Waikristu mmeshindwa mnaanza kulia kulia. Poleni sana tutaonana 2015. Ccm oyee, waislamu oyee
You are not even a human being!! You are just a ghost!! who care about somebody's religion? We care about our country, it is not a case of islam and christians.
Hivi umeshasahau statements zako ulizokuwa ukizitoa hapa JF? Sasa hayo ndio matunda yake na tunapoelekea ndio kubaya zaidi....Yawezekana kabisa kuwa huyu sio mwislamu wala CCM lakini anajitahidi kuendeleza sumu ambayo wengi wenu humu mlikuwa mkiishangilia na kuiendeleza wakati wa kampeni.....Hii inaonyesha kuwa huko tunakoelekea kama moto utawaka kuna uwezekano mkubwa kuwa hautakuwa CCM Vs CHADEMA bali Waislamu Vs Wakristo...na watu kama hawa ndio wanajitahidi kutuelekeza huko.......Mlipokuwa mnawadhihaki wenzetu wa Kenya na nchi zingine msidhani kuwa hakuna wasiopenda kuona kuwa nasi tunapitia experiance yao......
it is so saaaad!!
nashindwa kufanya kazi, mawazo mengi.
Hivi ina maana kuna watu kiukweliii wanafurahia sana wizi unaofanyika hapa nchini na hawa viongozi wetu tuliowachagua???
huwa napata shida sana kuelewa hili jambo.
All this tells me that the Synovate guys were very right
Chadema ilipiga kampeni ya kuchagua mtu na si chama. Wananchi wakawasikia, katika sehemu nyingi ambazo wapinzani toka chadema wamepata kura nyingi kwenye ubunge, kwenye urais walimpa Kikwete. Wailiona wazi kuwa Slaa hana credibility ya kuwa Rais.
Any way ndio siasa, kubalini kushindwa mjiandae kwa 2015. Mkianza kuleta za kukataa matokea 2015 wananchi watawanyang'anya hata majimbo waliyowapa dhamana. Watanzania sio mbumbumbu kama mnyavyodhani. Wanahitaji mabadiliko ya kweli na sio longolongo na matusi.
uvundo na uozaChadema ilipiga kampeni ya kuchagua mtu na si chama. Wananchi wakawasikia, katika sehemu nyingi ambazo wapinzani toka chadema wamepata kura nyingi kwenye ubunge, kwenye urais walimpa Kikwete. Wailiona wazi kuwa Slaa hana credibility ya kuwa Rais.
Any way ndio siasa, kubalini kushindwa mjiandae kwa 2015. Mkianza kuleta za kukataa matokea 2015 wananchi watawanyang'anya hata majimbo waliyowapa dhamana. Watanzania sio mbumbumbu kama mnyavyodhani. Wanahitaji mabadiliko ya kweli na sio longolongo na matusi.
Yote haya manne hayatawahi kutokea Tanzania.Naomba kikwete uanze na haya
1. Kufuta msamaha wa kodi kwa mashirika ya dini
2. Kuwakomesha waikristo
3. TZ kujiunga na OIC
4. Kuanzisha mahakama ya kadhi
nimepata hiyo document yenye matokeo yaliyotangazwa na nec
mods, mnaweza kuiunganisha na nyingine au kuiondoa kama ilishatundikwa.
View attachment 16452