Aliyetaka kumuua lissu ni nani? Aliyezuia wanachama wasiende kumuona kumjulia hali ni nani?, aliyepitisha maamuzi ya kumvua ubunge ni nani??Kijana una ushahidi juu ya hili la kuua???

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu Kama kukariri ni rahisi hebu kariri na wewe mifugo yote ya nchi nzima,lugha zote za kabila za Tanzania.
Au huko mbali sana lima hata shamba lako la mpunga au mahindi hekari 5 halaf ukariri idadi ya mahindi ili hata mwizi akiiba 5 uwe unajua.
Ni vile tu aliwatoa watu kwe ye ukoloni, hata hivyo ilikuwa ni wakati wa waingereza kuachia makoloni wala si kwa nguvu ya nyerere, nyerere alichukua ujiko asiostahili.Yani mimi katika maraisi wote, namkubali Kikwete na mwinyi...
Kwanza nyerere ndio amesababisha haya yote
Nyerere ni overrated sana
..... Mfano mzee mwinyi ndio angekuwa raisi wetu wa kwanza, leo tungekuwa mbali sana
Well said bro."Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.
"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.
Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.
Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.
Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.
Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.
Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.
Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).
Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.
Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.
Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.
Ukiwa genius hutumii nguvu kukariri mkuu.So unaamini nikikariri basi ntakuwa intellectual ?
Asante mkuu kwa mawazo yako, huwa napenda sana kuwatumia Putin na Kagame kama mifano ya uzalendo, si kwamba wanapendwa sana ndani ya nchi zao, lkn linapokuja suala la kuzinufaisha nchi zao kutoka nje huwa wako makini sana.
Naweza kusema Magufuli ni mzalendo lkn mbaguzi, kila kiongozi ana dosari yake, akitoa ubaguzi (kiitikadi, kikanda, kikabila nk) ubaguzi wa aina yeyote ile anaweza kuwa rais bora.
Pamoja na mapungufu yake Nyerere alikuwa visionary president, hadi mwishoni mwa miaka ya 70 Nyerere alikuwa anafanya vizuri, vita ya Kagera ndio ilimfanya aonekane kashindwa.
Kazi ipi inafanywa na jiwe? Nyie ndiyo mnampotosha jiwe kiasi cha kuonekana kachanganyikiwa. Mnasema kazi nzuri wakati huo huo hata yeye jiwe anajua hakuna alilolifanya na jamii inamchukia. Je wataka nikupe kauli nne za uongo kutoka kwa jiwe?
Mbona hatukuwa wa "kulinganishwa na SA" wakati huo unaosema tulikuwa na Rais mzalendo na "intelectual"?"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.
"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.
Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.
Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.
Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.
Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.
Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.
Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).
Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.
Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.
Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.
Magu angechukua Nchi kipindi alichotoka Nyerere Hii nchi ingekufaa jumlaaa yani Magu ana style flani ya uongozi kama nyerere sema tu yeye naye anakulaa sana tofauti na Nyerere...!! Bora mwinyi alifanya bora liendee ulee upuuzi wa Ujamaa ukafaaa..ile sera ilikuwa ya kihuni sanaaMbona hatukuwa wa "kulinganishwa na SA" wakati huo unaosema tulikuwa na Rais mzalendo na "intelectual"?
Matokeo ya uzalendo na u "intelectual" ni kuwa masikini wa mwisho duniani. Ndicho alichorithi Mwinyi. Umasikini wa mwisho duniani. Hata chakula tulikuwa hatuna tunapanga foleni.
Au unaandika kuhusu wakati ambao haujauishi?
Kumbuka. Kabla ya "mzalendo na intelectual" tulikuwa nchi ya kwanza Afrika kusafirisha mazao ya mashambani.
Mwacheni Magufuli afanye kazi zake kama alivyo. Nchi ilikuwa impate mtu kama Magufuli toka awamu ya kwanza. Tumechelewa sana.
Huyu hapa jiandae kumpokea"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.
"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.
Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.
Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.
Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.
Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.
Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.
Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).
Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.
Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.
Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.
Mbona hatukuwa wa "kulinganishwa na SA" wakati huo unaosema tulikuwa na Rais mzalendo na "intelectual"?
Matokeo ya uzalendo na u "intelectual" ni kuwa masikini wa mwisho duniani. Ndicho alichorithi Mwinyi. Umasikini wa mwisho duniani. Hata chakula tulikuwa hatuna tunapanga foleni.
Au unaandika kuhusu wakati ambao haujauishi?
Kumbuka. Kabla ya "mzalendo na intelectual" tulikuwa nchi ya kwanza Afrika kusafirisha mazao ya mashambani.
Mwacheni Magufuli afanye kazi zake kama alivyo. Nchi ilikuwa impate mtu kama Magufuli toka awamu ya kwanza. Tumechelewa sana.
"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.
"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.
Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.
Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.
Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.
Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.
Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.
Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).
Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.
Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.
Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.
Anapenda asifiwe hata kwa mambo waliyofanya wakolonNatofautiana nawe kidogo Mkuu..
JPM sio mzalendo..ila anapenda aonekane Mzalendo..
Huyu zaidi ni MBINAFSI, refer mambo ya maendeleo yanayoendelea Chato hivi sasa.
Kiongozi Mzalendo kwa nchi yake huwa ana watreat wananchi wake wote equally..huyu ni tofauti kabisa kwani ana vimelea vya ukabila na kuwapendelea watu wa kanda yake.
Faizafox, hakuna mtu anayemzuia Magufuli kufanya kazi na yeye asituzuie kutoa maoni yetu ailikuwepo Nyerere akatuacha wakaja wengine wakatuacha hata huyu ataiacha Tanzania kama alivyoikuta.Mbona hatukuwa wa "kulinganishwa na SA" wakati huo unaosema tulikuwa na Rais mzalendo na "intelectual"?
Matokeo ya uzalendo na u "intelectual" ni kuwa masikini wa mwisho duniani. Ndicho alichorithi Mwinyi. Umasikini wa mwisho duniani. Hata chakula tulikuwa hatuna tunapanga foleni.
Au unaandika kuhusu wakati ambao haujauishi?
Kumbuka. Kabla ya "mzalendo na intelectual" tulikuwa nchi ya kwanza Afrika kusafirisha mazao ya mashambani.
Mwacheni Magufuli afanye kazi zake kama alivyo. Nchi ilikuwa impate mtu kama Magufuli toka awamu ya kwanza. Tumechelewa sana.
Hivi uzalendo gani alikuwa nao jiwe kila mradi anapiga 10%"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.
"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.
Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.
Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi aliipenda nchi ila hakuwa mzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.
Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.
Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.
Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.
Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).
Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.
Ili tuendelee Tanzania tunataka Rais awe na vyote, angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.