Si kweli kuwa Kifo ni kifo tusilete taharuki. Lazima kilete taharuki. Poleni familia za wote waliopoteza wapendwa wao in this era of political turmoil

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,240
Reaction score
102,386
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI.

Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya Kibao, Mdude, Polepole na wengine wote waliofiwa na wapendwa wao wanajisikiaje.

Pole sana Mama Samia. Rest in Peace baba yetu. Rest in Peace wote mliokufa katika political struggle ya nchi hii katika tawala.hizi za sasa na huko tuendako

IMG-20260912-WA0004.jpg
IMG-20260911-WA0000.jpg
IMG-20260910-WA0047.jpg
 
Wazungu wanazema time will tell! Time has spoken now. KIFO NI KIFO LAZIMA KILETE TAHARUKI.
Haya yote watu kwenda Kizimkazi ni kwa vile KIFO SIYO KIFO, LAZIMA KILETE TAHARUKI.

Nadhani kuna SOMO tumejifunza na Mwalimu wetu aliyesema kifo ni kifo tusilete taharuki amepata jawabu akina Familia ya Kibao, Mdude, Polepole na wengine wote waliofiwa na wapendwa wao wanajisikiaje.

Pole sana Mama Samia. Rest in Peace baba yetu. Rest in Peace wote mliokufa katika political struggle ya nchi hii katika tawala.hizi za sasa na huko tuendako
ok.🐒
 
Back
Top Bottom