Tanzania government condemns Israel

Tanzania government condemns Israel

wewe ni mgumu kuelewa, nimekwambia kitu kinachotofautisha maji mengine yaitwe national na mengine international ni mipaka tu kama ya nchi ya kenya na tz...nikiwa na maana kuwa, katika kila nchi ufukweni huwa kuna neutical miles kadhaa ambazo ni sawa tu na ardhi ya kwenye nchi hiyo na hauruhusiwi kungia huko hadi ridhaa ya nchi hiyo kama ilivyo mtu kuingia kutoka kenya kwenda Tz....
Hapana mkuu wangu International water haina mpaka wa nchi kwa nchi hata kidogo na wala haufuati utaratibu wa mipaka ya nchi kavu kabisaaa! mbingu na ardhi mkuu wangu.
Kisha kunionyesha site ya wizara ya Israel inaonyesha ufinyu wako ktk swala hili kwa kusikiliza wakosefu badala ya kukusanya ushahidi unaoweza kuwafunga au kuwatoa huru. Tatizo lako umeshakubaliana na ushahidi wa mkosefu hivyo huwezi kuwa jury mzuri.. Hadi hapa tayari umeshaonyesha Ushabiki unashindwa kufuatilia ushahidi uliopo. Waulize hasa huyo waziri wa Mambo ya nje wa Israel, hiyo sheria ya kuingia International water wao wameitoa wapi?
 
mkandara, nitakusaidia kukuelewesha hapa,...ukitoka pale masaki kwenye bahari, kuna nautical miles kadhaa kutoka ufukweni ambazo zinahesabiwa ni ardhi/maji ya Tz sawa tu na milk ya nchi na katu kama meli ya kimataifa haijaruhusiwa kuingia kwenye maji yetu (sawa na kusema nchi yetu), haitakiwi kuingia kama vile wewe usivyotakiwa kuingia US bila ruhusa yao...ndio ninavyomaanisha. na huo ndo ukweli wake...kuanzia pale nautical miles zilipoishia toka kwenye ufukwe wetu, kule mbele yake utayakuja maji yasiyokuwa ya mtu...yaani ni ya watu wote so unaweza kwenda pale bila ruhusa..walichokuwa wanalalamika wale wanaharakati ni kwamba hawakuwa wamegusa mipaka ya maji ya israel wakimaanisha kuwa hawakuwa wameingia israel bila ruhusa...unaelewa?ndo maana walikuwa wanasema walikuwa kwenye international water, kwamba wangekuwa kwenye israel water ndo israel ingekuwa na uhalali wa kuwavamia...ndo maana ya international water ndugu yangu...sasa kama israel hawajakatazwa na mtu kuingia international water, kwani wakiingia kukamata mtu wanayefikiri ni hatari kwao kuna kuvunja sheria gani? kwani wewe hapo ukiwa umekaa na mkeo home halafu ukajua kuwa kuna jambazi linakuja kukuvamia liko barabarani (sio ndani kwako) ukienda kulikurupusha hukohuko barabarani kabla halijafika home utakuwa umevunja sheria gani? na jambazi lilikwambia kabisa kwa simu na kwa matangazo kuwa leo linakuja kuingia ndani mwako..kuna ubaya gani kwenda kulizuia hukohuko barabarani..jambazi litakwambia kuwa haukua na haki kulivamia kwenye barabara kwasababu hapo barabarani kwenye lami si mali ya mtu ni mali ya wote...si chumbani kwako hapo...nafikiri kwa mfano huu utaelewa labda..ndivyo ilivyokuwa hapa...soma sheria ya bahari (the law of the sea) utajua ninachoongea..just go to the UN website download sheria hiyo ukasome nyumbani na mama watoto wako muelewe wote...

haujui unachoongea hivyo sitapoteza muda wangu tena kumwelewesha mtu mwenye akili jiwe...nina mambo mengi ya kufanya hapa...unaongelea kupitia authority gani kuhusu international water unavyojua wewe, kutoka kwenye kitabu gani namaanisha..nikusaidieje mkuu?umesomea?umejua kutoka wapi..unasimamia wapi yaani...

kwa kukusaidia, googe san remo manual hapohapo sasaivi, halafu pia google the law of the sea, chukua izo document mbili nenda nazo home kasoma, kesho ukija hapa utakuwa na mtazamo tofautiiiii, ndo maana mnakimbilia kujilipua bila hata kujua ukweli wa mambo...
 
which international law young boy? specify which international law they violated, which provision etc, don't speak vapour!

Hawa kweli ni kondoo waliopotea!!!

Hizi dini zao zinawafanya kuwa stupid blind, can't deferenciate black and white. Soma UN reports, Israeli umevunya UN esulutions nyingi kwa taarifa yako, na ku-attack aid convoy kwenye Inter Sea, Hawa Wa Israeli hawana tafauti kabisa na wale wasomali Pirate wanao vamia Meli
 
jamani angalieni point ya huyu jamaa, ati nisome UN report, nitaweza kusoma report zote tangu mwaka 45 hadi leo nitaweza? kuna report nyingi mkuu kwaajili ya israel peke yake nitajaza hii computer...ungekuwa na uelewa wowote ungeweka web hapo nibofye ili nione hiyo report unayosema wewe, ndo wenzio walivyokuwa wanafanya...usirukie gari mbele, just relax hakuna haja ya kujilipua hapa, punguza hasira nitakuelewesha utaelewa tu..lete hiyo report hapa nibofye ili niione..usiongee hewa..
 
UbungoUbungo,
Yaonyesha wewe mjuzi sana kuliko woote..Ebu nikukumbushe kwanza soma artical hii ya balozi wa Israel, Security council, serikali ya Uingereza na wengine wooote walliosema Israel wameboronga lakini maadam ni wetu inabidi tufe nao...Anza hapa na naweza kukupa mia kidogo ya kila nchi kulaani isipokuwa labda wewe hukufuatilia.
Hata Marekani na Canada ambao ndio washirika wakubwa wa Israel wanajua Israel imeboronga sijui wewe unatoa wapi imani yako..Helen Thomas kaachishwa kazi (kawajibishwa) kwa sababu tu ya comment over Israel lakini inasomeka kama amejiuzuru kwa Wajinga wote.
Nikikuonyesha sheria za Apartheid moja hadi kumi,hivi unaweza kuzitumia ku justify waliyokuwa wakifanya kisha ukauliza walivunja sheria gani?..makubwa haya jamani.

Halafu, mkuu nilidhani naweza kukuelimisha japo kidogo lakini yaonekana wazi ndio una tatizo moja kubwa sana....IMANI na hii haiwezi kugeuzwa pasipo miujiza na uwezo huo sina..Nilikuwepo mkuu.
 
mkandara, unajua mimi ni mvumilivu sana, huwa napenda kusoma kila unachoweka hapa chote...katika iyo web uliyonipa hapa, hakuna mention ya violation of international law hata moja...anachosema huyo ambassador ni kwamba walikuwa wrong kuivamia meli na kwamba wangelitakiwa kuichukulia differently...and there is no mention of violation of international law...kama ipo ionyeshe..

sasa cha kushangaza ni kwamba, wewe unarely kwenye opinion ya mtu badala ya what the say provides..hivi balozi maajar wa tz UK akitoa opinion yake ni lazima iwe sahihi? hiyo ilikuwa opinion tena ya mtu ambaye si mwanasheria...amesema Today Israeli ambassador Ron Prosor said it was "obvious" that the attempt to seize the convoy "wasn't successful". He told the BBC: "It's obvious - and I won't beat around the bush on this - that this wasn't successful and I think it clearly took up an issue that should have been solved differently."

hivi unaweza kusimamia opinion ya mtu mmoja badala ya sheria inavyosema, haujasoma hizo document mbili nilizorecommend? unachotakiwa kujua ni kwamba, hakuna msimamo wowote mimi ninaotengeneza, ni sheria ndivyo inavyosema ndugu yangu...

pili, mimi hapo juu nilikuwa nakuelewesha tu kwasababu nilikuwa naona haujui nini maana ya international water kabisa...na nilikuwa narudi nyuma ili nichukuliane na kutokuelewa kwako..sawa na kuanza upya kumfundisha first year nini maana ya sheria au kitu fulani...ndo maana nilikutolea huo mfano wa bahari ya masaki...BY THE WAY NISHUKURU NAFIKIRIR UMEELEWA KIDOGO SASA JUU YA INTERNATIONAL WATER manake nimekupa lecture ya buree...no tuition fee....tuseme ukweli mkandara, ili uelewe vizuri, don't rely on individual opinions hata kama ya waziri, simamia nini sheria inasema..

hao wote waliolaani hawajasema sheria gani imevunjwa, ila wamelaani tu kwamba israel imechukua hatua kubwa mno..ni sawa na kusema mtu badala ya kumkamata kuku kwa mikono ameenda kumkamata na bunduki pamoja na kwamba kumkamata kuku si kosa..nchi zote zilizolaani hakuna inayothibitisha kuwa israel wamevunja sheria ya kimataifa, ila wanalaani tu mashambulizi...only Tz imesema wamevunja sheria ya kimataifa...hahaha, hiki ni kichekesho cha mwaka....na zaidi ya yote, wote wanalaani kuanzia balozi wa israel UK wanataka tu kuwablind international community na pia wanakuwa wanajilinda kwasababu wako nchi za watu wakiongea vibaya ubalozi wao kesho asubuhi ungejaa watu wanaandamana..so akiwa nchi ya watu lazima awe na hekma kama hiyo..

JAMANI WATAZAMANI, HEMU MTUJUDGE WENYEWE HAPA NANI ANAONGEA HEWA NA NANI ANAONGEA POINT...KWA WALE WANAOJUA SHERIA....unajua nilikuwa nakuaminia sana nilifikiri una uwezo mkubwa wa kufikiri kwasababu tangu jf imo humu ndani nakuona..sasa inashangaza kuona mtu kama wewe unaamini maneno yaliyoongelewa na balozi bila kujua kama yana ukweli ktk international law au vipi..mimi si msomi wa kujidai kama inavyofikiri..hata first year hii anaijua alimradi anajua kutafsiri sheria (ndo tofauti ya mwanasheria na layman)...hautakiwi kusimamia msimamo wako kwasababu watu wamesema, simamia nini sheria imesema....I hope nimekusaidia kidogo kukuelewesha..
 
UbungoUbungo,
Mkuu, nazidi kusoma ujinga mtupu kwa sababu hujui sheria..Sheria inaelezea Uhuru na haki ya matumizi ya kitu fulani na uvunjaji ni pale mtu au chombo kisipofuata Uhuru ama haki hiyo..Kama vile Uhuru wa matumizi ya barabara yanaruhusu watu kupita sii kiwanja cha mtu yeyote na ukimvamia mtu kwa sababu kapita karibu na kwako unakuwa umevunja sheria hata kama mtu huyo ni Jambazi.

Sasa ukiweka sheria yako wewe ati mtu asikatize mitaa yako na isikubalike na vyombo vya sheria pamoja na kwamba wewe mwenyewe na mkeo mmekubaliana kumvaa mtu yeyote atakaye katiza mtaani sheria hiyo haikupi haki ya kuvamia watu wanaopita barabarani.. Lakini kama mtu atafika ktk maeneo yako iwe getini unaweza kufanya unalotaka lakini sio kufuata mtu barabarani na kuanza kumhoji kwa nini anapita mtaa wako..
Israel walichofanya kinaitwa Piracy na sheria ipo inayohusiana na uvamizi wa Meli high seas pasipo kuheshimu haki na uhuru wa matumizi ya bahari. Soma artical 101 kuendelea hapa
 
Nilishasema (post No 87) kwamba achaneni na huyo Ubungoubungo, hana hoja, anachokifanya ni kukwepa kwepa tu -- ni very slippery. Mnapoteza muda bure.
 
Nilishasema (post No 87) kwamba achaneni na huyo Ubungoubungo, hana hoja, anachokifanya ni kukwepa kwepa tu -- ni very slippery. Mnapoteza muda bure.

yaani we zak malang ndo sifuri wa mwisho....kama hakuna point wewe mwenye point ndo ungeleta point basi...tatizo mnapenda kulazimisha mambo kwasababu mna chuki zenu binafsi na israel, basi kila kitu mnataka mtu awasikilize nyie...kama wewe unajua, lete hoja ya kisheria,...unakera kuongea vapor yaani hewa isiyoshikika muda wote halafu unakimbia...kama we mwanaume si uje hapa tushindane kwa hoja kama mwenzio mkandara? yeye hapa anapata shule ya bure..
 
Unafiki tu wa Membe kutaka kujipendekeza kwa watoa dau la pesa za uchaguzi IRAN!

Angalia some debates on international law hapa

Last edited by a moderator:
UbungoUbungo,
Mkuu, nazidi kusoma ujinga mtupu kwa sababu hujui sheria..Sheria inaelezea Uhuru na haki ya matumizi ya kitu fulani na uvunjaji ni pale mtu au chombo kisipofuata Uhuru ama haki hiyo..Kama vile Uhuru wa matumizi ya barabara yanaruhusu watu kupita sii kiwanja cha mtu yeyote na ukimvamia mtu kwa sababu kapita karibu na kwako unakuwa umevunja sheria hata kama mtu huyo ni Jambazi.

Sasa ukiweka sheria yako wewe ati mtu asikatize mitaa yako na isikubalike na vyombo vya sheria pamoja na kwamba wewe mwenyewe na mkeo mmekubaliana kumvaa mtu yeyote atakaye katiza mtaani sheria hiyo haikupi haki ya kuvamia watu wanaopita barabarani.. Lakini kama mtu atafika ktk maeneo yako iwe getini unaweza kufanya unalotaka lakini sio kufuata mtu barabarani na kuanza kumhoji kwa nini anapita mtaa wako..
Israel walichofanya kinaitwa Piracy na sheria ipo inayohusiana na uvamizi wa Meli high seas pasipo kuheshimu haki na uhuru wa matumizi ya bahari. Soma artical 101 kuendelea hapa

tatizo kubwa ninaloliona kwako mkandara ni kwamba, una akili ngumu kama jiwe...lakini nimejitolea nitakuelewesha bure hadi uelewe pengine utasaidia na wenzio kama kina ze kalang..bull etc...

nilipokutolea huo mfano wa jambazi pale juu, nilikuwa namaanisha kuwa,..hao wanaharakati walishasema toka mwanzo kuwa watakuja kupita kwenye blockade ya israel, israel ikawaonya, wao wakakataa...ndo maana nilitoa mfano hadi wa jambazi kwasababu niliona hauelewi....usiwe na akili ya kiarabu mzee wala usiwasikilize hao, wamekimbia shule...hivi kama jambazi amekutumia taarifa kuwa atakuja home kwako kukuvamia, ukamwonya, akasema hakusikilizi atakuja tu na wewe una wasiwasi kama akiingia kwako pengine ana bom litalipua nyumba nzima, kuna shida gani kwenda kumzuia hukohuko barabarani kabla hajafika...hapo napo pagumu kuelewa?...unachosha bwanaaa....kwenye paragraph yako ya pili, hauelewi kuwa blockade inaruhusiwa ktk mazingira ya kivita kisheria...ndo maana unasema kuwa wanatakiwa wawe na uhuru na kwmba hupendi mtu kukataza wengine kukatiza kwenye mitaa yako..kama ni kwenye mazingira ya hostilities hii inaruhusiwa mkuu...ndo maana kila mtu hana dispute na blockade ya israel na egypt vilevile...

kati ya watu wanaokera mmoja wapo ni wewe...kwanini watu wengine wagumu sana kuelewa?...yaani we sifuri ndo unanipa mimi UNCLOS ATI NIBONYEZE HAPA...mwenzio hiyo nimeichakaza..aisee kwaheri mi siendelei kubishana na layman..unakera kusikiliza..bye.
 
Kaka Mkandara una moyo. Kama vile hujui ni nani unayebishana naye....tangia lini ukashinda dhidi ya vivuli vyake huyu jamaa yetu...

omarilyas
 
Unafiki tu wa Membe kutaka kujipendekeza kwa watoa dau la pesa za uchaguzi IRAN!

Angalia some debates on international law hapa

Hizi debates za wanaosemekana ma-experts on international law!!! Can we prove that they are experts or only sympathisers wa ubabe wa israel? Ubungoubungo na Kwetunikwetu wanaweza kwenda kwenye TV channel na kusema 'please we are experts and Israel is right'.

Anyway, let's agree that they are experts -- but being expert and being right are totally different things. Kuna mmoja humu JF kasema kwamba kswa kuwa kitendo hivho cha Israel kimelaniwa na chombo kama UN, na kwamba we all subscribe to UN, then individual experts elswhere can just remain with their opniions. What i am saying is it's notghing wrong for anyone to offer an opinion, as experts always do, but they cannot be necessarily right. Just like our opinions in JF. But if UN says so, then that's it then.
 
Last edited by a moderator:
😛ainkiller:wamejitahidi kuandika ili kuwapoza "WATU FULANI HIVI.."sitaki kuwataja, hapa tz..wala haitoki moyoni...kwasababu hawana point hata moja..to be fair, kitu ambacho walitakiwa kukisema ni kwamba, israel walitakiwa kuwa wapole kidogo na wangewavumilia wale watu wakaidi waliokuwa wanataka international publicity....ila sio kusema kuwa kulikuwa na clear violation of international law...HIVI HAWA VILAZA wanasheria wa wizara ya mambo ya nje ni kina nani?...ni mwanasheria gani anaweza kuongea kuwa umevunja kifungu cha sheria bila kukitaja? which international humanitarian law israel has violated? they were supposed to mention it jamani au siyo....sasa hao wanasheria walioko wizara ya mambo ya nje, hawajui sheria za kimataifa? kama wanajua mbona hawajataja? kama hawajaitaja, je ipo iliyovujwa? kama ipo, naomba nipeni ipi sheria imevunjwa hapo..HAKUNA SHERIA YA KIMATAIFA IMEVUNJWA HAPO na selikali yetu inaonyesha namna gani ilivyo kilaza kwa kila kitu kuanzia mambo yetu sisi wenyewe ya ndani hapahapa hadi kwenye mambo ya kimataifa...

pia, kwani israel ina wahusu nini Tz wakati tangu zamani Tanzania amekuwa adui wa israel? ndio maana israel waliweka ubalozi Kenya, ubalozi mkubwa tu...lakini Tz hakuna ubalozi,...kuna kaofisi tu ambako kanatusaidia sisi wakristo tunapokwenda kutembelea israel, nakama wakristo tusingekuwa tunapata shida kwenda kenya kupata visa, hata hako kasingekuwepo kwasababu moja ya nchi ambazo Israel wanajijua si marafiki ni Tanzania, sasa maneno yanawatoka mdomoni kwa watu ambao hata hawana uhusiano nao....hawa ni wagumu wa kufikiri kwenye selikali yetu..KAMA KUNA MTU ANAJUA ISRAEL WAMEVUNJA SHERIA YA KIMATAIFA AITAJE HAPA ILI NA MIMI NIMWAMBIA UKWELI ULIVYO...acheni soga za kina kikwete...

however, kama nilivyosema mwanzo, walikuwa wanajikosha tu kuwaonyesha watu fulani kuwa wanajali...ila hawana hata msingi wowote kuongea kama walivyoongea, labda wangekuwa wamesema kuwa israel walitakiwa kuwa wapole kidogo na sio kusema wamevunja sheria ya kimataifa, kuongea hivyo wameonyesha ukilaza na umbumbumbu wa kutokua sheria ya kimataifa,wangeenda kumwuliza hata Prof Mainda peter pale udsm nafikir angewasaidia...

Kwa mwendo huu basi wewe ndio kilaza. Bila kutaja kundi unalodhani limetaka kuridhishwa na Mh. Membe ambalo kwa aibu na chuki yako unadhani kuwa ni Waislamu. Kwa taarifa yako sheria iliyovonjwa ni kuwa walishambuliwa kwenye MAJI YA KIMATAIFA (INTERNATIONAL WATER).

Tanzania kwa muda mrefu kuanzia utawala wa Hayati Baba wa Taifa imekuwa ikitoa kauli za kushtumu matendo yote ya uonevu na ubabe wa Israel nchini Palestina. Sasa hapa sioni Mh. Membe kubebeshwa lawama la kutaka kupendelea kundi fulani eti.

Ta\uache chuki un necessarily.
kingwele
 
Unafiki tu wa Membe kutaka kujipendekeza kwa watoa dau la pesa za uchaguzi IRAN!

Angalia some debates on international law hapa

thanks for this video...uyo prof. mwanaume hajui hata anachoongea, lakini wanafunzi wake wanaomsikiliza ndo watamwuliza maswali kesho yake..
 
Last edited by a moderator:
ongelea international law ipi imevunjwa hapo..hata nchi zingine zimelaani tu lakini hazijataja international law...kwasababu wanazijua international law, sasa wanasheria wa ministry of foreign affairs hiyo international law iliyokuwa violated ni ipi?.....

Ndugu, naona unawatetea waisraeli kwa nguvu sana. Your commitment to worshiping the god of Israel seems to blind your conscious from the basic concept of what is right and what is wrong.

I, for one, do not believe in a deity, especially that which was brought by the colonizers and arab slave traders. My sympathy for the Palestinian is therefore, purely based on humanity. My mind is free to see the HUGE similarities between Zionism and apartheid!
 
thanks for this video...uyo prof. mwanaume hajui hata anachoongea, lakini wanafunzi wake wanaomsikiliza ndo watamwuliza maswali kesho yake..

DuuH!, ebwana umeisikiliza hiyo video, au unaongea tuu?

His arguments are pretty clear; Israel had do right to defend the sea and the border from which it is an occupying force (meaning Gaza). What was wrong with waiting for them to land then search for possible arms?

So the lady professor asserts the right of a country to stop and search in time of war. But Israel is not in arm conflict, they are occupying Gaza, for goodness sake. They killed people with the prior knowledge of what the ship's intents was...

She also, brought the issue of Iran (a typical US diversion tack-ticks). But the Palestinian problem supersedes that, and in fact its resolution could be a catalyst for settlement of most problems in the Middle East. At least the Obama administration has realized that.

Wekeni utu mbele, msipumbazwe na imani za dini, jamani...
 
Back
Top Bottom