Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

makasha

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
42
Reaction score
1
Jaman wana jamii, naomba msaada kwa hili suala kabla sijaliwa kekundu, maana kipindi hiki ajira ni ngumu na watu wanataka kuponea kwa wenzao kwa kuwatapeli kizembe.

Link ya application form ni Went Wearth 2014-Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

Haada ya kutuma maombi , bwana mmoja anaejulikana kwa jina PETER MBONDE namba yake ni 0769121741,
akanitumia sms ikisema hivi

"Habari ya jioni, baada ya kupokea maombi yako ya kujiunga na mafunzo ya gas na oil kufanyiwa kazi, CVyako imefanikiwa kupita hatua za awali, hivyouongozi wa mafunzo unakutaka kutuma ada ya kujiunga na mafunzo ili kukamilisha usajili wako, nafasi hizi ni chache hivyo unaombwa kuituma pesa hiyo mapema kuepusha nafasi yako kupewa mtu mwingine, njia ya kutuma ni kwa M PESA , Tsh 50000. namba 0769121741"
 
Dah hapa kuna harufu ya wizi,je ofisi zao ziko wapi na mafunzo yanafanyikaje,nani anawajibika na hili?iweje njia ya malipo iwe ni kwa kutumia kampuni na kwanini wasiseme watu waende kulipia ofisini na kupewa risti au kwa njia ya benki ambapo benki zinadhibiti pesa na umiliki wa akaunti?
Mnaibiwa jamani
 
jaman wana jamii, naomba msaada kwa hili suala kabla cjaliwa kekundu, maana kipindi hiki ajira ni ngumu na watu wanataka kuponea kwa wenzao kwa kuwatapeli kizembe.

link ya application form ni Went Wearth 2014-Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

baada ya kutuma maombi , bw mmoja anaejulikana kwa jina PETER MBONDE namba yake ni 0769121741,
akanitumia sms ikisema hivi

habar i ya jioni, baada ya kupokea maombi yako ya kujiunga na mafunzo ya gas na oil kufanyiwa kazi, CVyako imefanikiwa kupita hatua za awali, hivyouongozi wa mafunzo unakutaka kutuma ada ya kujiunga na mafunzo ili kukamilisha usajili wako, nafasi hizi ni chache hivyo unaombwa kuituma pesa hiyo mapema kuepusha nafasi yako kupewa mtu mwingine
njia ya kutuma ni kwa M PESA , Tsh 50000. namba 0769121741
Sijaona mahali popote dunia hii job applicant analipa fee ya aina ama kiasi chochote kile kwaajili ya application for employment!
Labda uzee umenza kuniingia.
 
Dah hapa kuna harufu ya wizi,je ofisi zao ziko wapi na mafunzo yanafanyikaje,nani anawajibika na hili?iweje njia ya malipo iwe ni kwa kutumia kampuni na kwanini wasiseme watu waende kulipia ofisini na kupewa risti au kwa njia ya benki ambapo benki zinadhibiti pesa na umiliki wa akaunti?
Mnaibiwa jamani

kwel ndugu hata mm nimeshindwa kuelewa kwann wanatumia njia hii kama wao ni kwel wanatoa hii program, nikaamua nilete humu kwa wana jamii wanisaidie mawazo
 
kwel ndugu hata mm nimeshindwa kuelewa kwann wanatumia njia hii kama wao ni kwel wanatoa hii program, nikaamua nilete humu kwa wana jamii wanisaidie mawazo

Mpigie simu huyo jamaa mwambie ofisi zao zilipo. Nenda hapo ofisini kwao. Akiendelea kung'ang'ania ulipe kwa MPESA hapo mkuu nainusa harufu ya mtu kutafuta hela ya Valentine date. Mjini hapa
 
Mpigie simu huyo jamaa mwambie ofisi zao zilipo. Nenda hapo ofisini kwao. Akiendelea kung'ang'ania ulipe kwa MPESA hapo mkuu nainusa harufu ya mtu kutafuta hela ya Valentine date. Mjini hapa

sawa mkuu ntafanya hivyo kesho mapema tu, maana sms amenitumia leo jion mida ya saa 12 hv. akasante sana kwa ushauri ndugu
 
sawa mkuu ntafanya hivyo kesho mapema tu, maana sms amenitumia leo jion mida ya saa 12 hv. akasante sana kwa ushauri ndugu
Tupatie updates ili tuendelee kukushauri. JF ni kisima cha maarifa ninaamini utashauriwa vizuri tu. Najua kazi zimekuwa ngumu na uko desperate kupata ajira lakini kumbuka hata matapeli nao ndio hu-take advantage kwa vijana wanaotafuta ajira
 
aksante sana ndugu, mapema 2 kesho ntawapatia updates za bw PETER MBONDE
 
naomba msaada kwa yeyote mwana jamii anae wajua hawa jamaa na kama nikweli hii program ipo au n njia 2 yakutafutia pesa kaka??

Kaka, nadhani walichofanya hapa ni kubadilishs neno Ajira na kupachika neno Mafunzo kwa kuwa wizi wa aina hii kwa kutumia neno Ajira sio dili tena!

Hivyo, ushauri wangu kutokana na maelezo machache uliyotoa, kuwa makini vinginevyo naona dalili za wewe kuingizwa Cho.o cha Jinsi tofauti. Happy St. Valentine's Day!
 
Hao ni wezi achana nao, Ili kujiridhisha watumie hiyo fedha

Rgds
 
Utaibiwa ndugu, hamna kitu kama hicho na wala hamna programu ya namna hiyo Tanzania. Hao ni matapeli wanaojuwa kuwa watu mna shida ya ajira wanataka kuwafanya mashamba yao.

Mkuu Secret Service kuja kipande hii
 
Last edited by a moderator:
out of protocols......so usijipeleke kwenye mdomo wa Mamba
 
Hivi polisi Wetu na pcccb huwa wanapita humu ? Kama Wapo pliiz Hizi mambo zifanyieni kazi uharifu sio tu kupiga dolia usiku au kulinda ma benk n.k
 
Back
Top Bottom