Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 655
Zawadi nono itatolewa kwa atakae saidia kupatikana kwa huyu mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine hawana adabu kabisaaaaaaZawadi nono itatolewa kwa atakae saidia kupatikana kwa huyu mtu
View attachment 440128
Lugha aliyotumia haioneshi u-serious unaoulazimisha hapa. Huyo dada ni mhuni na inawezekana hakuwa rapped bali hakulipwa ujira wake.Tunaacha kumjadili muhalifu, tunamtuhumu mhanga. Ni kweli amekuwa blunt kwenye kujieleza hilo ndio kosa lake. It is this kind of attitude from the public inayowafanya watu washindwe kukimbilia kwenye vyombo vya sheria wanapo fanyiwa unyama kama huu.
Well i'm giving her the benefit of the doubt. For me its innocent until proven guilty but for others its guilty until proven innocent!L
Lugha aliyotumia haioneshi u-serious unaoulazimisha hapa. Huyo dada ni mhuni na inawezekana hakuwa rapped bali hakulipwa ujira wake.