The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
nec wachakachuaji,jf wachakachuaj,ccm wachakachuaji,tbc wachakachuaji,................................mie naonabongo nzima ni wachakachuaji tu basi.
pole
nec wachakachuaji,jf wachakachuaj,ccm wachakachuaji,tbc wachakachuaji,................................mie naonabongo nzima ni wachakachuaji tu basi.
Hawa NEC wanataka kutimiza walichokipanga na REDET.... Kamwe Longodo, Babati na Siha CCM hawawezi kupata ushindi huo wa 80% plus...Hawa ni wachakachuaji waliokubuhu...Tena Longido, hapo ndo utaijua CCM ni zimwi gani!!!:A S angry:
Thanks Mkuu, ila nashangaa mbona yale wanayoshinda wapinzani kama tanga lindi, mbeya, mwanza arusha nk matokeo yanakua magumu kutoka??
Wanatuzunga tuuuuuu Mbona Arusha, Mbeya,Iringa Songea Mjini,Ubungo,Kawe NK...... Kimya Tume Haipo huko
Hawa NEC wanataka kutimiza walichokipanga na REDET.... Kamwe Longodo, Babati na Siha CCM hawawezi kupata ushindi huo wa 80% plus...Hawa ni wachakachuaji waliokubuhu...
Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
NEC wanacheza na saikoloji ya watu, wanatangaza kwanza majimbo aliyoshinda JK ili hata wakichakachua mengine muone ndo jeneral trend
kweli kabisa, Mbwana Slaa alitakiwa kuwa Mbunge na sio Rais, tutamkumbuka kwenye bunge lijalo na hata yeye atakumbuka kuwa bungeni, next time asithubutu kukubali kungombea UraisNipe ukweli mkuu, humu ni ushabiki tu. Let's write the truth. Slaa alifaa awe bungeni sasa tutammiss. Anyway, next turn asikubali tena kugombea urais, anafaa ubunge tu.