hapa hapa tunawapa za uso na under the belt. Wamezidi! Kikwete kawalea sasa wameota mapembe. Siogopi kujilipua kwao,fatwa, majini wala uchawi/uganga wa Koran
Unasema "tuachieni mungu wetu yesu!
Hebu ngoja niwaulize wasomaji hapa!
Manake kukuuliza wewe ni sawa na kuongea.na mbuzi!
Yesu anasema;-
YOHANA 5:37- - -Naye Baba-aliyenituma-hunishuhudia. Ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake.
-------
YOHANA 7:16- - -Hapo Yesu akawajibu, "Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeyealiyenituma.
YOHANA 7:28- - -Basi, Yesu alipokuwa anafundisha Hekaluni alipaaza sauti na kusema, "Ati mnanijua; hata nilikotoka mnakujua! Hata hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye-aliyenituma-mimi ni wa kweli, nanyi hamumjui.
YOHANA 7:29- - -Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye-aliyenituma."
YOHANA 7:33- - -Yesu akasema, "Bado niko nanyi kwa muda mfupi, kisha nitamwendea yulealiyenituma.
-------
YOHANA 8:16- - -Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba-aliyenituma-yuko pamoja nami.
YOHANA 8:18- - -Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba-aliyenituma, ananishuhudia pia."
YOHANA 8:26- - -Ninayo mengi ya kusema na kuhukumu juu yenu. Lakini yule-aliyenituma-ni kweli; nami nauambia ulimwengu mambo yale tu niliyoyasikia kutoka kwake."
YOHANA 8:29- - -Yule-aliyenituma-yuko pamoja nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale yanayompendeza."
-------
YOHANA 6:38- - -kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule-aliyenituma.
YOHANA 6:39- - -Na matakwa ya yule-aliyenituma-ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote Siku ya mwisho.
-------
YOHANA 12:44- --Kisha Yesu akasema kwa sauti kubwa, "Mtu aliyeniamini, haniamini mimi tu, ila anamwamini pia yule-aliyenituma.
YOHANA 12:49- --Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba-aliyenituma-ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.
-------
MATAYO 10:40- -"Anayewakaribisha ninyi, ananikaribisha mimi; na anayenikaribisha mimi, anamkaribisha yule-aliyenituma.
-------
MARKO 9:37- - - -"Anayempokea mtoto-kama-huyu kwa jina langu, ananipokea mimi; na anayenipokea mimi, hanipokei mimi tu, bali anampokea yule-aliyenituma."
-------
LUKA 9:48--akawaambia, "Mtu yeyote anayempokea mtoto huyu mdogo kwa jina langu, ananipokea mimi; na yeyote anayenipokea mimi, anampokea yulealiyenituma. Maana yule aliye mdogo kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkubwa kuliko wote."
-------
LUKA 10:16- - - --Halafu akasema, "Anayewasikiliza ninyi, ananisikiliza mimi; na anayekataa kuwapokea ninyi, anakataa kunipokea mimi. Yeyote anayekataa kunipokea, anakataa kumpokea yule-aliyenituma."
-------
YOHANA 4:34- - -Yesu akawaambia, "Chakula changu ni kufanya anachotaka yule-aliyenituma-na kuitimiza kazi yake.
-------
YOHANA 9:4- - - -Kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yulealiyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.
-------
YOHANA 13:20- --Kweli nawaambieni anayempokea yule ninayemtuma anaponipokea mimi; na anayenipokea mimi, anampokea yulealiyenituma."
-------JE! MANENO HAYA YA KUSEMA YA YESU KURUDIA KILA MARA KUWA" NUMETUMWA" YANAWEZA KUTOKA MDOMONI MWA MTUMAJI (MUNGU)??
JE! KUNA UWEZEKANO MUNGU AKATUMWA??
Naomba wagalatia wenye akili timamu wamjibu huyu mtoto! Kanyageni!