Tanzania bado tuko kwenye utumwa wa kifikra, Rais Magufuli hebu angalia haya

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
410
Points
500

2019

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2018
410 500
Unapita vituo vya polisi vya mkoloni unaona kimeandikwa "Police station" au gari ya polisi inaandikwa"police".

Nacheka kwa dharau sababu kwani lugha ya taifa ni ipi? Au tuna lugha ngapi rasmi kwenye taifa letu?

Kenya wanaweza kuandika hivyo sababu wanatumia lugha mbili za taifa.

Angalia kwa mfano hawa TFF. Sasa hapa wamemwandikia nani? Au ndio ile wapo kimataifa zaidi na sio kitaifa?

Wikipidia mwenyewe kuna lugha mbalimbali ili kukidhi mahitaji.

1579322121060.jpeg
1579322119150.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,389,349
Members 527,914
Posts 34,023,610
Top