Tanzania bado tuko kwenye utumwa wa kifikra, Rais Magufuli hebu angalia haya

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Unapita vituo vya polisi vya mkoloni unaona kimeandikwa "Police station" au gari ya polisi inaandikwa"police".

Nacheka kwa dharau sababu kwani lugha ya taifa ni ipi? Au tuna lugha ngapi rasmi kwenye taifa letu?

Kenya wanaweza kuandika hivyo sababu wanatumia lugha mbili za taifa.

Angalia kwa mfano hawa TFF. Sasa hapa wamemwandikia nani? Au ndio ile wapo kimataifa zaidi na sio kitaifa?

Wikipidia mwenyewe kuna lugha mbalimbali ili kukidhi mahitaji.

1579322121060.jpeg
1579322119150.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni 'lugha mbalimbali ili kukidhi mahitaji'
Tanzania sio ya watanzania pekee.
 
Ni ya watu gani wengine? Vip kuhusu Uingereza ni ya kwao tu au Marekani? Mbona sijawahi kusikia wametumia lugha nyingine kukidhi mahitaji na kuna raia wa kigeni wengi kuliko TZ
Hizo ni 'lugha mbalimbali ili kukidhi mahitaji'
Tanzania sio ya watanzania pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom