TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
Umejibu nusu ya swali langu..biblia inasemaje kuhusu hivi viumbe? Ni najisi au sio najisi?

Nadhani itakuwa sio haki mimi kukujibu hili swali wakati wamo wafuasi wa hicho kitabu.
Calling Nyakageni and Eiyer please!
Kuna ndugu anaswali hapa kuhusu hio kitabu mnayofuata.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani itakuwa sio haki mimi kukujibu hili swali wakati wamo wafuasi wa hicho kitabu.
Calling Nyakageni and Eiyer please!
Kuna ndugu anaswali hapa kuhusu hio kitabu mnayofuata.
Wewe ndio umequote Biblia mara kibao kwenye hii thread. Naomba uendelee kutusaidia.Mambo ya Walawi 11:3-6 na 9-12 inasemaje?
 
mtu unawaza kufanya ngono mbinguni! Mtume wako anawaza ngono na Bikra Maria, nikujibu wakati unaandika na kufikiri anticlockwise? ushetani?

Teh teh teh teh!
Wanajukwaa I rest my case!

Ni bora kumuuliza kondoo maswali! Huenda baada ya miaka kadhaa akatokea kukujibu!

Kila la kheri wanajukwaa! I am out!

I have got too much to loose speaking to an empty head!
 
Usikimbie mkuu..bado hujatusaidia "kuquote" hiyo mistari ya hicho kitabu tunachofuata kama nilivokuomba. Tafadhali
 
Usikimbie mkuu..bado hujatusaidia "kuquote" hiyo mistari ya hicho kitabu tunachofuata kama nilivokuomba. Tafadhali
Ha ha ha haaaa!!
watoto wa mjini wanasema, amesanda! gombesugu, Ritz, Boko haram na magaidi wengine njooni mumsaidie mwenzenu. Bible inasomwa kama una roho mtakatifu na siyo majini
 
Last edited by a moderator:
Akhsante kaka kwa mchango wako. Kimsingi uislamu ni dini iliyo systematic katika mafunzo yake na pia zimewekwa njia za kuifahamu dini ya uislamu. Hakuna nafasi ya mtu binafsi kuingiza ufahamu wake ktk dini hii unaopingana na wale waja wema waliotangulia(maswahaba r.a na waliowafuatia wao kwa wema mpaka siku ya mwisho). Kwahiyo hakuna njia yeyote muislamu au asiyekuwa muislamu anaweza kuleta ufahamu wake utakaopelelea upotoshaji wa uislamu. Samahani kwa kukuhubiri dini. Matendo ya makundi kama alshabab, Boko haram, alqaida n.k yanayojinasibisha/kunasibishwa na uislamu kiuhalisia yako mbali na uislamu. Tatizo ni kuwa propaganda imeshatengenezwa kwa makusudi na dunia kuhakikisha sura nzuri ya uislamu inaharibika kwa kuhusisha matukio ya kihalifu yanayofanywa na waislamu kuwa ni kutokana mafunzo yatolewa na dini. Lakini pia waislamu wenyewe kutokana na madhila wanayokumbana nayo kutoka kwa tawala mbalimbali duniani, inapotokea matatizo yanawapata wadhulumu wao, lazima nao wafurahie kulingana na yale yanayowasibu kutoka kwa wadhulumu hao. Chukulia mfano wewe unafiwa na mtoto wako kipenzi labda kwa ugonjwa wa malaria na jirani yako akawa anafurahia msiba wako je akipatwa na tatizo na wewe kama subira huna utafanyaje? Waislamu wanaandamana kila kukicha duniani na kuonyesha kutokubaliana na matendo mengi ya dhulma dhidi yao na hata wenzao wa dini nyingine lakini ni nani wa kuwasikiliza? Nani wa kuyapa airtime matukio yale wayafanyayo waislamu? Juzi waislamu walizuia makanisa yasichomwe kule Misri, nani akiwemo Cnn,BBC na wengineo waliyoyapa kipaumbele matukio yale? Kwahiyo utaona chuki, dhulma na propaganda dhidi ya uislamu na waislamu ndio matokeo ya matatizo haya. Na huu ni mpango wala hayatokei kwabahati mbaya. Dunia itakuwa salama ukiwepo uadilifu na ukikosekana kamwe tusitegemee haya kuisha.

Chamviga.
Kiukweli sijaridhika na majibu yako juu ya maswali yangu. Kama ikitokea Waislam wanafurahia vitendo vya Al-shabab,Boko Haram n.k kwa kua waliofanyiwa sio waislamu, na wakati huo huo huyo mtendaji Al-Shabab,Boko Haram n.k akisema anafanya hivyo kwa mujibu wa kufuata kitabu cha Quran, je haistoshi kuwaita majina hayo ya MUSILM MILITIA n.k??

Kumbuka hata Al-Jazeera ambacho ni kituo cha utangazaji cha Qatar nchi ya kiislamu, nao pia wanatumia jina hilo hilo?? sasa nao pia wanapanga hizo propaganda??.

Swali lingine ni kwanini HISTORIA MPYA anayotaka kuandika Mohamed Saidi, haiwazungumzii akina Kasanga Tumbo, Edwin Mtei, Oscar Kambona , Walfgong n.k??? . Je wao sio wahanga wa utawala wa Baba wa Taifa Julius Nyerere??
 
Wayne,
Ahsante sana kwa mchango wako.

Mimi sijalalamika.
Ninachokifanya ni kueleza ukweli kama niujuavyo.

Kile ambacho kimepotoshwa au hakijulikani basi mie hukieleza.
Mfano ni hii mada niloweka hapa jamvini.

Angalia mfano huu mmoja tu.
Wengi wakiamini kuwa TANU imeasisiwa na Nyerere.

Lakini ukweli ni kuwa hata kabla ya Nyerere kuja Dar es Salaam Abdulwahid Sykes alishatoa wazo hilo kwa Chief David Kidaha Makwaia.

Huu ulikuwa mwaka 1950.
Yapo mengi nimeeleza.

Sasa ulalamishi uko wapi katika maelezo yangu?

M

Kaka

Una zile tambo za kimanyema...teh...teh..ndizo nazungumzia...punguza mzee wangu...just joking.....mimi ni mkristo, na binafsi nakukubali sana, except pale unapoingiza udini na kuzihusisha na uhuru wa tanganyika.

Ninavyofahamu mimi na wewe unalijua hilo deep down kwenye moyo wako...UHURU WETU HAUKUWA NA RANGI YA DINI YEYOTE.

Turudi kwenye mada, umetoa mfano wa kuanzishwa kwa TANU, nikuulize!...

Je?!, ungezungumzia mchango wa Mufti Hassan bin Amir bila ya kutaja dini yake, kungekuwa na tatizo gani??!!...nani asiyejua kuwa jina la Hassan ni la mwislamu....nani asiyejua mchango wa bibi Titi Mohamed...mpaka umuhusishe bibi yetu mpendwa yule na dini yake ya kiislamu na kusema wamesahaulika???

Dini zote zinahimiza kusamehe naamini hivyo...hata kwenu ninyi wenzetu waislamu....kwani kusamehe ndiyo kunatufanya tuwe binadamu...bila ya kusamehe ubinadamu wetu haujakamilika...naamini bibi Titi alisamehe, sheikh Suleiman Takadir alisamehe pia...hata Mwalimu na Oscar pia walisamehe, kwani huwezi kufanya jambo kubwa kama lile la kutafuta uhuru wa nchi bila kutofautiana nivyi kwa nivyi...Naamini tofauti zile was for the good of the country...hazikuwa personal

Mzee samehe, ili ubinadamu wako ukamilike...tupo kwenye healing process kama taifa...usiongeze maumivu zaidi...tumegawanyika kuliko kipindi chochote katika historia ya taifa hili

Je, umepata kujiuliza, bibi Titi alikuwa na maono ya kupigania nchi huru yenye mgawanyiko kama huu wa kidini na kumwagiana tindikali???!!....je, hii ndiyo tanganyika aliyoitoa bibi yetu...ni tanganyika hii ambayo alitumia usichana wake kuipigania??

nina uhakika founders wa taifa hili, bibi Titi akiwemo, Hamza Mwapachu na wengine, wasingekubaliana na haya maandishi yako ambayo wewe unaamini unazungumza kwa niaba yao....

kuna mengi mazuri kwenye maandiko yako kama nilivyoandika awali...lkn narudi kukuomba upitie(revise) matoleo yako yote na kuondoa hizo element za kidini....naamini vitabu vyako utakuwa ni utajiri mkubwa ambao utakuwa umewaachia uzao wako, kwani hiyo nayo ni asset, wewe msomi unalijua hilo.

Naamini kuwa huwatendei haki watanzania ambao hawajui unayoyajua wewe...

Staili uliyochagua itapelekea hata kazi nzuri uliyofanya vizazi vijavyo washindwe kujua TANU kaanzisha nani?...watoto wetu wanafundishwa mambo ya uongo...wataambiwa TANU alianzisha....Hudson alivyokuja kufundisha stars...LOL

Acha legacy...acha jina la Mohamed Said....lizungumze kutoka mbali, ikiwa ALLAH ataamua vinginevyo...kama ambavyo leo Abul Sykes na Dosa wanasema na watanganyika wakiwa huko waliko...

Acha jina ambalo uzao wako utajivunia

Asalaam aleikum tena

To this man being an ISLAM is enough to be mentioned in his list of heroes.Down to his list he forgot to put AL SHABAAB,BOKO HARAM,JANJAWEED,AL QAEDA,OSAMA,MOHAMED FARA AIDEED,SHEIKH PONDA....OMAR AL BASHIR BUT NOT GREAT LEADER LIKE MOAMAR GHADAFI.
 
mtu unawaza kufanya ngono mbinguni! Mtume wako anawaza ngono na Bikra Maria, nikujibu wakati unaandika na kufikiri anticlockwise? ushetani?

John 3:16
For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

[video=youtube_share;1A3xBFD9ExI]http://youtu.be/1A3xBFD9ExI[/video]

Sasa tazama Qur'an 112:1 - 4

Say, "He is Allah , [who is] One,
Allah , the Eternal Refuge.
He neither begets nor is born,
Nor is there to Him any equivalent."
 
To this man being an ISLAM is enough to be mentioned in his list of heroes.Down to his list he forgot to put AL SHABAAB,BOKO HARAM,JANJAWEED,AL QAEDA,OSAMA,MOHAMED FARA AIDEED,SHEIKH PONDA....OMAR AL BASHIR BUT NOT GREAT LEADER LIKE MOAMAR GHADAFI.

ha ha haaaa! Boko haram maana yake Western education ni haramu! Physics, Chemistry, Biology, Accountancy, Medicine etc. Eti daktari atumie Koran, mhasibu wa benki a debit na ku-credit kwa kutumia Koran! Hii dini majanga
 
John 3:16
For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

[video=youtube_share;1A3xBFD9ExI]http://youtu.be/1A3xBFD9ExI[/video]

Sasa tazama Qur'an 112:1 - 4

Say, "He is Allah , [who is] One,
Allah , the Eternal Refuge.
He neither begets nor is born,
Nor is there to Him any equivalent."

fafanua na hii: John 16:2 they shall put you out of the synagogues:yea, the time cometh, that whosoever killeth you will think that he doeth God service.

Kwa ufupi ni kuwa mtaua na kufikiri mnafanya ibada kwa Mungu! Kumbe shetani
 
Kaka

Una zile tambo za kimanyema...teh...teh..ndizo nazungumzia...punguza mzee wangu...mimi ni mkristo, na binafsi nakukubali sana, except pale unapoingiza udini na kuhusisha uhuru wa tanganyika.

Ninavyofahamu mimi na wewe unalijua hilo deep down kwenye moyo wako...UHURU WETU HAUKUWA NA RANGI YA DINI YEYOTE.

Turudi kwenye mada, umetoa mfano wa kuanzishwa kwa TANU, nikuulize!...

Je?!, ungezungumzia mchango wa Mufti Hassan bin Amir bila ya kutaja dini yake kungekuwa na tatizo gani...nani asiyejua kuwa jina la Hassan ni la mwislamu....nani asiyejua mchango wa bibi Titi Mohamed...mpaka uhusishe bibi yetu yule na dini yake ya kiislamu na kusema wamesahaulika???

Je, bibi Titi alikuwa na maono ya kupigania nchi huru yenye mgawanyiko kama huu wa kidini na kumwagiana tindikali....nina uhakika founders wa taifa hili, bibi Titi akiwemo, Hamza Mwapachu na wengine, wasingekubaliana na haya maandishi yako ambayo wewe unaamini unazungumza kwa niaba yao.

Naamini kuwa huwatendei haki watanzania ambao hawajui unayoyajua wewe...

Staili uliyochagua itapelekea hata kazi nzuri uliyofanya vizazi vijavyo washindwe kujua TANU kaanzisha nani?

Acha legacy...acha jina la Mohamed Said....lizungumze hata kutoka mbali hata pale ambapo ALLAH ataamua vinginevyo...kama ambavyo leo Abul Sykes na Dosa wanasema na watanganyika wakiwa huko waliko...

Acha jina ambalo uzao wako utajivunia

Asalaam aleikum tena

Waleikum Salaam Wayne,
Tambo za Kimanyema...sina la kusema katika hili.

Kutaja Waislam...

Sasa vipi nitamwandika Sheikh Hassan bin Amir na mchango wake katika uhuru na ndani ya TAA Political Subcommittee nikwepe kutaja sifa zake na huu Uislam ukiwa moja ya sifa zake kubwa?

Vipi nitaandika historia ya Dedan Kimathi naiche kueleza kuwa alikuwa Mkikuyu?
Utaweza kweli kumwadika Dedan Kimathi nje ya hayo?

Kama hujatishika na Ukikuyu wa Dedan Kimathi usitishike na Uislam was Sheikh Hassan bin Amir.

Lakini kinachokutia hofu wewe ndicho kilichomtia hofu Nyerere ikawa watu hawa anaogopa kuwataja hadi anaingia kaburini.
Lakini je ndiyo kuwa hawakuwapo na hawakuuunda TANU na kuupigania uhuru wa Tanganyika?

Ama kuendelea kutajika au vinginevyo hili si jambo linalinishughulisha.
Kuwa mimi nazungumza kwa niaba ya ile ''team'' ya akina Hamza Mwapachu hili si kweli.

Mimi naandika historia kama nilivyoipokea kwa wazee wangu na kama utafiti ulivyoonyesha na mie kuipa tafsiri yangu.
Yapo mengi katika mchango wako tungeweza kuyazungumza lakini hapa panatosha.
 
fafanua na hii: John 16:2 they shall put you out of the synagogues:yea, the time cometh, that whosoever killeth you will think that he doeth God service.

Kwa ufupi ni kuwa mtaua na kufikiri mnafanya ibada kwa Mungu! Kumbe shetani

Maliza John 3:16, ulitaka aya tumekupa. Bado tu?

Rudi kwenye mada:
[h=2]TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)[/h]
 
John 3:16
For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

[video=youtube_share;1A3xBFD9ExI]http://youtu.be/1A3xBFD9ExI[/video]

Sasa tazama Qur'an 112:1 - 4

Say, "He is Allah , [who is] One,
Allah , the Eternal Refuge.
He neither begets nor is born,
Nor is there to Him any equivalent."

siku zote nawaambia kaeni na kitabu chenu. Uislam na ukristo ni dini mbili tofauti. Aristotle aliwahi sema, 'the worst form of inequality is trying to make two unequals equal'
 
Yohana 16:2 . . . . Naam saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamfanyia Mungu ibada.

Chezea Bible wewe! Ueni tu mkidhani kuwa mko na Mungu kumbe agents wa shetani
 
Waleikum Salaam Wayne,
Tambo za Kimanyema...sina la kusema katika hili.

Kutaja Waislam...

Sasa vipi nitamwandika Sheikh Hassan bin Amir na mchango wake katika uhuru na ndani ya TAA Political Subcommittee nikwepe kutaja sifa zake na huu Uislam ukiwa moja ya sifa zake kubwa?

Vipi nitaandika historia ya Dedan Kimathi naiche kueleza kuwa alikuwa Mkikuyu?
Utaweza kweli kumwadika Dedan Kimathi nje ya hayo?

Kama hujatishika na Ukikuyu wa Dedan Kimathi usitishike na Uislam was Sheikh Hassan bin Amir.

Lakini kinachokutia hofu wewe ndicho kilichomtia hofu Nyerere ikawa watu hawa anaogopa kuwataja hadi anaingia kaburini.
Lakini je ndiyo kuwa hawakuwapo na hawakuuunda TANU na kuupigania uhuru wa Tanganyika?

Ama kuendelea kutajika au vinginevyo hili si jambo linalinishughulisha.
Kuwa mimi nazungumza kwa niaba ya ile ''team'' ya akina Hamza Mwapachu hili si kweli.

Mimi naandika historia kama nilivyoipokea kwa wazee wangu na kama utafiti ulivyoonyesha na mie kuipa tafsiri yangu.
Yapo mengi katika mchango wako tungeweza kuyazungumza lakini hapa panatosha.

Unayosema yana kaukweli fulani ila do not let your wrong opinion overrule the truth.Unazungumzia hili jambo kiushabiki sana ktk mrengo wa dini ndo maana tumekushtukia ,haijatokea unapotaja the so called mashujaa ukataja wakristo.Unapojaribu kuwazungumzia wapigania ukombozi mbona kuwataji wale wanaojulikana kiukweli kama Mirambo wale wa vita ya majimaji nk.Pia Tanzania haikuwa koloni la Uingereza bali ilikuwa Protectorate baada ya vita ya pili ya dunia hadi hapo tutakapokuwa na uwezo wa kujitawala..acha kujishaua sana.Kubwa hakuna ubora unaoweza kuonekana kati ya dini zote, ila ubora upo ndani ya muumini wa dini hiyo kwani ni mambo ya kiimani.

Kutaja Waislam...

Sasa vipi nitamwandika Sheikh Hassan bin Amir na mchango wake katika uhuru na ndani ya TAA Political Subcommittee nikwepe kutaja sifa zake na huu Uislam ukiwa moja ya sifa zake kubwa?

[/SIZE][/FONT]Vipi nitaandika historia ya Dedan Kimathi naiche kueleza kuwa alikuwa Mkikuyu?
Utaweza kweli kumwadika Dedan Kimathi nje ya hayo?

Kama hujatishika na Ukikuyu wa Dedan Kimathi usitishike na Uislam was Sheikh Hassan bin Amir.

okay fine, ukimaliza hii andika ushetani uliofanywa na akina Seyyid Said and company waislam walioua wakati wa biashara ya utumwa!

Ukimaliza uandike akina aunt Juma na aunt Ali na ushoga. Katika Afrika Mashariki mashoga wako kwa wingi Mombasa, Dar na Zanzibar na wengi wao ni waislam! (yes Dedani Kimathi ni mkikuyu na shoga Ali pale mchambawima Zanzibar ni muislam)

ukimaliza uandike kuhusu wauza unga kwani 80% ni waislam
 
This man Mohamed, who in his right mind invites him to deliver a speech!!! What is written is gibberish and has no drop of truth! His religious hatred is no less than that of Al Shabab or Osama! Stop the hate speeches in this forum...better take it to Jukwaaa la Dini!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom