Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

Haa...haaa..haaaa!!! Wewe kwa akili yako kuna kozi ya mafunzo ya kazi ktk sekta ya mafuta na gesi inayolipiwa ada elfu 50?!!! Hata VETA hakuna. Lakini tuma tu ili uje upya na uzi mwingine kuwa umetapeliwa.
 
mambo mengne hayahtaji upelekwe shule kuwa mjanja utanyolewa hapo mzaz
 
Back
Top Bottom