Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Ni jimbo la Kinondoni hilo huko M'nyamala na Makumbusho, rit! Ubunge nani kachukua?
 
thanks MP Kalix2.

i think it is very important to use this forum to update each other of the true and accurate results and not post speculations.

ushabiki ni mzuri lakini tusipotoshane. this is not time for jokes guys.
 
Njombe Kusini
JK 22337
Dr. 6848
Prof. 80
Sasa naanza kuamini kwamba Tume imejipanga kufa kupona kwa ajili ya jk,ni tofauti na hali halisi,hayo ni mapishi haswa!!
Njombe kusini......!!!!!??
 
I think Slaa should now come out and speak with wana-habari!!!

Hii si dalili njema, yaani hata njombe!!!
 
Tumepata taarifa nyeti kuwa muda si mrefu Masha atatangazwa mshindi kwa nguvu, watu wanatusihi twende nyumbani otherwise kutakuwa na fujo sana hapa mjini. Yaani watu wameumia kichizi yaani mtu tena kwa kishindo na wanataka kulazimasaha mtu ashinde. It's so pain!
 

I have said it again and again...Nguvu ya ufisadi ..its something this country has never seen before...It will divide this country into classes we have never come across...!! one class ... is the group which will react against ..what JK is about...to do....!!!!
 
Jamani vp?mbona motokeo redioni yanaonesha Slaa hali mbaya kuliko maelezo.Kinyume na hapa JF
 
Hivi nyie mnaotuletea habari huku zisizo eleweka mnazitoa wapi? lengo lenu ni ili muwe na post nyingi au? mbona siwaelewi?
 
wanatangaza zile sehemu ambazo ni ngome ya ccm, so far ni singida,lindi,babati,mtwara na njombe kaskazini, lakini sehemu zote za ukweli bado hawajafanya hivyo, hii ni kutokana na kutaka kuanza kuwahadaa wa tz ili wakisha chakachua isionekane kama ni wizi umefanyika.@gud boy

Damu itamwagwa na CCM wenyewe tofauti na walivyokuwa wakisema before...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…