Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,559
- 12,324
Habari njema kwa watanzania wooooote waliogushi vyeti
Hakikisha unakuwa mwanasiasa kabla hujakamatwa
Hakikisha unakuwa mwanasiasa kabla hujakamatwa
Una maana gan chiefTanzania ina kila kitu, isipokuwa Watanzania.
Mkuu, soma kati ya mistari.Una maana gan chief
Habari njema kwa watanzania wooooote waliogushi vyeti
Hakikisha unakuwa mwanasiasa kabla hujakamatwa
HAHAHA NIMEKUELEWATanzania ina kila kitu, isipokuwa Watanzania.