Tangu Nyumba ya Zitto iungue naona hayuko vizuri!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,126
Huu ni mtazamo wangu ndugu wanaJF kwamba Ndugu yetu ZZK tangu nyumba yake kule Mwandiga "ichomeke" amekuwa mtu wa kupanic sana! Amekuwa na grievance na Serikali ya Dr.JPM sana! Kila kitu anapinga hata kwa hoja mfu!

Yaani anataka Rais na Serikali yake wasifanye BOLD decisions kwenye sekta ya madini kwa kuvizia Capital gain ya kuuziana Kampuni ! Nani alimdanganya Zitto kuwa lazima hao watu watafikia consensus na watauziana hiyo kampuni.Yawezekana hiyo pia ilikuwa ni strategy ya kutaka shares zao zi-appreciate kwenye market !

Rais Dr. JPM ni mtu mwenye akili na pia amezungukwa na watu wenye akili pia na ambao wamesoma vizuri pengine kuliko hata ZITTO! Sasa sio kupinga kila hatua anayochukua Rais that will be unfair and lack of vision to any citizen of this Nation,ZITTO included !

Mimi nashauri ZITTO atulie kwanza wakati huu ambao amezungukwa na changamoto nyingi ndani na nje ya Chama chake!

Zitto ni mwanasiasa mzuri ambaye Nchi yetu bado inamuhitaji sana! He is very analytical and critical something which is very healthy for the Nation.
 
Nae pia anatafuta kiki ya kutaka kujikwaa anguke aseme serikali ndio iliomtegea jiwe!
 
alitegemea serikali itampa ushirikiano kwa ujenzi mpya wa nyumba yake
 
Kwani alikwambia nyumba ndio tatizo lake?
"Mijitu" type ya huyu Obuma ndo imedumaza thinking capacity ya watu walio wengi! Hayawezi kuona mambo behind the scene au hawajawa trained to see "invisible" things ! Ninaposema Nyumba ya Zitto siichukuli kama Nyumba ya kawaida nai-refer kama "NGOME"!

Kwanza kwa hadhi ya Nyumba ile ya ZITTO ilikuwa ni banda tu ! Kama unataka kuona nyumba za viongozi wa kisiasa hata wa Kiafrika basi google Nyumba ya Raila Amolo Odinga (The most expensive home in Kenya)!

In a nutshell kama una "kichwa" utanielewa kwamba in African politics where political powers are sometimes associated with "traditional unexplained powers" inawezekana kale " Kanyumba" ka ZITTO kalikuwa kama zile Nywele za SAMSON ambaye baadaye DELILA aligundua kuwa ndiyo siri ya Nguvu zake na aliponyolewa na Wafilisti akawa Boya! Unajuaje pengine ZITTO is dying of "SAMSONIAN FEVER" baada ya Nyumba yake kuungua ! If not why did ZITTO cried a lot for such a shameful house he called his house ! Stretch your mind Obuma you are too myopic!
 
Huu ni mtazamo wangu ndugu wanaJF kwamba Ndugu yetu ZZK tangu nyumba yake kule Mwandiga "ichomeke" amekuwa mtu wa kupanic sana! Amekuwa na grievance na Serikali ya Dr.JPM sana! Kila kitu anapinga hata kwa hoja mfu!

Yaani anataka Rais na Serikali yake wasifanye BOLD decisions kwenye sekta ya madini kwa kuvizia Capital gain ya kuuziana Kampuni ! Nani alimdanganya Zitto kuwa lazima hao watu watafikia consensus na watauziana hiyo kampuni.Yawezekana hiyo pia ilikuwa ni strategy ya kutaka shares zao zi-appreciate kwenye market !

Rais Dr. JPM ni mtu mwenye akili na pia amezungukwa na watu wenye akili pia na ambao wamesoma vizuri pengine kuliko hata ZITTO! Sasa sio kupinga kila hatua anayochukua Rais that will be unfair and lack of vision to any citizen of this Nation,ZITTO included !

Mimi nashauri ZITTO atulie kwanza wakati huu ambao amezungukwa na changamoto nyingi ndani na nje ya Chama chake!

Zitto ni mwanasiasa mzuri ambaye Nchi yetu bado inamuhitaji sana! He is very analytical and critical something which is very healthy for the Nation.
nimegundua Zitto amekuwa newly inspired mara tu baada ya kumtembelea Lissu hospital kule Nairobi.
 
"Mijitu" type ya huyu Obuma ndo imedumaza thinking capacity ya watu walio wengi! Hayawezi kuona mambo behind the scene au hawajawa trained to see "invisible" things ! Ninaposema Nyumba ya Zitto siichukuli kama Nyumba ya kawaida nai-refer kama "NGOME"!

Kwanza kwa hadhi ya Nyumba ile ya ZITTO ilikuwa ni banda tu ! Kama unataka kuona nyumba za viongozi wa kisiasa hata wa Kiafrika basi google Nyumba ya Raila Amolo Odinga (The most expensive home in Kenya)!

In a nutshell kama una "kichwa" utanielewa kwamba in African politics where political powers are sometimes associated with "traditional unexplained powers" inawezekana kale " Kanyumba" ka ZITTO kalikuwa kama zile Nywele za SAMSON ambaye baadaye DELILA aligundua kuwa ndiyo siri ya Nguvu zake na aliponyolewa na Wafilisti akawa Boya! Unajuaje pengine ZITTO is dying of "SAMSONIAN FEVER" baada ya Nyumba yake kuungua ! Stretch your mind Obuma you are too myopic!
Pumbavu wewe!! Unatuonyesha ujinga wa kutueleza nyumba za viongozi ambazo ni ghali!! Hizi habari peleka kule insta na facebook!!!Nyumbu kabisa wewe!! Akili huna unaona ukichanganya na kiingereza utaonekana msomi!! Hizi akili ndio kule facebook na Insta mnabishanaga na wanawake kuhusu wanaume wenye nyumba nzuri na magari mazuri umehamishia huku kwa GT
 
Hivi hata wewe mwenyewe ukisoma maelezo yako na yangu unadhani nani ni mpumbavu ! Obuma siyo kwa kuchanganya kiingereza nitaonekana ni msomi! Obuma be informed kuwa mimi ni msomi kweli kwa nini nikufiche wewe myopic!
 
Ingekuwa kusoma ndiyo kutoa ushauri mzuri basi tusingefika hapa tulipo,maana tunawasomi kibao ambao wameingia mikataba ya ovyo.Pia usisahau hao unaowaita wasomi wengi wao ni wapumbavu.
 
"Mijitu" type ya huyu Obuma ndo imedumaza thinking capacity ya watu walio wengi! Hayawezi kuona mambo behind the scene au hawajawa trained to see "invisible" things ! Ninaposema Nyumba ya Zitto siichukuli kama Nyumba ya kawaida nai-refer kama "NGOME"!

Kwanza kwa hadhi ya Nyumba ile ya ZITTO ilikuwa ni banda tu ! Kama unataka kuona nyumba za viongozi wa kisiasa hata wa Kiafrika basi google Nyumba ya Raila Amolo Odinga (The most expensive home in Kenya)!

In a nutshell kama una "kichwa" utanielewa kwamba in African politics where political powers are sometimes associated with "traditional unexplained powers" inawezekana kale " Kanyumba" ka ZITTO kalikuwa kama zile Nywele za SAMSON ambaye baadaye DELILA aligundua kuwa ndiyo siri ya Nguvu zake na aliponyolewa na Wafilisti akawa Boya! Unajuaje pengine ZITTO is dying of "SAMSONIAN FEVER" baada ya Nyumba yake kuungua ! If not why did ZITTO cried a lot for such a shameful house he called his house ! Stretch your mind Obuma you are too myopic!
Mkuu uliwahi kuiona ile nyumba ya Zitto iliyoungua (kabla haijaungua).
 
Unamaanisha Zitto kawa mwepesi sasa? Kama ni kweli basi huenda mmoja wa wake zake ndo alim-delila.
 
Back
Top Bottom