Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Humpendi huyo.Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Bibie mambosi ndo wajibu wao....si ndo kama ivo ukiwaomba before wanakimbia.Tufanyaje sasa?
Akiba Rogie....nitanunua chupi,bra,taiti...freestyle ped.Vyote nikuambie nataka hela?
300k =300,000Hahahahaaaa..!!! Nimeshangaa mwenyewe jamaa kaombwa buku tatu amekuja kupost JF [emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487]..!!! Kuna watu hii mambo ya 'K' inawachanganya sana hawaelewi ni namba ipi wanaiongelea.
Sasa hivi ndio naona 300K ila mwanzo aliandika 3K300k =300,000
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Hiv kwanin usitafte zako,tuanzie hapo..y unaomba omba,hiv hamuonag aibu,..mna exchange sex na pesa sasa mnatofaut gan na wanaokaa kona baaKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Na ndomana hatuwaoi,tunapiga na kaucha wanazeeka,si wanapenda pesa,..dawa ndio hyo,tutahonga hzo lak lakin kuoa sahauSiku hizi kama mwanamke hakutaki.na hataki.muachane kwa visa yeye anaomba hela tu
Yaani anaomba hela
Na kuomba helaaaa
Na kuomba helaaaaaa
Usipokimbia wewe kidume
Tafuta zako,..ndomana sie tunawapaga hvo vi laki lakin lazima tukutindue marinda.kiroho safisi ndo wajibu wao....si ndo kama ivo ukiwaomba before wanakimbia.Tufanyaje sasa?
Pampers za laki? atakwambia mpeleke mtoto hospitali anaharisha.mijanaume ya sasa haina hela.Ila sometimez na sisi wadada tunazidi....utafikiri baba yako huyo! Mi niliyenae mpaka nimefanikiwa kuniposa ni hapo tu....anazo ila nimechunia kama sizioni maana najua akiniweka ndani nitazila mpaka aombe poo.Baba fulani,"nitumie laki 1 mtoto pampers zimeisha,kumbe zipo tele"
lat week nilipoteza pochi yenye simu yangu yenye line ya mpesa na kadi ya benk na kila kituSiku hizi kama mwanamke hakutaki.na hataki.muachane kwa visa yeye anaomba hela tu
Yaani anaomba hela
Na kuomba helaaaa
Na kuomba helaaaaaa
Usipokimbia wewe kidume
lat week nilipoteza pochi yenye simu yangu yenye line ya mpesa na kadi ya benk na kila kitu
nina mkaka rafiki yangu mzuri tu nikamuomba hela hadi leo hatuongei tena mwenzangu.watu wanathamini pesa sana kumbe yaani .
Elfu tatu au laki tatu.....kama iyo ya pili ni mshahara huoKuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.
Na utaolewa soonmijanaume ya sasa haina hela.Ila sometimez na sisi wadada tunazidi....utafikiri baba yako huyo! Mi niliyenae mpaka nimefanikiwa kuniposa ni hapo tu....anazo ila nimechunia kama sizioni maana najua akiniweka ndani nitazila mpaka aombe poo.Baba fulani,"nitumie laki 1 mtoto pampers zimeisha,kumbe zipo tele"