ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Nzuri my wii Evelyn Salt.. Nlijua my kaka wampiga konzi kumbe kipigo cha kikubwa. Endelea tu wifi ndo raha yangu mie
kweli ?? nitakonda mwenzio
kumbe umelitambua hilo bestito
kume ahhahaha nitajitahidi sana asante dada yangu jamani kwa ushauri wako mwemajitahidi kula mlo kamili na ushibe utaweza
ujue shuntama imeanza kueksipaya siku ikitoka kabisa mwilini utajuuuta we acha niwe zoba kwa mudaSi ladyfurahia jamani au????
ujue shuntama imeanza kueksipaya siku ikitoka kabisa mwilini utajuuuta we acha niwe zoba kwa muda
ujue shuntama imeanza kueksipaya siku ikitoka kabisa mwilini utajuuuta we acha niwe zoba kwa muda
Huwezi kuniacha Slave
utaendelea kuwa nami na kuniganda kama mkono wa obama kwenye kiuno cha michelle.........
Cc: Lady doctor