Tangazo la TANZANIA CNN Marekani Limekamilika..?

Status
Not open for further replies.
Mazee Geee!

Heshima mbele mkuu, nilipita huko nimeviona vitu vyako Salute na heshima mbele, tunahitaji wabongo wabunifu wa namna yako keep it up!
Mazee ndio hivyo tunajitahidi kidogokidogo nasi ku-play our part katika kuujulisha ulimwengu utajiri wa nchi yetu kwenye sekta ya utalii.
 
...mzee Geeque are you the owner wa www ya EA tube? kama ni yako mzee hongera sana maana naona soon itakuwa hit kuliko hata ya Michuzi na utaanza kula tigo za nguvu
Yeah Mazee ndio mimi kwa hiyo wewe tupe deals zako zote za matangazo hahahahah.
 
Tangazo CNN kwa bei hiyo poa sana. Mimi siamini hiyo scoop.
Ila target ni nani??
Ulaya navyojua, wazungu wengi hawana time na CNN maana wanaona ni propaganda channel ya wamarekani. So tayari wamepunguza soko lao.
At the same time, kuna aina mbalimbali ya Tourists. Kuna corporate level tourist ambao wanaingia na private jets zao hapo KIA.....(ukute hao ndio wanawatch CNN) and the general public dont hear about it, na hao waki-spend pesa ni kubwa kiasi kwamba....wanafunika pesa inayotumiwa na ma-backpackers mamia.

Having said that, kwenye net kuna potential kubwa zaidi. Good move Geeque.
Kuna mshikaji mwingine namjua yeye ana hii website www.3DTanzania.com, this guy has a great idea. I remember he was trying to set a meeting with the Balozi in London. But somehow no one took him serious, or dunnoh what happened. All he wanted was certain material to help market Tanzania (at his own cost).

I think the biggest question is, 'who are we targetting', once we know that, then we can justify where we spend.
 
Hivi mnafikiri dunia ya leo Foreign investors wajinga kiasi cha kwenda kuinvest kwenye nchi baada ya kuona Tangazo?

Ni kweli hawafuati hilo Tangazo, lakini baada ya kuona kuna ambao watatafuta kujua Tanzania, na eventually wengine watakuwa interested na Tanzania aidha kwenye tourism tu au investment...lakini hili sio lazima matokeo muyaone kesho kutwa... matokeo yawezakutokea hata wakati CHADEMA ikiwa Madarakani 2010.

Botswana, hawafanyi hivyo kwa sababu hawakuwa wamelala usingizo wa pono kama sisi!
 
Bado siamini jinsi mnavyolishabikia hili suala ambalo in my opinion ni non issue zaidi ya wajanja wachache wanaona ni mwanya wa kula pesa za serikali

TTB na akina mwenguo hiyo ni dept yao

lakini jamaa wa TIC walitakuwa wawe na different strategy na sidhani kama kuadvertise kwenye CNN ni solution ya kupata FDI

Kwenye thread ya Sudan nadhani mmeona jinsi gani wanavyoweza kuattract FDI ili hali about 500 miles from Khartoum kuna pigwa mabomu huko Darfur

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom