Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
Kwanza nakupa hongera kwa kuuona mchana mwema huu wako wengi wanapigania roho zao
pale icu shaka umebahatika tu si kwa mema uliofanya
labda niende kwa wataalamu wa nyumba ndogo katika hili waweza kupata tatizo la kukimbilia
nyumba ndogo na kuacha familia yako najua mwisho wa siku ni kuzini...basi katika hili wakati ukitafuna
mfupa wa hiyo kuku ya kienyeji sijui ama ndio zile za wiki tatu aijalishi zote afya katika kubadilisha
mboga kama wasemavyo