation beaten to death by his security guards, there would probably be a small item buried in the next days' American newspapers that due to conflict with the Israelis, Obama had decided to nominate a new Secretary of State."

There's a political price to be paid for manifest wimpery. Obama is running up a hefty bill.

A Deadly 9/11 Cover-Up

In our latest newsletter, hot off the press - What do the W.R. Grace Company, the Trade Towers, Libby Montana and asbestos have in common? Andrea Peacock weaves the fatal threads together in a brilliant investigation. The terrible bottom line:

"If asbestos-related diseases begin showing up in rescue workers and others exposed at Ground Zero in the next few years, there's little doctors can do about it. There's medication to ease the symptoms of asbestosis – in which scar tissue caused by asbestos fibers gradually suffocates victims – but no cure. Those with lung disease can forestall the inevitable decline by taking care of themselves: quit smoking, get plenty of exercise to keep their lung capacity as high as possible. It could take another 30 years for mesothelioma cases to manifest – an asbestos-related lung cancer that kills fast once it hits. The full legacy of that day, for which W.R. Grace now bears some responsibility, will be unfolding for decades. "
 
Umenena mkuu. Wababe ni lazima wapigwe vita kila mahali ama sivyo haki itapotea kabisa duniani. Napoleon, Hitler, Hirohito, Mussolini na wengine walitokomezwa pamoja na ubabe wao. Kama dunia Hitler asingepigwa vita sijui dunia hii ingekuwaje hadi leo. Israel isifikiri kwamba itaendelea na ubabe wake milele, na bila shaka sasa polepole inatambua kwamba the world is abandonig it, siyo kwa sababu nyingine isipokuwa ni ubabe wake tu. Siku moja itajikuta hata US itakuwa inamweka kwa mbali, ingawa hii haitakuja leo au kesho.

mkuu uwe unafanya utafiti wa kutosha hawa watu kama wangeendelea kuwa hai hadi waleo dunia ingekuwa paradiso,unafanya mchezo na Hitler ama Musolini! em jiulize hawa wa Israel jeuri ya kuua wanaharakati wangeipata wapi ?
 
Jamani huko Gaza ni kugumu sana Israel na hao Gaza,Palestine kuna matatizo makubwa sana kwa ukaribu nadhani kila mmoja wetu atasema akijuacho, Me nadhani hawa watu wa gaza ukiwapa mwanya wa kuruhusu misaada kuja ni ndio umeruhusu uingizaji wa siraha katika ukanda huo na ndio mwanzo wa kuruhusu ma spy wa nchi za kiarabu kuingia na kutaka kuichunguza Israel kwani kuna baadhi na sio baadhi tu bali wengi wa wapalestine huenda Israel kufanya kazi na kurudi palestine na ndipo hapo watakapo patia mwanya maana mwaelewa fika kabisa mataifa mengi ya kiarabu ni maadui wakubwa wa Israel sasa mkitaka wa Israel walegeze kamba kweli amini nawambieni wa Israel watateketea wote na ndio maana wana linda huo ukanda wa bahari Uko Gaza. Kama wapalestine wanaweza kuchimba aridhi chini kwa chini na kutokezea upande wa gaza au karibu na Egypt ili kuvusha siraha iweje wasiweze kuzivusha siraha kupitia meli za misahada? kwa kweli mie huko Gaza,Palestine ,Israel ni kugumu sana wao wenyewe ndio watakao sitisha vita Israel wakijitoa na kusema twawapa nafasi na watoka maeneo wapalestine wanata haitopita miezi utasikia wapalestine wamerusha makombora kueleke Jerusalem na ndio huo huo mji nao wapalestine wanautaka iwe Capital City yao wakati huo huo ni waisrael hawakubariani na hilo hapo si tumerudi kibindi cha Abraham na wane Issac (mtoto wa Sarah) na Ishmael(mtoto wa Hagar "Kijakazi") ambae ndie mkubwa wa Issac. soma hiyo link for more details Abraham (WebBible
Tutakaa twrumbana sie kwa sie lakini wao wanajuana
 
Kuhusu issue ya nani kam-provoke nani mfano inafaa hapa. Kwani hata darasani, tutor mara nyingi hutoa mifano ku-drive his/her point home:

Nyumba za X na Y ni ziko jirani lakini wenyewe wana uadui wa siku nyingi wakigombea alama ya mpaka na masuala mengine yatokanayo. Wote wawili wanashikilia misimamo yao, lakini Y yuko hali taabani kimaisha.

Z (rafiki wa Y) ameamua kumpelekea msaada na anapofika tu mbele ya nyumba ya Y, X akiwa na bunduki anakurupuka kutoka kwake na kuanza kumshambulia Z kwa risasi, akimtuhumu kwamba ana kisu na mawe mfukoni.

Sasa hapo, ni nani hasa, kati ya X na Z, kam-provoke mwenzake, ikizingatiwa kwamba Z alikuwa tu amefika mbele ya nyumba ya Y akimpelekea msaada?

Let's be reasonable, please!!!!!
 
Very hopeless reasoning and ignorant of historical facts. walichagua hamas kwa sababu Fatah ilikuwa tayari mesha kuwa compromised na israel govt. Walikuwa hawafanyti chocote cha maana kuhusu upatikanaji wa amani mbali kumkaribisha Madeleine Albright au Condoleeza Rice kila mara, huku wapalestina wengi (majority yao ni wale wa Fatah wa West Bank) wakizidi kusekwa ndani kwa kosa la kudai haki yao, na huku Wayahudi wanazidi kujenga makazi yao kwenye ardhi ya Wapalestina wakikiuka wito wa jumuia ya kimataifa ikiwamo Marekani yenyewe, sapota wao mkubwa. Wakaona ni bora wajiunge na Hamas, potelewa mbali, kwani kama kufa ni kufa tu kwani Israel kamwe haiwezi kutoa ardhi on a silver platter.

Afrika ya Kusini ilibidi wazalendo wengine wafe ili nchi iwe na uhuru wa kikweli kweli. Wangeacha kupigana na kujitolea mhanga ujiumbe usingefika kwqa makaburi kisawsawa. Naamini iko siku Wapalestina nao watakuwa hguru katika ardhi yao.

nimepoteza muda wangu kusoma hii post, hivi na wewe ukikaa na mkeo home unajiita una uwezo wa kutoa point kama mwanaume...wapalestina wanaoishi Gaza ni kama milioni moja na laki nne (1,400,000) wakati wale wanaoishi westbank ni kama milioni mbili laki tatu (2,300,000)...sasa na wewe unajitutumua kuwa wapalestina waliowengi waliipa kura hamas? you know what you are talking about hapa mkuu, wale wa west bank hawakutaka fujo, wakachagua chama cha amani kinachotaka diplomacy, hadi leo wanafanya biashara zao vizuri, mabenk hadi chuo kikuu kinafany akazi, na maisha ya west bank ni mazuri kuliko hapa bongo kwa taarifa yako....sasa wale wa hamas, waliamua kuwachagua hamas wanaosema wanataka kudrive israel to the mediterenian sea, na hadi leo wanaishi under blockade kwasababu israel inahitaji usalama wao...

anayewasweka ndani wapalestina wa westbank ni nani, nani anaweza kuwasweka ndani watu milion mili karibia na nusu, izo jela israel itapata wapi...hapa umeongea vapour, bora ungekaa kimya.

ardhi unayoiita ya wapalestina, nani kakwambia ni ya wapalestina, toka lini? kuna kitu chochote cha kihistoria unaweza kusema ile ardhi ni ya wapalestina pale...na walivyo wajinga, hata baada ya waisrael kwenda utumwani babeli na nchi zingine za kiarab, wapalestina hawakuvunja majengo ya wayahudi, hadi leo majengo yenye miaka zaidi ya elfu mbili yapo..ushahidi tosha..walitelekeza nchi wakawa wavivu wa akili kuishi kwenye magofu, kumbe wanatunza evidence ya nchi ya watu...

kama walijiunga na hamas kwamba potelea mbali kama kufa na wafe tu, basi wakiwa wanakufa wasiwe wanalalama kwasababu walikuwa tayari, inabidi wakipokee kifo kwa mikono yote miwili, kumbe hata jihad yenu huwa inaume eheee...hahaha, unanikumbusha mbali, kuna mshikaji mmoja mhehe alikuwa anaenda kujinyoga, kamba ikakatika bwana...hahaha, walikuja kukuta pale chini ya mtu alipodondokea, amejaza kifusi suluari yote haitazamiki..nzi kibaoo na alipozinduka hatakuja kujinyonga tena..hii ni mfano wenu, mnajifanya mko tayari kufa kumbe mnaona panaume..kama si ujinga ni nini? mtu akija kwa amani atapokelewa kwa amani, mtu akija kwa vita atapokelewa kwa vita...simple reasoning kama hivi...kwa taarifa yako, wapalestina wakitaka amani, wakae meza na waislrael bas, kwasababu vita hiyo haitakujak uisha according to the bible, hadi yesu atakaporudi....
 
Kuhusu issue ya nani kam-provoke nani mfano inafaa hapa. Kwani hata darasani, tutor mara nyingi hutoa mifano ku-drive his/her point home:

Nyumba za X na Y ni ziko jirani lakini wenyewe wana uadui wa siku nyingi wakigombea alama ya mpaka na masuala mengine yatokanayo. Wote wawili wanashikilia misimamo yao, lakini Y yuko hali taabani kimaisha.

Z (rafiki wa Y) ameamua kumpelekea msaada na anapofika tu mbele ya nyumba ya Y, X akiwa na bunduki anakurupuka kutoka kwake na kuanza kumshambulia Z kwa risasi, akimtuhumu kwamba ana kisu na mawe mfukoni.

Sasa hapo, ni nani hasa, kati ya X na Z, kam-provoke mwenzake, ikizingatiwa kwamba Z alikuwa tu amefika mbele ya nyumba ya Y akimpelekea msaada?

Let's be reasonable, please!!!!!

ukumbuke kuwa X alishampa warning Y, lakini Y akasema hapana shida, mimi nitaendelea tu wala sikuogopi,....halafu mfano wenyewe umetoa, ni reasoning ya graduate wa chuo cha morogoro...absolutely irrelevant..
 
Back
Top Bottom