tanzania daima.waraka wa muungano ni zimwi

salmar

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
799
362
Bunge la maalum linaloendelea dodoma kwa takriban miezi miwili sasa limekua kizungumkuti cha aina yake.
Baadhi ya watu wa zanzibar wameanza kudhani bunge hilo ni kama mchezo wa mpira.
Baada ya vuta nkuvute juu ya njia ya kupiga kura na pia kuchangiwa na hotuba ya kikwete limezuka jambo lengine ambalo lilikua ni uhainiukiliulizia .
Hili ni juu ya kutopatikana hati ya muungano wa zanzibar na tanganyika na ile ya baraza la mapinduzi juu ya kuridhia muungano.
Waziri mstaafu sumae aliwadanganya wa tanzania kua waraka upo na atawasilisha bungeni kipindi kile na pia sheni alunukuliwa waraka upo ikulu lakini mpaka leo hakuna aliuonesha waraka huoangalau hata picha ya meza ulowekwa huo waraka
Kikao cha hivi karibuni msekwa alitoa ufafanuzi juu ya huo waraka unaoelea angani kama mpira wa kona na ambao hauonekani kama zimwi.
Utata wa saini ambao mzee huyo bado anajiuma uma
Utata huo uliubuliwa na kina lema jusa pia walitilia shaka matumizi ya kompyuta miaka hiyo
Hapa inafaa tujikumbushe miaka ya 50s kompyuta haikuepo hTa typereta ya umeme ilikua haipo jee vipi huo waraka feki ulichapishwa.
Lakini msekwa anatuambia picha ya waraka ipo vipi sasa sisi tuna taka picha ama wataka wa muungano
Waziri kiongozi mstaff wa zanzibar shamsi vuai nahodha alisema inaonekana hativya muungano ipo UN kwani huo mkataba unafanya nn huko UN.
Nae katibu wa bunge ndugu yahya khamis hamad anasena hati ipo dar es salaam sasa vipi mbona haionekani kwa sababu sio rahisi kuipelrka dodoma vipi inahofiwa kuibiwa kama upanga wa dhahabu uloibiwa mikononi mwa polisi.kwa maana hiyo hapa nchini kupotea vituvya thamani kama mikataba ni kitu cha kawaida.
Si hayo tuu hata warkkaa wa blm uloridhia muungano hauonekani.makubwa haya nina imani ipo siku tukaambiwa hata kikao hixhi cha dodoma tukaambiwa hansad zimepotea.
Tuwe wakweli kwa nafsi zetu na nchi yetu wananchi wa sasa sio wa 60 wanafahamu kila kitu kuhusu nchi yao vyenginevo jahazi letu litaenda mrama
 
Muungano wetu ni mzuri kwani hati zake hazionekani hivyo mojawapo ya nchi inaweza kujifanyia mambo inavyotaka.
 
Back
Top Bottom