Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Spin ...,Tunaacha kumjadili muhalifu, tunamtuhumu mhanga. Ni kweli amekuwa blunt kwenye kujieleza hilo ndio kosa lake. It is this kind of attitude from the public inayowafanya watu washindwe kukimbilia kwenye vyombo vya sheria wanapo fanyiwa unyama kama huu.
Tangazo hili lingetolewa na polisi lingekuwa na mashiko zaidi ..., na ndio utaratibu ulivyo ..
Kwa nini wewe umemwamini huyu mwanamke mpaka ukamwita huyo jamaa mhalifu ...?
Kwanza inawezekana kabisa tangazo hili ni la kuchafuana tuu .., au huyo mwanamke alitaka kum blackmail huyo baba wa watu kwa sababu za kimaslahi ya kifedha au kulazimisha penzi ...
Lakini tangazo hili linaweza kumletea shida aliyelitoa pia .., huyo mwanaume akipeleka malalamiko polisi atasikilizwa vizuri tuu ...