Tanzania confirms TAZARA split, Zambia not aware

..nimefanya ka-research kadogo nikakuta kwamba Zambia wana miradi ya reli kwenda Angola[benguela railway], na mradi mwingine wa reli kwenda Mozambique[nacala port].

..pia nimegundua kwamba wa-Zambia hawana haraka ya kufufua Tazara kwasababu wanaona reli hiyo ni ndefu na haina ufanisi.

..jambo lingine ni kwamba jirani yao upande wa magharibi, yaani ANGOLA, ana mafuta na mapesa mengi mno. sasa it makes more sense kwao kujenga miundo mbinu kama reli kuelekea Angola ambako kuna visima vya mafuta.

..Angola pia wana mradi wa kurefusha reli yao mpaka jimbo la Katanga in DRC. tayari mradi huo umeshaanza kutekelezwa kwa kutumia mapato ya mafuta na gesi ya Angola.

..Malawi wana mpango wa kuimarisha reli kuelekea bandari ya Nacala ya Mozambique. Mtakumbuka tulikuwa tuna mipango ya kutumia bandari ya Mtwara kuhudumia Malawi.

..kwa kifupi Tanzania tunahitaji kutimua mbio sasa hivi, kwasababu wenzetu wameshatangulia.

cc Koborer, Ogah, Masanja, Ritz, Mdondoaji, NasDaz, Nguruvi3, Ngongo

Joka Kuu,

Hii nchi kwa ilipofikia hakuna mtu atakayeweza kuikwamua ilipo. Tukozaidi kibanafsi kuliko kimaslahi ya nchi. Tunaenda kujenga bandari ya bagamoyo kubwa tunaiacha bandari ya dar ikipoteza ufanisi wake na umakini. Tunaiacha bandari ya mtwara iliyokuwa na kina kirefu kuliko vyote na natural harbour. Tunaiacha bandari ya Tanga. Tumeshindwa kuimarisha reli tunabakia kuongeza idadi ya malori ya kubeba makontena kisa inawapatia vipato watu fulani fulani. Mwisho wa siku ufanisi hakuna, barabara zinaharibika na taifa linaporomoka kiuchumi. Uchumi wetu unakuwa kwa kasi kwasababu ya uwekezaji na siku wawekezaji wakipungua na uchumi nao unaporomoka (kama mnakumbuka 2009 wakati wa mdororo wa kiuchumi).

Tatizo kubwa la nchi ni ufisadi na kushindwa kwetu kupunguza na kuondoa ufisadi if possible. Kila mtu ni fisadi sasa Tanzania mpaka watchmen anahongwa hela anaruhusu watu walale au wageuze lindo lake liwe guest house. Taifa limekuwa kama yatima halina mtetezi zaidi ya kubakia lipo lipo tu.

Hivyo Joka Kuu wacha majirani watukimbie we are not serious at all in so many issues. Our seriousness ipo katika madili ya 10% basi.
 
Mkuu wangu umesema mengi mazito lakini nyote nawaambieni tu ya kwamba kwa kodi zetu peke yake zitamfukuza mtu yeyote maana kila nchi inatazama unafuu wa kodi kupita ujenzi wa reli maana unawekeza pale penye kuleta biashara. Sasa ikiwa serikali ya Zambia ina takwimu hizo zinazoonyesha wafanyabiashara wake wengi wanaleta mizigo ya magari (trucks) kupitia Msumbiji na Angola kuliko kutumia reli hiyo, kwa nini wasifikirie kujenga miundombinu sehemu ninakohitajika?

Hii Biashara ya Kichina inatumaliza kabisa maana hata wananchi wenyewe wananunua nguo kwa dollar 2 China ikifika Bongo inawalazimu kuuza Dollar 100. Kama kungekuw ana njia nyingine wananchi wenyewe wangechukua mkondo mwingine na sio kupitia bandari zetu. Kifupi bandari za Tanga, Mtwara, Dar na hata Airport zinakufa kwa kukosa biashara kulingana na mapato vs matumizi kwani kodi zetu ni kubwa kupitiliza!
 
Hapa Mwakyembe amechemsha sana, Uamuzi wa Kaunda na Nyerere ulikuwa wa maana sana... Kwanini wasikubaliane na Wachina wakaiboresha hiyo reli badala ya kuanza kugawana mataruma?... CCM wanaakili ama matope yamewajaa kichwani?... Karakana best in EA ya Mang'ula waling'oa kila kitu wakampa Mch Lwakatare kufanya ufisadi wake... I hate CCM ndani ya moyo wangu....
 
Mkuu wangu umesema mengi mazito lakini nyote nawaambieni tu ya kwamba kwa kodi zetu peke yake zitamfukuza mtu yeyote maana kila nchi inatazama unafuu wa kodi kupita ujenzi wa reli maana unawekeza pale penye kuleta biashara. Sasa ikiwa serikali ya Zambia ina takwimu hizo zinazoonyesha wafanyabiashara wake wengi wanaleta mizigo ya magari (trucks) kupitia Msumbiji na Angola kuliko kutumia reli hiyo, kwa nini wasifikirie kujenga miundombinu sehemu ninakohitajika?

Hii Biashara ya Kichina inatumaliza kabisa maana hata wananchi wenyewe wananunua nguo kwa dollar 2 China ikifika Bongo inawalazimu kuuza Dollar 100. Kama kungekuw ana njia nyingine wananchi wenyewe wangechukua mkondo mwingine na sio kupitia bandari zetu. Kifupi bandari za Tanga, Mtwara, Dar na hata Airport zinakufa kwa kukosa biashara kulingana na mapato vs matumizi kwani kodi zetu ni kubwa kupitiliza!

Mkandara Mkuu,

Kwani unadhani kwanini kodi zetu ni kubwa ni kwasababu ya matumizi yetu makubwa. Budget zetu serikali zinamatumizi makubwa ya uendeshaji kuliko matumizi ya maendeleo tutaacha kuongeza kodi? Pitia budget zote za serikali asilimia kubwa ni matumizi ya uendeshaji yaani recurrent expenditure kuliko development expenditure tunasahau development expenditure ndizo zinazokuja kutuongezea wigo wa kodi zetu baadae matokeo yake ni nini tunabakia kila siku kupandisha kodi kwenye bidhaa zile zile tulizonazo, kwenye viwanda vile vile tulivyo navyo mwisho wa siku tunakimbiza wawekezaji.

Na kwanini iwe hivyo na isiwe otherway round ni kwasababu recurrent expenditure ndio ufisadi mwingi unakotokea, kuanzia invoice feki, wafanyakazi mfu, inflated price, ridicoulous allowances etc. Sasa ndio maana nikasema mkuu ni ufisadi unaotumaliza kama vile tumelogwa yaani.

It sickens me honestly basi tunabakia tunajiangalizia nikija bongo natamani nirudi zangu kwa wazungu haraka nikaendelee kupiga mzigo kumfaidisha mzungu hapa kwetu unaweza kupata kichaa na maskini wa kawaida hajui kinachoendelea maskini. Tulipiga kelele kodi ya simu ikatolewa ikaja kuongezwa kinyume chake kwenye importation na financial transaction duty. Mwishoe anaishia kukamuliwa tu akitaka asitake.....
 
Mkuu nakubaliana nawe lakini pia kumbuka nchi zote za kiafrika reccurent expenditure ni kubwa sana na mara zote wanaishia ktk deficit. tazama mishahara ya viongozi wake tu utachoka kwa hiyo hizi kodi kwa kila zinavyoongezeka ndivyo tunavyojimaliza. na kusema msema kweli kipenzi cha Mungu mimi naogopa sana hili swala la serikali 3 maana tutaongeza idadi ya mifisi ktk mzoga huu.

Panga pangua, hatuwezi kuwa na serikali hata moja yenye wizara chache hivyo tutakuwa na mawaziri wasiopungua 50 jumla na manaibu wake juu acha mawaziri wakuu na ofisi zao. kama sikosei Mwl. Nyerere aliwahi kusema "Wanaofikiri kuendesha serikali 2 sio gharama wawaulize Zanzibar!" Hizi kelele zao zote ni ulaji tu na wananchi walivyopikwa na mafuta ya nazi hawaelewi kitu japo Maalim Seif ni mfano mzuri kwao.
 
..mzee mwanzako hapa nishajichokea nasema bora zije hizo tatu tuone watakavyoiba.

..ukiwa na timu ya mpira wakati mwingine inachosha kufungwa na timu moja miaka nenda rudi.

..ndiyo maana nasema bora hawa wezi wa CCM tuwaweke benchi, tuchague wengine nao waje waibe.

cc Mdondoaji
 
Last edited by a moderator:

Mzee mwenzangu unadhani hii vicious cycle haipo upinzani unajidanganya my brother. Mie ninayafahamu madudu wanayoyafanya nikiyatoa hapa utashika kichwa. Dudu mojawapo unajiuliza ni kwanini katibu wa chama analipwa allowance badala ya mshahara unaona hilo sahihi? Kwasababu allowance sio tax deductible as far as I know na varies with time na hainaga plan tofauti na mshahara ambao unachukuliwa kama overhead expenditure na lazima ukatwe kodi. Hivyo utagundua something is wrong somewhere. Haya vyama vyengine vya upinzani vina account ya mtu binafsi ndio inatumika kupitisha pesa za chama sasa umakini uko wapi? Chama kinajiuzia magari used kwa bei ya mara 3 ya jipya. Vyengine vinakodi nyumba na kufanya makao kwa mkataba wa miaka mingi ijayo. Je hivi tutafika?

Ndio maana nimesema Joka Kuu wallahi hii nchi hakuna wa kuinasua hapa ilipo labda aje mjeshi, mzalendo na mwenye akili tuendeshwe kidikteta kidogo ndio tutakaa sawa. Lakini huo ni mtazamo wangu tu.

Na Serikali 3 ndio kuyaibua matatizo mengi zaidi Joka,

Bora ije moja na itawaliwe na mjeshi, mzalendo, genius na dikteta tutakaa sawa.
 
Joka Kuu,

Hii nchi kwa ilipofikia hakuna mtu atakayeweza kuikwamua ilipo. Tukozaidi kibanafsi kuliko kimaslahi ya nchi. Tunaenda kujenga bandari ya bagamoyo kubwa tunaiacha bandari ya dar ikipoteza ufanisi wake na umakini. Tunaiacha bandari ya mtwara iliyokuwa na kina kirefu kuliko vyote na natural harbour. Tunaiacha bandari ya Tanga. Tumeshindwa kuimarisha reli tunabakia kuongeza idadi ya malori ya kubeba makontena kisa inawapatia vipato watu fulani fulani. Mwisho wa siku ufanisi hakuna, barabara zinaharibika na taifa linaporomoka kiuchumi. Uchumi wetu unakuwa kwa kasi kwasababu ya uwekezaji na siku wawekezaji wakipungua na uchumi nao unaporomoka (kama mnakumbuka 2009 wakati wa mdororo wa kiuchumi).

Tatizo kubwa la nchi ni ufisadi na kushindwa kwetu kupunguza na kuondoa ufisadi if possible. Kila mtu ni fisadi sasa Tanzania mpaka watchmen anahongwa hela anaruhusu watu walale au wageuze lindo lake liwe guest house. Taifa limekuwa kama yatima halina mtetezi zaidi ya kubakia lipo lipo tu.

Hivyo Joka Kuu wacha majirani watukimbie we are not serious at all in so many issues. Our seriousness ipo katika madili ya 10% basi.

..labda bandari ya Dsm iko ktk eneo ambalo hatuwezi tena kufanya expansion.

..lakini pamoja na hayo inapaswa kufanywa ya kisasa zaidi, na kuongeza ufanisi.

..pia suala la RELI ni muhimu sana. kuna sekta sensitive kama reli,barabara,umeme, na maji, ambazo nadhani si busara kuwaachia private sector.

..zaidi nikubaliane na wewe kwamba tuko very very slow ktk utekelezaji wa miradi mikubwa ya infrastructure. tuangalie wenzetu wa-Kenya walivyo aggressive na focused ktk utekelezaji. wao wako kivitendo zaidi, sisi tuko ktk maneno maneno na kauli mbiu.
 
Wanatamani waiue kama reli ya kati..Mafisadi shida sana. Anyway will split TANGANYIKA-ZANZIBAR as well..
 
Joka Kuu,

Mzee mwenzangu unadhani hii vicious cycle haipo upinzani unajidanganya my brother. Mie ninayafahamu madudu wanayoyafanya nikiyatoa hapa utashika kichwa. Dudu mojawapo unajiuliza ni kwanini katibu wa chama analipwa allowance badala ya mshahara unaona hilo sahihi? Kwasababu allowance sio tax deductible as far as I know na varies with time na hainaga plan tofauti na mshahara ambao unachukuliwa kama overhead expenditure na lazima ukatwe kodi. Hivyo utagundua something is wrong somewhere. Haya vyama vyengine vya upinzani vina account ya mtu binafsi ndio inatumika kupitisha pesa za chama sasa umakini uko wapi? Chama kinajiuzia magari used kwa bei ya mara 3 ya jipya. Vyengine vinakodi nyumba na kufanya makao kwa mkataba wa miaka mingi ijayo. Je hivi tutafika?

Ndio maana nimesema Joka Kuu wallahi hii nchi hakuna wa kuinasua hapa ilipo labda aje mjeshi, mzalendo na mwenye akili tuendeshwe kidikteta kidogo ndio tutakaa sawa. Lakini huo ni mtazamo wangu tu.

Code:
Mkandara

..I know that.

..lakini nilipofika mimi naona bora tu waje wezi wapya.

..CCM wameshafanya ufisadi vya kutosha, sasa tuone na hivyo vyama vingine ufisadi wao ukoje.

..ndiyo maana nikasema mimi sitaki kufungwa na timu moja kila mwaka.
 
Mkuu...nashukuru sana kwa kuliweka hili suala hapa......Economic Intelligence!...........

....All I'm saying is...... kila nchi inabidi kuangalia maslahi yake kwanza.......tusije jikuta na miradi iitwayo "white elephants".....kinachotuangusha sisi ni mifumo yetu ya kufanya kazi katika sekta muhimu kama TRANSPORT(reli, bandari, air na barabara).....bado ni mibovu sana.....business as usual.......uhaini/wizi/rushwa/ufisadi......kwenye hizi major gateway za nchi yetu ni mkubwa sana sana....... we must be very strong kiutendaji na kuongeza tija.....na kuongeza ufanisi kwenye network......hii mambo ya mikataba feki ya kuendesha infrastructure zetu kuanzia bandarini, reli, barabara na air transport inabidi ishughulikiwe kwa ukaribu sana......na as a PRIORITY!....wakati wenzetu wanakimbia na kutuzunguka.....na sisi inabidi tukimbie mara mbili/zaidi.......tutumie geographical position yetu vizuri.........

Hivi sasa nipo hapa Panama kwenye hii Canal Expansion Project......ukitembelea hii nchi ndio utajua nini maana advantage ya geographical position ya nchi......

Karibuni Panama.....

..unazungumzia Panama Canal??

..nasikia Mchina anakuja na Nicaragua Canal.

..yaani Wachina wanajenga major infrastructures kila mahali.

..ukiangalia hata miradi ya reli ya Afrika, yote imeshikwa na kampuni za ujenzi za Kichina.

..sasa hapo swali lingine linakuja kwetu watanzania. Je, miaka 20 mpaka 30 inayokuja tunataka tuwe taifa la namna gani?
 
Rwanda wana wivu nasi, Uganda wana wivu nasi, Kenya wana wivu nasi, kuna Malawi, Zambia Nao wana wivu nasi?...poor Tanzania utagombana na majirani zako wote.
Kuna giant kamfunga Tanzania Kamba ya shingoni anampeleka kusikojulikana...ameanza kwa Ku neutralise mahusiano na majirani zake ili Tanzania abaki Kama kisiwa.

Mkuu hili jambo usilichukulie kisiasa,
Tazara ilipoanzishwa, makubaliano yalikuwa makao makuu Dar es salaam, Tanzania, lakini Managing Director lazima awe mzambia, chuo cha Tazara kiko Mpika Zambia,
Mapato ya Tanzania ndiyo yanaendesha Tazara, yaani Mafuta, Mishahala n.k.
Zambia hakuna mzigo wa kuja Dar zaidi ya Copper, na Copper inapakiliwa Ndola na shirika la reli la Zambi, mapato yanabaki shirika la reli la Zambia, ikifika New Kapiri Mposhi ndiyo mzigo unaingia Tazara, Tazara wanapata mgao tu wakati Ndola to New Kapiri mposhi ni 110kms tu,
Abiria ndiyo wako wengi kule ILA free pass zakumwaga.
Behewa mpya tukinunua zikifika New Kapiri Mposhi zinaingizwa ktk reli yao ya Local, huku zinaletwa kukukuu, mpaka kukawa na mzozo lakini bado wanaendelea tu,
Mapato yetu yaendeshe Tazara kwa kila kitu, kisha na mabehewa wachukue hiyo ni haki????!.
Wacha waende wataoperate passenger train na siyo Cargo hawana mizigo. Sidhani kama watapata hata mishahara.
 
..nimefanya ka-research kadogo nikakuta kwamba Zambia wana miradi ya reli kwenda Angola[benguela railway], na mradi mwingine wa reli kwenda Mozambique[nacala port].

..pia nimegundua kwamba wa-Zambia hawana haraka ya kufufua Tazara kwasababu wanaona reli hiyo ni ndefu na haina ufanisi.

..jambo lingine ni kwamba jirani yao upande wa magharibi, yaani ANGOLA, ana mafuta na mapesa mengi mno. sasa it makes more sense kwao kujenga miundo mbinu kama reli kuelekea Angola ambako kuna visima vya mafuta.

..Angola pia wana mradi wa kurefusha reli yao mpaka jimbo la Katanga in DRC. tayari mradi huo umeshaanza kutekelezwa kwa kutumia mapato ya mafuta na gesi ya Angola.

..Malawi wana mpango wa kuimarisha reli kuelekea bandari ya Nacala ya Mozambique. Mtakumbuka tulikuwa tuna mipango ya kutumia bandari ya Mtwara kuhudumia Malawi.

..kwa kifupi Tanzania tunahitaji kutimua mbio sasa hivi, kwasababu wenzetu wameshatangulia.

cc Koborer, Ogah, Masanja, Ritz, Mdondoaji, NasDaz, Nguruvi3, Ngongo

Look, it will be great for TZ to move fast and make interconnections with all her neighbors. This will greatly benefit everyone most of all Tanzania. It is a folly to live in isolation.
 
Mkuu hili jambo usilichukulie kisiasa,
Tazara ilipoanzishwa, makubaliano yalikuwa makao makuu Dar es salaam, Tanzania, lakini Managing Director lazima awe mzambia, chuo cha Tazara kiko Mpika Zambia,
Mapato ya Tanzania ndiyo yanaendesha Tazara, yaani Mafuta, Mishahala n.k.
Zambia hakuna mzigo wa kuja Dar zaidi ya Copper, na Copper inapakiliwa Ndola na shirika la reli la Zambi, mapato yanabaki shirika la reli la Zambia, ikifika New Kapiri Mposhi ndiyo mzigo unaingia Tazara, Tazara wanapata mgao tu wakati Ndola to New Kapiri mposhi ni 110kms tu,
Abiria ndiyo wako wengi kule ILA free pass zakumwaga.
Behewa mpya tukinunua zikifika New Kapiri Mposhi zinaingizwa ktk reli yao ya Local, huku zinaletwa kukukuu, mpaka kukawa na mzozo lakini bado wanaendelea tu,
Mapato yetu yaendeshe Tazara kwa kila kitu, kisha na mabehewa wachukue hiyo ni haki????!.
Wacha waende wataoperate passenger train na siyo Cargo hawana mizigo. Sidhani kama watapata hata mishahara.

Nashukuru kwa response hii. Sasa nimeona mantiki nzima ya Dr. Mwakyembe ilivyo na tija kwa uhai wa TAZARA na uchumi wa Taifa.
 
Back
Top Bottom