Tanroads lindi

Tanroads lindi

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,654
Reaction score
5,055
Habari zenu wadau. Haya nipeni madesa ya maswali ya intavyuu. Meitwa Lindi tar 10 jan.
 
mpaka hapo hongera aise, Mungu akujalie ukamate kitengo.......sasa kwa ushauri tu kuna post iliwekwa humu kuhusu tanroad morogoro ukiweza kaingie mule coz wachangiaji wengi walikua nao wameitwa, then jaribu kuwauliza maswali yao yalikuaje huko moro
 
mkuu umeitwa lini na umepigiwa simu au kuna sehemu wameandika majina mana na mimi nilituma maombi:bowl:
 
wametoa majina au wamewapigia simu??nipe taarifa mkuu coz nami pia niliomba!
 
Asante mdau. Ngoja nipitiepitie.
 
wametoa majina au wamewapigia simu??nipe taarifa mkuu coz nami pia niliomba!
Mepigiwa simu Nzoya. wamenambia pia wamenitumia instruction letter through my mail box though bado haijanifikia.
 
mkuu umeitwa lini na umepigiwa simu au kuna sehemu wameandika majina mana na mimi nilituma maombi:bowl:
Watakupigia strason. Mi wamenikol last week.
 
Back
Top Bottom