Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 338
Tanzanzaia ifanye kama Switzerland ijitoe na ishughulike na mambo yake yenyewe maana hapa nachoona cycle of repetiton is on the making kama Kenyatta sr alivyofanya kwa Nyerere na Kenyatta jr anarudia yale yale.
Tanzania haijasahau. Lazima kuwa makini na hii project ya EAC
Tanzania haijasahau. Lazima kuwa makini na hii project ya EAC