Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na Intellectual

swadakta mkuu, vijiji vya ujamaa vilifaa zaidi sehemu zilizochelewa kupata maendeleo ila kwa wale watu ambao walikuwa tayari na mashamba na mifugo huko kulishindikana kabisa na hawakujigusa, lengo lake halikuwa baya nakiri pia hilo
Lengo halikuwa baya, lakini unawatia watu hasara ya kuwavunjia miji na kuwahamisha kutoka mashamba yao tena bila fidia yoyote. Lile zoezi ni laana maeneo yalikofanyika
 
"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.

"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.

Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.

Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi hakuwa na Uzalendo wala hakuwa Intellectual.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.

Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.

Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.

Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.

Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).

Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.

Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame ambao ni patriotic na intellectuals.

Jiwe ni bure kila mahali!

Patriotism ni bure...una-confuse upenda sifa na patriotism mzee!

Jamaa anapenda sifa hadi za kijinga aonekane!

Una-confuse na hiyo,which is very likely for anyone to mix’em up!

Jamaa anafanya anything for his larger than life narcissism!

Patriotism ni really another concept kabisa!

Jiwe kote anapata F...

Hadi vitu vidogo kama hiring and firing anafeli kabisa!

Na bado hiring yake na firing yake anafanya so carelessly mpaka unashangaa,is this dude doing all these in his sober and rightful mind!

Jamaa anapata F kote,hakuna mahali anapata hata D,nowhere!
 
"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.

"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.

Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.

Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi hakuwa na Uzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha uzalendo na kuipenda nchi na kupenda watu wake.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.

Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.

Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.

Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.

Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).

Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.

Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.

Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kimaendeleo, tutakuwa wa kulinganishwa na SA.
Nyerere hakuwa intellectual kiasi icho sema alikuwa mjuaji mjuaji tu wa mambo mchambuzi. Angekuwa intellectual kwa miaka24 aliyokaa tungekuwa kama singapore au Qatar au Dubai.
 
Ukitaka uchambuzi mzuri au ku compare uzuri wa viongozi waliopita na wa sasa huwezi kupata majibu yaliyo sahihi kwa kuwa uongozi uliopita na wa sasa walikuwa na malengo yale yale ya kulinda mfumo chama chao chama kimoja.Labda ningesema Mwalimu Nyerere ndie alingamuwa kuwa panaitajika mabadiriko ya mfumo wa vyama vingi wenye mlengo wa demokrasia hili chama chao CCM kisibweteke kipate changamoto za uongozi hili kijisahihishe kuleta maendeleo ya kweli.Huwezi kuchambua au ku compare watu wenye malengo yale yale ya kulinda mfumo wa kumaintain status quo hautaona difference.
 
Nyerere hakuwa intellectual kiasi icho sema alikuwa mjuaji mjuaji tu wa mambo mchambuzi. Angekuwa intellectual kwa miaka24 aliyokaa tungekuwa kama singapore au Qatar au Dubai.
Alikuwa na mapungufu yake lakini he was the best compare to the rest . Waliofuata wamekuwa wabinafsi zaidi. Wametuingiza mkenge wa mikataba itakayoendelea kuitesa nchi kwa miaka mingi sana
 
Katika watu wapumbavu duniani niliowahi kuwasoma wewe uko namba moja. Unakalia kunyaaa maneno yako kwa amani ni nyerere. Kwa Afrika hii ni jambo kubwa sana . Na bila vita vya uganda na kuwasaidia wenzetu majirani tungekuwa mbali sana. Jinga la kiwango cha juuu sana
Yani mimi katika maraisi wote, namkubali Kikwete na mwinyi...

Kwanza nyerere ndio amesababisha haya yote

Nyerere ni overrated sana

..... Mfano mzee mwinyi ndio angekuwa raisi wetu wa kwanza, leo tungekuwa mbali sana
 
Maweee...... Kumbe jiwe ni jiwe kabisa kichwani hamna kitu?
[/QUOT........Aisee wewe jamaa uki comment kwanza naangalia picha hiyo ya ''Usuofia'' halafu jina lako Bujibuji halafu nikitafakari ninacheka sana. Hongera kwa ubunifu
 
Wapi JPM amekataa kukosolewa. Mnacheza mziki hata msioulewa. Au unamaanisha kutukanwa. Mbona na bado kawaacha tu. Mnajiteka mnajirudisha anawaangalia tu, angekuwa na hali 20% ya kagame ndo mngejuta
Kama unakiri kuwa hata Mungu anakosolewa, kwann uyo Msukuma wenu yy hataki kukosolewa, na akikosolewa nyinyi msio na kazi mnawatusi wanaomkosoa, as if huyo ngosha ni mungu mkuu
 
NINAKUBALIANA NA WEWE KWA ASILIMIA ZOOOOTEE (100%). THIS IS IN INDEED A CRITICAL ANALYSIS OF CASES (NYERER, MWINYI, MKAPA, KIKWETE & MAGUFULI)

"Uzalendo" (patriotism) ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unakaribiana sana na utaifa, ukizidi sana huitwa uzalendo kipofu au uzalendo bubu.

"Intellectual" (mtanisaidia kiswahili chake), is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.

Marais tuliowahi kuwa nao ni Nyerere tu aliyekuwa navyo angalau vyote.

Nyerere alikuwa Mzalendo na angalau alikuwa Intellectual.
Mwinyi hakuwa na Uzalendo wala hakuwa Intellectual. Tofautisha kuipenda nchi, kupenda watu wake na Uzalendo.
Mkapa alikuwa Intellectual lakini hakuwa Mzalendo.
Kikwete hakuwa Mzalendo lakini alikuwa mjanja half intellectual.
Magufuli ni Mzalendo lakini si Intellectual.

Nyerere alikuwa na uwezo wa kulinda maliasili za taifa alikuwa na uwezo wa kuwaambia wawekezaji wayaache madini hayaozi, alikuwa na mapenzi na nchi yake na watu wake alikuwa na uwezo kiakili na alikuwa haogopi challenges hata UN walitambua hilo.

Mwinyi hakuna na malengo yeyoye ya muda mrefu kwa nchi zaidi ya kusolve matatizo ya kipindi kifupi (biashara huria), hakuwa na uzalendo wala uwezo kiakili (critical thinking), alikuwa muoga wa challenges, alikuwa dhaifu kiuongozi.

Mkapa alikuwa na uwezo kiakili (critical thinker), hakuogopa challenges, lkn uwezo wake haukutumika kwa faida ya kulisaidia taifa (NBC case), alivunja misingi mingi ya kitaifa aliyoikuta, aligawa maliasili nyingi za taifa kwa wageni, hakuwa mzalendo.

Kikwete alipenda watu wake wa karibu (inner circle) lkn si nchi, half patriotism, hakupenda challenges ingawa hakuzikimbia (democracy case), hakujali sana maliasili za nchi kupotea iwe kwa kuibiwa au kwa mikataba feki, mengi alifanya kwa ajili yake na machache kwa ajili ya taifa (half intellectual).

Magufuli ni mzalendo halisi anaipenda nchi yake lakini siyo intellectual, anaogopa challenges, anataka kulinda maliasili za taifa lkn hana uwezo (hataki kujijengea uwezo) wa kugundua tricks za mabeberu, anatumia nguvu instead, (Acacia case), kwa kutambua hilo wajanja wanatumia uzalendo bubu kwa maslahi yao.

Tanzania tunataka Rais awe na vyote angalau Nyerere alionekana kuwa navyo, tunataka rais kama Putin, rais kama Kagame, Abiy Ahmed ambao ni patriotic na intellectuals.

Kwa utajiri tulionao siku Tanzania ikipata Rais mzalendo na intellectual hakuna nchi Afrika Mashariki na Kusini itakayotupata kwa maendeleo na uchumi, itakuwa nchi ya kulinganishwa na SA.
 
Natofautiana nawe kidogo Mkuu..

JPM sio mzalendo..ila anapenda aonekane Mzalendo..

Huyu zaidi ni MBINAFSI, refer mambo ya maendeleo yanayoendelea Chato hivi sasa.

Kiongozi Mzalendo kwa nchi yake huwa ana watreat wananchi wake wote equally..huyu ni tofauti kabisa kwani ana vimelea vya ukabila na kuwapendelea watu wa kanda yake.
Asante mkuu kwa mawazo yako, huwa napenda sana kuwatumia Putin na Kagame kama mifano ya uzalendo, si kwamba wanapendwa sana ndani ya nchi zao, lkn linapokuja suala la kuzinufaisha nchi zao kutoka nje huwa wako makini sana.

Naweza kusema Magufuli ni mzalendo lkn mbaguzi, kila kiongozi ana dosari yake, akitoa ubaguzi (kiitikadi, kikanda, kikabila nk) ubaguzi wa aina yeyote ile anaweza kuwa rais bora.
 
Katika watu wapumbavu duniani niliowahi kuwasoma wewe uko namba moja. Unakalia kunyaaa maneno yako kwa amani ni nyerere. Kwa Afrika hii ni jambo kubwa sana . Na bila vita vya uganda na kuwasaidia wenzetu majirani tungekuwa mbali sana. Jinga la kiwango cha juuu sana
Asante mkuu nashukuru kwa kunitukana

Maybe i deserve it[emoji4]

ila ndio mawazo yangu, kama unaona wewe ndio unae jua zaidi na ukaona hiyo ndio njia bora ya kutoa hoja yako... Basi sawa
 
swadakta mkuu, vijiji vya ujamaa vilifaa zaidi sehemu zilizochelewa kupata maendeleo ila kwa wale watu ambao walikuwa tayari na mashamba na mifugo huko kulishindikana kabisa na hawakujigusa, lengo lake halikuwa baya nakiri pia hilo
Nakubaliana na wewe vijiji vya ujamaa havikufanikiwa sana Kilimanjaro na Kagera kwa sababu hizo.
 
Nyerere hakuwa intellectual kiasi icho sema alikuwa mjuaji mjuaji tu wa mambo mchambuzi. Angekuwa intellectual kwa miaka24 aliyokaa tungekuwa kama singapore au Qatar au Dubai.
Pamoja na mapungufu yake Nyerere alikuwa visionary president, hadi mwishoni mwa miaka ya 70 Nyerere alikuwa anafanya vizuri, vita ya Kagera ndio ilimfanya aonekane kashindwa.
 
Nyerere hakuwa intellectual kiasi icho sema alikuwa mjuaji mjuaji tu wa mambo mchambuzi. Angekuwa intellectual kwa miaka24 aliyokaa tungekuwa kama singapore au Qatar au Dubai.
umeandika hivi na viroba vimepigwa marufuku vingekuwepo si ungeharisha maneno?
 
Tz hata ashuke yesu kuongoza bado mtalalamika sioni ajabu
Ni kweli aisee Tanzania kila mtu ni kocha.
Kwa mfano Mimi sijaelewa kwa nini Magufuli hayupo kwenye kundi la Intellectuals?
Kama research na planning zake hakuna mtu anayejua mbinu zake hadi leo.
Kwa mfano akiamua kutembelea wizara fulani anakuwa na data zote from A to Z.
Na Kama alikuwa na uwezo wa kujua mpaka idadi ya samaki,mifugo,barabara zote kwa nchi nzima na kujua bado ngapi zinaendelea na ujenzi pamoja na zitakazojengwa.
Kwa nini asiwe intellectual?
 
Si kila mtu aliyesoma na au kuandika thesis yake ni intellectual, intellectualism goes beyond that.

"Intellectual", is a person who engages in critical thinking, research, and reflection about society, proposes solutions, understand things especially complicated ideas.
 
Nakubaliana na wewe vijiji vya ujamaa havikufanikiwa sana Kilimanjaro na Kagera kwa sababu hizo.
mie sikutaka kutaja sehemu tuu ila huko ndiko ilishindikana kabisa,sehemu nyingine ujamaa uliwasaidia sana maana walikuwa hawajasonga kiasi ambacho ujamaa ungewaathiri kwakutelekeza mashamba yao ambayo yalikuwa tayari yanamazao hasa ndizi, kahawa. n.k
 
Back
Top Bottom