TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

mtafuteni tu, ila niliona siku moja alikuwa anaiandaa kama sikosei kuna jamii ya panzi ambao huwa kila anapo ruka badala ya kwenda mbele huji kuta kageukia aliko toka. ni panzi fulani hivii wa kijani na ugoro

hao panzi wananukaga hao, si ni wale ma balanguru?
 
mtafuteni tu, ila niliona siku moja alikuwa anaiandaa kama sikosei kuna jamii ya panzi ambao huwa kila anapo ruka badala ya kwenda mbele huji kuta kageukia aliko toka. ni panzi fulani hivii wa kijani na ugoro

pacha njoo ujiskilizie mwenyewe
tuanze kuingia mashambani kumtafuta panzi mweee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom