mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,458
- 3,127
Kwa wapenzi wa filamu za disney bila shaka watakuwa wameshawahi kuitazama hii filamu. kiufupi inamhusu binti aitwaye Rapunzel kutoka familia ya kifalme alitekwa akiwa mdogo kwa sababu ya uwezo wa nywele zake ambazo zilikuwa na uwezo wa ajabu wa ku deaging, kuponya etc.binti huyu anatokea kwenye ufalme wa CORONA.
Filamu hii imekuwa gumzo tena kipindi hiki miaka kumi toka ilipotolewa kwa mara ya kwanza huku ikizusha maswali mengi je Disney walilijua hili mapema au? Kwenye hii filamu binti huyu alifungiwa kwenye quarantine kwa kipindi kirefu pia. na hiki ndo kinachotokea kwa sasa katika dunia yetu kipindi hiki.
Did Disney’s ‘Tangled’ predict the coronavirus pandemic?