Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

Tangu aniombe hela yule dada nimekata mguu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Huyu dada ni mzuri kiasi ,kuna kitu nilikipenda kutoka kwake hadi nikawa na imagine big yaani daah she deserves to be my mama yoyo ,nikawa nam treat different na perception zangu zilikua perfect sana kwake ,hata maongezi yalikua yale ya ki gentleman a lil bit

Kama kawaida ya hawa wenzetu akaanza kunusa mnuso wa chatu kwa nyoka si akaharibu(she knew jamaa ananizimia)...unajua alifanyaje ooh naomba hela kama 300k hivi ,kichwa kikafanya paaap mbona mapema hivi?sikatai nu jukumu letu kuwa maintain nyie ,tumezaliwa tunalijua hilo ....aaah kumbe huyu ndio ile design kama hawa tunaowajua wa ku hit&run so anajenga mazingira ya "ku exchange mapenzi na pesa mapema " nilipatwa na kichefu chefu hadi leo nimekata maguu

Ama kweli ukitaka kutukimbiza tuombe tu hela ,tena usawa huu!!

Implication zake msishangae na nyie age inasonga tu

mwekundu is back MMU
 
3000?

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
mijanaume ya sasa haina hela.Ila sometimez na sisi wadada tunazidi....utafikiri baba yako huyo! Mi niliyenae mpaka nimefanikiwa kuniposa ni hapo tu....anazo ila nimechunia kama sizioni maana najua akiniweka ndani nitazila mpaka aombe poo.Baba fulani,"nitumie laki 1 mtoto pampers zimeisha,kumbe zipo tele"
 
Kuna mtu nilimuomba 300k akajichunisha baada ya siku 3 akarudi anajichekesha kama hakuona ile text, nimefukuzia mbali, unakuwaje karibu na mtu asiye na msaada.

Ulimuomba kwa mapenzi au uliomba kumkomoa?
 
mijanaume ya sasa haina hela.Ila sometimez na sisi wadada tunazidi....utafikiri baba yako huyo! Mi niliyenae mpaka nimefanikiwa kuniposa ni hapo tu....anazo ila nimechunia kama sizioni maana najua akiniweka ndani nitazila mpaka aombe poo.Baba fulani,"nitumie laki 1 mtoto pampers zimeisha,kumbe zipo tele"
Huna mapenzi nae jamaa unataka hela zake tu na unaficha makucha. Mtu anakuoa anakuweka ndani bado unataka kumkomoa, shida ni nini?
 
Kabla ya Kutoa comment lazma uelewe K maana yake n nn, k ni 000 uelewe hivo so ukisema 3k ni 3000. Haya wengne watakuja

sent from my Nokia kidole juu (mshindi) using jamiiforums Mobile app
 
Back
Top Bottom