deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 936
- 515
itakuwa labda watu wameanza kazi hata mimi niliomba ya cashier lakini mbaka leo kimya
hapana ht interview hawajaita na chini ya kapet meneja ndio kaitwa wizaran kwa utaratibu wa kuwasilisha budget means hadi ipitishwe ndio wataita interview na michakato mingne itaendelea. inawezekana ikawa mpaka mwisho wa bunge la budget.