Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Tanzania Election 2010 Results as per NEC

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,144
Reaction score
128,788
Wanabodi,

Niko katika ukumbi huu wa Paradise City Hotel, ambapo kwa mara ya kwanza tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu ile jana, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ndio inatangaza rasmi matokeo ya urais.

Chumba kimefurika wanahabari wa kitaifa na kimataifa, pia TV ziko live kutoka ukumbini hapa, nitawaletea kinachojiri, ile wale wenye access na TV fuatilieni na kutupa updates

CLICK HERE TO DOWNLOAD ALL RESULTS IN EXCEL FORMAT

hai.jpg

ilemela.jpg

MatokeoCombined_Page_01.jpg
 
KWa kuwa wachakachuaji wote wako tayari majimboni, tunaanza kupewa yaliyochakachuliwa!!!

Mungu tusaidie...:doh:
 
Mkuu wa kitengo cha ICT cha NEC, Dr. Cisti Karia, amesema matokeo ya jimbo kwa jimbo, yatatangazwa na NEC kadri yanavyofika na kuonekana kwenye Big Screen mbili zilizoko ukumbini humu.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Rajabu Kiravu ndio ameingia ukumbini hapa.
 
Ukitaka kuchakachua lazima uwe na moyo wa chuma. Hayachakachuliki. Mafuta bahari maji ndo utachakachua vipi?
 
Umeipata wapi hii wakati hata Tume wenyewe hawajitambui?
 
Tupe uhondo woteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Ahsate kwa kutoa habari za uhakika ila kuna watu wanapotosha ukweli
 
hayo ni ya kituo kimoja......ahkuna kupita kwa kishindo otherwise mchaakachue
 
Back
Top Bottom