Tangu ameshika Madaraka Rais Hajafanya jambo lolote la Maana naona anagararuka tu

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Tulitegemea angekuwa na jambo jipya la maendeleo. Lakini toka ameshika madaraka hajali sisi ambao ndiyo tumempa dhamana. Anaruka ruka na kukanyaga watu.

Sasa walimu tujikusanye tuseme CWT basi hatumtaki Rais wa Chama hiki Gratian Mukoba. Hajali maslah ya walimu hata kidogo.
 
Mugambo wanaruka na kukanyagana
 
Mtatumika sana lakini ukweli mnao moyoni
NI KWELI MKUU LABDA TULIKUWA TUNAPONZWA NA WALE WENYE VYETI FEKI SASA FAGIO LIMESHAWAFAGIA WALIOSALI WANAJIELEWA 2020 TUTEGEMEE MABADILIKO WASIPOBADILIKA BASI WATAKUWA NI MASALIA YA WALE FEKI.
 
2016 yote hatukufanya siasa na yeye hajafanya kitu. Bora aruhusu siasa ziendelee tunaweza fika pahala.
 
Mtatumika sana lakini ukweli mnao moyoni
hakuna analofanya labda kununua bombadia tu mengineyo ni kejeli kwa wananchi na kutuhangaisha kutukosesha ajira kwa madai ya upigadili uchumi umeyumba mauzoi ya nje yameshuka yanatisha ...........
alilofanikiwa ni kutengua na kukabana na wapinzani hongera
 
Attachments

  • CCM MBELE KWA MBELE OFFICIAL VIDEO NOMA (1) (1).mp3
    4.2 MB · Views: 22

Similar Discussions

Back
Top Bottom