TANZANIA - A Nation without Heroes (by Mohamed Said)

Status
Not open for further replies.
Mkuu Tayeb tumeshamalizana na huyu kijana!
Yesu kakataza kabisa kuendelea na maongezi na mtu wa jahannamu!

Na kwa sababu mimi na wewe tunampenda Yesu tutamsikiliza na tuachane nae kabisa huyu mtu!.
Asije tufanya na sisi tukamkosea adabu Yesu mwana wa maria!

Ahsante Dr kahtaan kwa maneno yako mazuri!

Naam, nami nakubaliana na wewe!
 
Last edited by a moderator:
mi sijawahi kuwa kiongozi wa CHADEMA! Just a common mwananchi. Sina talent ya kuwa kiongozi. Nawe unawaza mabikra wa ahera tu! Ngoja niweke kapicha ndo mtaelewa

Teh teh teh! Mkuu Ritz kijana amekiri mwenyewe kuwa HANA TALENT!
sasa mi naomba umuonee huruma tu!
Huenda ikawa ana kale kagonjwa kanaitwa amnesia! Dakika moja yeye ni Champion! Na dakika ingine Hana talent!
Chonde baba asije kunywa sumu huyu akadhani ni togwa!
 
Last edited by a moderator:
72_Virgins
 
Asante chama, hii hasa ndiyo sababu wengine tumeshindwa kabisa kujadili hii mada, imevamiwa na malimbukeni kwa malengo wanayoyajua wao. Hakuna jipya lolote linalojadiliwa humu lenye maana, ni zile zile porojo na hadithi za mitaa ya Gerezani, Kariakoo na Kipata...halafu wapo eti wanaoziamini! Mada muhimu zinapoletwa hapa za kujadili kuhusu mustakabali wa taifa (kubwa kwa sasa ikiwa ni katiba) humuoni Mohamed Said, Barubaru, FaizaFoxy wala gombesugu lakini anzisha ngano za Wamanyema kupigania uhuru wa Watanganyika, watavamia kama tai aliyenusa mzoga. Endeleeni na upuuzi wenu...sisi tunajadili katiba, hela zilizofichwa Uswisi na wezi na muundo wa Muungano!

[h=2]TANZANIA - A Nation without Heroes[/h]
 
Ndugu yangu Mohamed Said,

Salam Aleikhum, Umefanya kazi kubwa ya ubaguzi wa kihistoria, Hata sisi waislam sasa unatuchosha. Hieleweki lengo lako ni lipi katika uchunguzi na Mchango wa Uislam katika kutafuta Uhuru. Ningependa unijibu swali langu dogo, lengo la harakati za ukombozi wa Tanganyika ilikuwa ni Uhuru wa Tanganyika au promotion of Islam? Je, kuna mtu kakuzuia kuandika historia ya uislam na sifa nzuri za waislam? Tunajua unalipwa kuchonganisha ndugu. Nakuonya uache, au vaa mabomu kama wale jamaa zetu ila madhara unayajua. Mwisho fanya uzalishaji ishi na familia kama wenzio, maisha madogo yamekushinda sasa unapambana na Hayati Nyerere, hebu tumia elimu yako vizuri utasaidie ndugu zako unatuudhi bro!
 
Teh teh teh! Mkuu Ritz kijana amekiri mwenyewe kuwa HANA TALENT!
sasa mi naomba umuonee huruma tu!
Huenda ikawa ana kale kagonjwa kanaitwa amnesia! Dakika moja yeye ni Champion! Na dakika ingine Hana talent!
Chonde baba asije kunywa sumu huyu akadhani ni togwa!

keep dreaming somnambulist!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mohamed Said anastahili heshima. Si vizuri kummiminia matusi makali namna hii mzee wa watu. Ametumia uhuru wake wa kutoa maoni tumjibu kwa staha

astahili heshima hata kidogo mbegu aliyoipanda itaangamiza taifa... uzee wake usikutishe, mambo anayofanya huyu mzee ni ya kupingwa
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Mohamed Said,

Salam Aleikhum, Umefanya kazi kubwa ya ubaguzi wa kihistoria, Hata sisi waislam sasa unatuchosha. Hieleweki lengo lako ni lipi katika uchunguzi na Mchango wa Uislam katika kutafuta Uhuru. Ningependa unijibu swali langu dogo, lengo la harakati za ukombozi wa Tanganyika ilikuwa ni Uhuru wa Tanganyika au promotion of Islam? Je, kuna mtu kakuzuia kuandika historia ya uislam na sifa nzuri za waislam? Tunajua unalipwa kuchonganisha ndugu. Nakuonya uache, au vaa mabomu kama wale jamaa zetu ila madhara unayajua. Mwisho fanya uzalishaji ishi na familia kama wenzio, maisha madogo yamekushinda sasa unapambana na Hayati Nyerere, hebu tumia elimu yako vizuri utasaidie ndugu zako unatuudhi bro!

big up brother! Kudos!
 
mi sijawahi kuwa kiongozi wa CHADEMA! Just a common mwananchi. Sina talent ya kuwa kiongozi. Nawe unawaza mabikra wa ahera tu! Ngoja niweke kapicha ndo mtaelewa
Kwa hiyo wewe ni mateka wa Dr.Slaa na Mbowe au kule Chadema upo kutokana na wewe umetoka Kaskazini.
 
astahili heshima hata kidogo mbegu aliyoipanda itaangamiza taifa... uzee wake usikutishe, mambo anayofanya huyu mzee ni ya kupingwa[/QUOT

Humpendi mohammed said kwa dini yake na sio kwa maandishi yake.
 
Teh teh teh! Mkuu Ritz kijana amekiri mwenyewe kuwa HANA TALENT!
sasa mi naomba umuonee huruma tu!
Huenda ikawa ana kale kagonjwa kanaitwa amnesia! Dakika moja yeye ni Champion! Na dakika ingine Hana talent!
Chonde baba asije kunywa sumu huyu akadhani ni togwa!
Kwisha habari yake amebakia anarukuruka kama nguchiro, teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi,
Nimeweka hapa (attach) mada niliyowasilisha Nairobi kwenye ''Seminar on The Fiftieth Anniversary of the African Independences Marginalized, Forgotten, and Revived Political Actors'' iliyoandaliwa na IFRA French Institute for Research in Africa na BIEA British Institute in East Africa kuanzia tarehe 23rd and 24th September 2013.

Umeshaandika vitabu vingapi by now?
unatakiwa kuandika vitabu vingi iwezekanavyo
vitasaidia kizazi kijacho
 
astahili heshima hata kidogo mbegu aliyoipanda itaangamiza taifa... uzee wake usikutishe, mambo anayofanya huyu mzee ni ya kupingwa

Kama lipi? maana naona unapinga bila kuonesha unachokipinga. Au jina tu Mohamed Said linakutisha?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu Mohamed Said,

Salam Aleikhum, Umefanya kazi kubwa ya ubaguzi wa kihistoria, Hata sisi waislam sasa unatuchosha. Hieleweki lengo lako ni lipi katika uchunguzi na Mchango wa Uislam katika kutafuta Uhuru. Ningependa unijibu swali langu dogo, lengo la harakati za ukombozi wa Tanganyika ilikuwa ni Uhuru wa Tanganyika au promotion of Islam? Je, kuna mtu kakuzuia kuandika historia ya uislam na sifa nzuri za waislam? Tunajua unalipwa kuchonganisha ndugu. Nakuonya uache, au vaa mabomu kama wale jamaa zetu ila madhara unayajua. Mwisho fanya uzalishaji ishi na familia kama wenzio, maisha madogo yamekushinda sasa unapambana na Hayati Nyerere, hebu tumia elimu yako vizuri utasaidie ndugu zako unatuudhi bro!

Sema "unaniudhi" bro na sio kuwakilisha mawazo yetu kupitia fikra zako!

Weka ushahidi kua anatumika? Isije ikawa wewe ndio unatumika!
 
Salam Aleikhum, teh teh teh!! Waislam hawana salamu ya hivi.

Cc; kahtaan, THE BIG SHOW, Boko haram, gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Sema "unaniudhi" bro na sio kuwakilisha mawazo yetu kupitia fikra zako!

Weka ushahidi kua anatumika? Isije ikawa wewe ndio unatumika!
Mkuu Tayeb,

Usiingie kichwa kichwa teh teh teh! Jiwe na Stone huyo.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom