Tangu asubuhi niko naangalia TV tu

Tangu asubuhi niko naangalia TV tu

Wakuu kwema huko? Mwenzenu tangu asubuhi niko naangalia TV .

Sasa kwa hali hii uchumi wa viwanda utatekelezeka? Kama msomi mzima mwenye degree ya siasa kutoka chuo kikuu cha dsm niko naangalia TV hivi tutaufikia uchumi wa viwanda kweli?


Nilipohitimu chuo kikuu (udsm) badala ya kwenda kijijini nikaamua kubaki jijini dar es salaam kwa kaka yangu ambaye ameshaoa.

Braza na shemeji yangu wote ni wafanyakazi. Sasa wanapokuwa kazini Mimi nabaki home na house girl tunaangalia TV.

Na hii tabia ya kuangalia TV mara kwa mara ni huyu house girl kaniambukiza.

Jamani mnisaidie mwenzenu naumia mie kula chakula cha watu bila kukitokea jasho.


Yaani ikifikaga muda wa chakula nikikaribishwa chakula mezani huwa naona aibu kwenda kula.

Mara nyingi ikifika mida ya misosi nazuga naenda dukani nakaa huko mpaka wamalize kula Mimi ndio narudi.

Hii aibu itaisha lini mwenzenu ukizingatia nina miaka 35 .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa siasa ilikuwa ni lazima uiendee hadi shule ukapoteze muda, si ungeanza tu kuifanya? Ndio maana unakosa hata namna ya kujiongeza. Dume zima upo busy chuo unasoma na kwenu umeaga ukiulizwa unasoma nini eti siasa! Mgeuke mabalozi sasa wa kufunza wadogo zenu maana ya elimu ya juu, maana ni fasheni sasa kila mmoja anaitaka halafu hawafahamu ni kwa nini wanaitaka. Wakitoka huko ujuzi anaokuwa ameupata ni kulia, kulaumu na kusubiri 'kazi'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kesho ukiamka katafute hata kibarua cha kujenga....mkaa bure sio sawa na mwenda bure....
 
Wakuu kwema huko? Mwenzenu tangu asubuhi niko naangalia TV .

Sasa kwa hali hii uchumi wa viwanda utatekelezeka? Kama msomi mzima mwenye degree ya siasa kutoka chuo kikuu cha dsm niko naangalia TV hivi tutaufikia uchumi wa viwanda kweli?


Nilipohitimu chuo kikuu (udsm) badala ya kwenda kijijini nikaamua kubaki jijini dar es salaam kwa kaka yangu ambaye ameshaoa.

Braza na shemeji yangu wote ni wafanyakazi. Sasa wanapokuwa kazini Mimi nabaki home na house girl tunaangalia TV.

Na hii tabia ya kuangalia TV mara kwa mara ni huyu house girl kaniambukiza.

Jamani mnisaidie mwenzenu naumia mie kula chakula cha watu bila kukitokea jasho.


Yaani ikifikaga muda wa chakula nikikaribishwa chakula mezani huwa naona aibu kwenda kula.

Mara nyingi ikifika mida ya misosi nazuga naenda dukani nakaa huko mpaka wamalize kula Mimi ndio narudi.

Hii aibu itaisha lini mwenzenu ukizingatia nina miaka 35 .
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo heshima imerejea kwenye ndoa yangu - JamiiForums
Kuna mda nahisi unapost uongo
Na hapa nadhani sio wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasomi jaribuni kuondoa aibu ya kufanya kazi yoyote,
Na hiyo aibu imesababisha wasomi wengi kuendelea kwa maskini!

Watu wenye elimu za chini hawana aibu ndo maana ukiangalia waliojituma wana nafuu kubwa sana ya maisha.

Ukiendelea kukaa na kusuburi siku ambayo utapata barua ya kuajiliwa itakugharimu sana ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki iliyopita ulikuwa unapiga magoli kijijini
Leo una elimu na umekaa na house girl mnaangalia tv kwa kaka.

Aisee umepiga hatua kweli

Sent from my SM using Tapatalk
 
Hongera sana chief....
Mimi ndio nimerudi toka kupeleka wanangu shuleni
 
Wasomi jaribuni kuondoa aibu ya kufanya kazi yoyote,
Na hiyo aibu imesababisha wasomi wengi kuendelea kwa maskini!

Watu wenye elimu za chini hawana aibu ndo maana ukiangalia waliojituma wana nafuu kubwa sana ya maisha.

Ukiendelea kukaa na kusuburi siku ambayo utapata barua ya kuajiliwa itakugharimu sana ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Bonge la ushauri. Mfano akianzisha genge la matunda tu huyu jamaa baada ya miaka 2 atakuwa mbali sana
 
Wakuu kwema huko? Mwenzenu tangu asubuhi niko naangalia TV .

Sasa kwa hali hii uchumi wa viwanda utatekelezeka? Kama msomi mzima mwenye degree ya siasa kutoka chuo kikuu cha dsm niko naangalia TV hivi tutaufikia uchumi wa viwanda kweli?


Nilipohitimu chuo kikuu (udsm) badala ya kwenda kijijini nikaamua kubaki jijini dar es salaam kwa kaka yangu ambaye ameshaoa.

Braza na shemeji yangu wote ni wafanyakazi. Sasa wanapokuwa kazini Mimi nabaki home na house girl tunaangalia TV.

Na hii tabia ya kuangalia TV mara kwa mara ni huyu house girl kaniambukiza.

Jamani mnisaidie mwenzenu naumia mie kula chakula cha watu bila kukitokea jasho.


Yaani ikifikaga muda wa chakula nikikaribishwa chakula mezani huwa naona aibu kwenda kula.

Mara nyingi ikifika mida ya misosi nazuga naenda dukani nakaa huko mpaka wamalize kula Mimi ndio narudi.

Hii aibu itaisha lini mwenzenu ukizingatia nina miaka 35 .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsia yako plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom