PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
726
Reaction score
953
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua changamoto ya foleni katika eneo hilo.

Hafla ya utiaji saini imefanyika leo Jumatano Machi 19, 2025 katika ofisi za TANROADS Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo Meneja wa TANROADS mkoani humo, Mhandisi Alinanuswe Kyamba, amesema mradi huo utaanza mara moja baada ya kusainiwa kwa mkataba.

“Leo tumetia saini mkataba wa ujenzi wa njia nne kwa kiwango cha lami kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe, wenye urefu wa kilometa 3.8. Ujenzi huu utagharimu shilingi bilioni 54 na utatekelezwa kwa muda wa miezi 15 kuanzia leo,” alisema Mhandisi Kyamba.

Mradi huo utatekelezwa na mkandarasi kutoka nchini China, STECOL Corporation, ambaye ameahidi kukamilisha kazi kwa ubora na kwa muda uliopangwa.

Akizungumza kwa niaba ya kampuni hiyo, Bw. Ma Ziheng alisema,

“Tutahakikisha tunazingatia viwango vya ubora na kukamilisha kazi kwa wakati kama mkataba unavyoelekeza.”

Barabara hiyo ni sehemu muhimu ya miundombinu ya jiji la Dar es Salaam, ambapo kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakikumbwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Kongowe.

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeeleza kuwa kukamilika kwa ujenzi huo kutapunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo na kuinua kiwango cha uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, kuwezesha maendeleo na kurahisisha maisha ya wananchi.

Itakumbukwa katika moja ya ziara zake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitoa agizo la kutatua changamoto ya foleni katika eneo la Mbagala Rangi Tatu na maeneo mengine yenye msongamano mkubwa wa magari jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Agizo hilo lililenga kuhakikisha kuwa serikali inatekeleza miradi ya miundombinu kwa haraka ili kuboresha hali ya usafiri na kuongeza ufanisi wa shughuli za kiuchumi kwa wananchi.

Mhandisi Kyamba ameongeza kuwa mradi huu ni moja ya hatua madhubuti za serikali katika kuboresha miundombinu ya barabara jijini Dar es Salaam, kama ilivyoelekezwa na Rais Samia.

“Tunatarajia baada ya ujenzi kukamilika, changamoto ya foleni kuanzia Mbagala Rangi Tatu itakuwa historia,” alihitimisha.

IMG-20250319-WA0052.jpg
IMG-20250319-WA0042.jpg
IMG-20250319-WA0047.jpg
IMG-20250319-WA0048.jpg
IMG-20250319-WA0049.jpg

View attachment 3276502View attachment 3276503View attachment 3276504View attachment 3276505View attachment 3276506
Mkataba gani tena wakati wachina wamejenga hiyo barabara ya mwendo kasi isiyoisha mpaka leo?
 
Kilomita 3.8 kwa miezi 15? Kua kitu hakiko sawa hapa
Hii ni njia sita. 3×6 sawa na Km 18. Pale kuna Daraja kubwa. Kuna kutenfeneza njia ya magri kupita wakati wa Ujenzi. Hapo ondoa miezi mitatu ya mobilization. Kwanza naona hatamaliza. Hii itafika 2027. Barabara ngumu hii. Pia ina madaraja madogo, kuna kukata Milima na kujaza kifusi nk
 
Kilomita 3.8 kwa miezi 15? Kua kitu hakiko sawa hapa
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua changamoto ya foleni katika eneo hilo.

Hafla ya utiaji saini imefanyika leo Jumatano Machi 19, 2025 katika ofisi za TANROADS Mkoa wa Dar es Salaam, ambapo Meneja wa TANROADS mkoani humo, Mhandisi Alinanuswe Kyamba, amesema mradi huo utaanza mara moja baada ya kusainiwa kwa mkataba.

“Leo tumetia saini mkataba wa ujenzi wa njia nne kwa kiwango cha lami kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe, wenye urefu wa kilometa 3.8. Ujenzi huu utagharimu shilingi bilioni 54 na utatekelezwa kwa muda wa miezi 15 kuanzia leo,” alisema Mhandisi Kyamba.

Mradi huo utatekelezwa na mkandarasi kutoka nchini China, STECOL Corporation, ambaye ameahidi kukamilisha kazi kwa ubora na kwa muda uliopangwa.

Akizungumza kwa niaba ya kampuni hiyo, Bw. Ma Ziheng alisema,

“Tutahakikisha tunazingatia viwango vya ubora na kukamilisha kazi kwa wakati kama mkataba unavyoelekeza.”

Barabara hiyo ni sehemu muhimu ya miundombinu ya jiji la Dar es Salaam, ambapo kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakikumbwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Kongowe.

Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeeleza kuwa kukamilika kwa ujenzi huo kutapunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo na kuinua kiwango cha uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla, kuwezesha maendeleo na kurahisisha maisha ya wananchi.

Itakumbukwa katika moja ya ziara zake, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitoa agizo la kutatua changamoto ya foleni katika eneo la Mbagala Rangi Tatu na maeneo mengine yenye msongamano mkubwa wa magari jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Agizo hilo lililenga kuhakikisha kuwa serikali inatekeleza miradi ya miundombinu kwa haraka ili kuboresha hali ya usafiri na kuongeza ufanisi wa shughuli za kiuchumi kwa wananchi.

Mhandisi Kyamba ameongeza kuwa mradi huu ni moja ya hatua madhubuti za serikali katika kuboresha miundombinu ya barabara jijini Dar es Salaam, kama ilivyoelekezwa na Rais Samia.

“Tunatarajia baada ya ujenzi kukamilika, changamoto ya foleni kuanzia Mbagala Rangi Tatu itakuwa historia,” alihitimisha.
View attachment 3276502View attachment 3276503View attachment 3276504View attachment 3276505View attachment 3276506
Twafa 3.8.x4. Tunapigwa 54bi. Wakati 1km ni 1b. Sijui hesabu za wopi hizi. Ifike mahali wawe wanatoa ufafanuzi wa matumizi ya hizo hela kwenye ujenzi.
 
Nchi imekuwa ya hovyo na kijinga hii.km 3 bilioni 54? Na watu Bado wanaona fahari?Nchi imeoza kabisa.wastani wa kujenga km Moja ni bilioni Moja na milioni mimbili Hadi mianne lakini kilomita tatu zimelamba Kodi zetu bilioni 54.Hii awamu ni ya kifisadi sana
 
Labda kwa sababu ya njiaaa 4

Ova
Mimi nimezidisha.mara nne hapo.inakuja kama 14 b kwa hiyo imeenda saana labda 20b. Ufafanuzi unahitajika
 
Kwa watu wenye akili za kawaida wanaona ni jambo jepesi na kwamba upigaji ni jambo rahisi hivyo wao ni wajanja na wamepata fursa ya kupiga hivyo wanaitumia. Ila sio kweli hiyo ni ishara kwamba Mungu hayupo na sisi.

Katika ulimwengu wa Rohoni mambo hayo ni tofauti kabisa, hilo ni giza na tena ni hasara ya kuwapa uongozi wasio maarifa maana yake nini basi? Mungu ametuacha kwa sababu Mungu anafanya kazi na ufahamu wetu. Ukisoma Hosea 4:6, Mungu anasema ukiyakataa maarifa naye anakukataa. Hao hawajali hatakama wangapi waangamie ili mradi matumbo yao yamejaa basi ninyi wengine mtajijua.
Ni hatari na laana tuombe na zaidi tuliombee taifa letu. Maana yako mengi ya gizani, Mungu anachagua machache kuyaleta nuruni ili yatufungue macho na tujue hatari inayotukabili. Alamsiki
 
Back
Top Bottom