Tangazo tangazo

Tangazo tangazo

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,880
Reaction score
5,725
Tangazo tangazo mtu yoyote mwenye watoto 10 wakwake wa kuzaa Aje nao tutampa Tshs 50M awasomeshe.
Jamaa alikuwa na watoto 9 akamfuata mkewe.
JAMAA; wife Nina Mtoto mmoja nje ngoja nikamchukue tukamilishe watoto 10 tupate hiyo hela.
MKE: haya mume wangu.
Jamaa akaenda kumchukua Mtoto kurudi Wale 9 hakuwakuta.
JAMAA: mke wangu Mtoto wa kumi huyu hapa wameenda wapi tena Wale wengine??!
MKE: Baba zao waliposikia tangazo wamekuja kuwachukua watoto wao.
 
ha ha haa....lazma mtu adondoke kwa pressure hapo.
 
Safi sana wahenga wanasema 'kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa' Wamekutana wote wanafanana chupa na mfuniko.
 
Back
Top Bottom