Kitimoto pub huku Ununio, jijini Dar, nakula nguruwe mtamu kwa! Mi nitawapasha ukweli ili mbaki na kitabu chenu cha Koran na muache Biblia yetu
Teh teh teh!
Yaani wewe Mkanyageni ungelikuwa muislamu! Basi ningesema wakati wa kuzaliwa walisahau kukuadhinia! Au wali qim swala badala ya adhana!
Teh teh teh teh!
Hapa lzm utoke patupu, manake maneno adimu sana kwako haya!
Unajiita mfuasi wa Yesu, hali ya kuwa unamtukanisha Yesu hadharani kwa kujisifu kula nyama ya mnyama mwenye kutokwa damu ya mwezini?
Sasa huu si unafiki uliowazi kabisa?
Biblia ya asili inakufundisha nini kuhusu nyama ya huyo najisi!?
Hebu pata faida kidogo hapa!
Agano la Kale), Kitabu cha Walawi:
-"Na nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi,
Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama zao wala msiguse mizoga-yao"-(11: 7 - 8).
Na katika Kitabu cha Isaya:
"Mwenyezi Mungu asema hivi: 'Wapo watu waaojitakasa na kutawadha wapate kuingia katika bustani za ibada za sanamu; wanafanya maandamano na kuhani akiwa kati-yao. Watu hao hula nguruwe, panya na vyakula vingine haramu'"-(66: 17).
TUMESHAONA KABISA KUWA WEWE NI MNAFIKI!
UNASEMA UNAMFUATA YESU! KUMBE UNACHAGUA KIPI UFUATE NA KIPI USIFUATE!
Sasa hebu tuangalie je! Kiafya nguruwe ni ok kula?
Dkt. Simpson ana haya ya kusema kuhusu nyama hiyo:
"kwa sababu ya kuwa na mafuta mengi, nyama ya nguruwe ina tatizo kubwa kusagwa katika vyakula vyote. Mnyama huyo anaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa na lava wa-Taenia solium-hivyo kufanya "tegu (surua ya nguruwe)" na hii tegu inaleta aina ya tegu,-T. solium. Inaathiriwa zaidi na-Trichinella spiralis-ambayo inaleta maradhi ya "Trichinosis" (Imenukuliwa na Yousef Saleem,-Pork, A Bad Diet Prohibited by Islam,al-Islam, March/April, 1980, p. 29)
Sasa kama pia utashindwa kuangalia hata nafsi yako!. Basi wewe na yule unaemla! BORA YA UNAEMLA ANAFAHAMU NZURI KULIKO ZAKO!
Pole mkanywagaji!