TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

TANGAZO: Naachana rasmi na Mentor

hahahaaa sasa asipokupenda wewe ataishije mujini wakati we ndiyo sugar mami wake!

Nnachompendea baby wangu hasikilizagi maneno ya watu...
kweli alisikiliza vema ushauri mzuri wa kuishi kwenye ndoa yake
nakupenda Slave
 
Last edited by a moderator:
Nnachompendea baby wangu hasikilizagi maneno ya watu...
kweli alisikiliza vema ushauri mzuri wa kuishi kwenye ndoa yake
nakupenda Slave

kah, mmeo naye mgumu, sijui umemlisha gundi...!!!!! Kakuganda ka'nini hata umwambieje wala hafurukuti
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom