Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,651
- 5,126
Huu ni mtazamo wangu ndugu wanaJF kwamba Ndugu yetu ZZK tangu nyumba yake kule Mwandiga "ichomeke" amekuwa mtu wa kupanic sana! Amekuwa na grievance na Serikali ya Dr.JPM sana! Kila kitu anapinga hata kwa hoja mfu!
Yaani anataka Rais na Serikali yake wasifanye BOLD decisions kwenye sekta ya madini kwa kuvizia Capital gain ya kuuziana Kampuni ! Nani alimdanganya Zitto kuwa lazima hao watu watafikia consensus na watauziana hiyo kampuni.Yawezekana hiyo pia ilikuwa ni strategy ya kutaka shares zao zi-appreciate kwenye market !
Rais Dr. JPM ni mtu mwenye akili na pia amezungukwa na watu wenye akili pia na ambao wamesoma vizuri pengine kuliko hata ZITTO! Sasa sio kupinga kila hatua anayochukua Rais that will be unfair and lack of vision to any citizen of this Nation,ZITTO included !
Mimi nashauri ZITTO atulie kwanza wakati huu ambao amezungukwa na changamoto nyingi ndani na nje ya Chama chake!
Zitto ni mwanasiasa mzuri ambaye Nchi yetu bado inamuhitaji sana! He is very analytical and critical something which is very healthy for the Nation.