Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Bado nipo kwenye ziara ya kuzunguka mikoa kadhaa kuangalia utekelezaji wa kauli mbiu au kiitikio "hapa kazi tu" kama kinavyoimbwa na viongozi wetu kwenye majukwaa mbali mbali nimefika Tanga, kwa kweli kuna mauozo ya kufa mtu kwenye sekta mbali mbali lakini hapa TANESCO ndo pamekwisha kabisa haya ni machache:
1.Watu wanalipia kuunganishiwa umeme, kiutaratibu inajulikana kuwa ni siku 30, lakini siku za kisheria zinaisha na unaambiwa mpaka mwezi ujao. Kumbuka huu sio umeme wa REA ni wa kulipia garama za kawaida za TANESCO. Hela wamechukua wametimiza lengo Kama waziri husika alivyowaambia Ila nguzo hupati.
2.Tatizo dogo kama meter replacement linataka mpaka umjue mtu, meter zipo, ili ulipe bili shirika lipate hela unahitaji kupata meter, meter kufa sio jukumu lako, bali ni wao wenyewe wanafanya mabadiliko ya meter za zamani na kuweka mpya. Tatizo kama hili linachaukuwa mwezi, na ni hapa mjini, sijui waliopo peripheral, sasa kama mteja hana meter mtapata wapi mapato, na Meneja wa mkoa amepewa KPIs. Waziri upo wapi?
3.Unawapigia simu, unawaambia kuna emergency sehemu flani, wanakwambia wanakuja, hiyo ni wiki mbili kwa mjini kati an miezi kadhaa kwa nje kidogo ya mji. Sasa unawaambia ni emergency halafu wanakuja baada ya wiki. Hapo kuna emergency tena? Kama ni watu kufa si wameshakufa.
4. TANESCO ofisi ya mkoa inafanya kazi kwa mazoea hakuna mabadiliko, hawajasoma alama za nyakati. Hicho kibwagizo cha hapa nini sijui utakuwa unaamba mwenyewe JPM na mawaziri kadhaa, na officials wa hapo Dar. Nje ya ar ni mazoea na utamaduni. Serikali inapoteza mapato kwa watumishi Dwasiofanya kazi yao ipaswavyo.
Mheshimiwa Professa angalia huku umewatuma mameneja hela, wao wanachukua hela na huduma hawatoi.