Tanzania excluded from EAC joint communique

Tanzania excluded from EAC joint communique

Just like that? Kwa ile statement ya JK tu kuhusu M23? Labda kulikuwa na mengine tusoyajua.

true kongosho,the so called EAC Leaders were waiting the right time to hit tz,am now getting the picture who is behind kagame, the only thing that can keep tz's integrity is to step back and measure the merits of rejoining again,if there is a need
 
For EAC area Tz is almost 50% and for EAC population Tz is almost 40%. Wakenya wameinvest na wanauza bidhaa kibao TZ kuliko nchi yoyote ya EAC....ebu tukate mizizi na hawa wadudu...simple.
 
Unajua hawa jamaa wanachekesha sana, wanawezaje kuitisha vikao vya EAC bila kuialika Tz wakati ndiye makao makuu yake? wajinga kweli.


Makao makuu si ni majengo tu. Watawa-recall watu wao wakishaamua wapi makao makuu yahamie.

Tatizo wote ni waroho................sijui kama watakubaliana wapi makao makuu yajengwe after TZ. Uganda inaelekea ndiyo wako more central zaidi.

Cha muhimu sasa ni kuandaa lawyers wa nguvu ili tuondoke na chetu!!
 
naskia mr.dhaifu anapeleka umbea wa wenzake in the western countries na kufikia hatua ya kuwachochea washtakiwe ICC wameona ni mpunzi ndo maana wamemsusa.

chibolo mzima kweli? amka bro tuache hz kashfa zisizna msing mind u kama tumetukanwa ni aibu ya wote sio huyo uliemtaja.
 
Unajua hawa jamaa wanachekesha sana, wanawezaje kuitisha vikao vya EAC bila kuialika Tz wakati ndiye makao makuu yake? wajinga kweli.

Kwani makao makuu yanaongeza nini kwenye sera na utekelezaji wake? Ile si ni sehemu (PLACE) tu ya kukutana? Anyway, something should be revised concerning both our domestic and foreigh policies.
 
Hivi hawa ndugu zetu hawa wametutenga kweli hawa ?
Au ni sisi tumejitenga nao baada ya kuwashtukia agenda zao za siri na sasa tunajipanga kujenga nchi yetu ?

Mimi naona hapa ni akunyimae mbaazi ...

Hii imenikumbusha enzi za utoto wangu tukicheza mpira wa soksi, rafiki yangu alikuwa akiona tunawafunga sana magoli huyooo anachukua mpira wake anakimbilia kwao. Usikute PK kaona sasa mashuti yetu golini kwake yanazaa magoli mengi anakusanya mpira wake wa soksi kina M7, Kenyatta nk haooo wanakimbilia nyumbani kwao kwenye propaganda.

Time will tell !!!

Respect !!!
 
Busara za Mwl Nyerere - Wakituacha na tukabaki tunashangaa, tutakuwa salama. Tutumie hiyo nafasi kujiimarisha sisi kama nchi na bila shaka tutafanikiwa
 
Unajua hawa jamaa wanachekesha sana, wanawezaje kuitisha vikao vya EAC bila kuialika Tz wakati ndiye makao makuu yake? wajinga kweli.

Kwani makao makuu yanachangia nini kwenye sera na utekelezaji wake? Ile si ni sehemu (PLACE) tu ya kukutana? Anway, something should be revised with regard to both our domestic and foreign policies.
 
hebu tuwaache waendelee! ninachoelewa bado watatutegemea sana wakati wa mwanzo, na sisi tutumie nafasi hiyo kujipanga kwa soko jipya na majirani wapya zaidi.
ni kawaidaya viongozi wetu wa waafrika kuangalia zaidi ubinafsi wao na wako tayari kuutetea hata kama watu wengine wataangamia hawapo tayari kujali na kutazama misimamo yao kama inatija kwa wengi
 
tuache kulialia, kama EAC ni muhimu kwetu na ina faida, mara moja tunatakiwa kujipendekeza kwa wenzetu ili tuungane nao. KAMA HAINA FAIDA, ni kuipiga chini kwa kishindo kikubwa na cha ajabu na kuacha kupiga domo. Rwanda ni nchi masikini sana na ndogo sana, tena landlocked. siku wajaluo wakichukia kule kenya wakang'oa reli kama walivyofanya kipindi kile tu, uganda na Rwanda watakula m.avi.
 
Hapo ni urafiki wa mashaka,hawana muda mrefu hao watakwaruzana vibaya vibaya Kagame atakapoanza kuwapelekesha
 
Haya ni mapigano makubwa katika Nyanja za uchumi. Naamini kama tulivyokuwa na jeshi la kulinda mipaka yetu,basi kuna kikosi maalum cha kupambana na hila na hujuma ambacho kinaweza fitina za kila aina. Huu sasa ni wakati wake. Hata hivyo,mapigano ya kikosi hicho yawe ya ndani na nje ya nchi. Kwa ndani namaanisha kufanya mapinduzi ya kiuchumi kwa kufanya vitu katika uhalisia kwa wakati. Vita kama hii iliwahi kupiganwa kati ya Goguryeo, Baekje, Silla, Puyeo ambayo sasa ni mataifa ya China, Korea kus na kask.
 
Nothing surprising here. It was suggested two-three years ago by Yoweri Museveni that the EA confederation move can go on without the hesitant Tanzania.

Nashangaa tulitarajia hayo waendelee tunawatakia kila la kheri we partner with a federation based on mutual interest otherwise :rip: EAC by the way wakitutaka tuko sadeki tunashukuru kwa mialiko yao mwanzo but hatujasahau athari zilizotupata 1977 baada ya kufa kwa EAC ya mwanzo waishie zao. Tushaumwa na nyoka awali sasa hata mjusi tunamuogopa.
 
Hao wote ni wafu taratibu wanakokotana kwenda kuzikana, time will tell. Tusubir
 
Nafikiri hawa maraisi hawajajua muungano wa hizi nchi ni wananchi wenyewe -tamaduni zao na sio sahihi wanazoweka kwenye makaratasi . Moja ya jambo Kenyatta atakaloanguka ni kutokugundua faida kubwa anayopata kwa tz kutokana na huu muungano . M7 na Kagame ni watu wanaoota mchana kuwa wao wananguvu za kifikra na kijeshi ukilinganisha na nchi nyingine za jumiiya hii.

Hakuna asiyejua kuwa soko kubwa la bidhaa na rasilimali nyingi kwenye jumuia hii zipo tz . Hatua ya Kagame kuamua kutumia bandari ya Mombasa itamgharimu sana kiuchumi ,mwisho wa siku atakosa majibu kwa wapiga kura wake.

M7 hana muda pale UG japo anajiaminisha kuwa yeye ni kiongozi wa milele .
 
Hatutaki hiyo Single Visa ya Watalii,watalii wenyewe wanalala Kenya wanakuja Tanzania kushangaa wanyama tu!

Mtalii lazima akumbane na kuvuka border Namanga ajue kwamba anaingia nchi ingine hayupo Kenya.
 
Tanzania tengenezeni reli ya kati iwe safi mpaka Kigoma, Warundi watarudi wenyewe na Congo itatumia bandari ya Dar hapo tuone.
 
Back
Top Bottom