Personally I don't buy the idea of splitting out. Sitaki kuamini kuwa tuna uwezo wa kuendesha TZR kama nchi take a look on what is going on with Central Railway. Tuache kupeleka mambo kisiasa. Ingawaje hatuoni sababu ya kuikumbatia Zambia katika uendeshaji wa TZR, i personally don't see any way Tz can run TZR separately and successful. Nadhani ilitakiwa Tz ikae na Zambia na waone namna ya kuireform TZR, splitting not the best way to go to my thinking.
.....unaelewa kuhusu..."someone taking you for a ride"?......hivi unataka kuamini kuwa Wazambia ndio wanajua management ya reli kutuzidi na kwa hiyo bila wao sisi hatuwezi!!!......kwa nini mnaleta hizi hadithi za kutojiamini.....kutojiamini kwetu ndio kumetufanya tulete ukoloni mambo leo hivi sasa....mpaka tunaona Wazalendo wa nchi hii hawawezi....trust me wapo watu pale nchini wenye uwezo mkubwa sana....ni suala la ku-scout vizuri tu......
....hebu tuondokane na hii dhana inayodhalilisha uwezo wetu......