Hasara
Senior Member
- Dec 29, 2006
- 138
- 9
Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni amezindua Tanagazo mjini New York kutangaza vivutio vya Utalii vilivyoko nchini Tanzania jamani kwa wale walio liona tusaidiane ushauri tangazo hilo limegarimu pesa za walipa kodi, dollar za kimarekani laki saba na nusu kwa miezi sita tu,$750,000
linaonekana katika CNN HEADLINES tu nisaidieni kwa sababu waliyotoa ushauri wakutangaza CNN ni wasanii tu vibibi viwili vya kizungu wanaoiwakilisha Tanzania hapa marekani, sasa jamani mimi sijui, Wako wengi hapa waliyo liona watuambie kama linatoa infor. za kutosha kwa mtu ambaye ajawai kuisikia Tanzania na iko wapi,
kwa mawazo yangu hilo tanzgazo ni kwa watu wanao jua Tanzania kama vile ma-tour operetors tu, je watu wa kawaida wasafiri Wasiyojua TANZANIA itakuwaje na je kwanini wametumia Logo badala ya kuandika TANZANIA kama nchi, wao wametumia logo, jamani hayo ni mawazo yangu ebu mwingine aliye liona atusaidie hapa.
kunanjia nyingi za kutangaza utalii wetu lakini watu wanatafuta ulajitu
ukiangalia matangazo ya nchi nyingine kama Jamaica, Malasia,India na kungine matangazo yao yana website ambayo ina information za kutosha sasa lile tangazo halina information za kutosha kwanini kusiwena website www.gototanzania.com au www.visittanzania.com jamani mbona tumeishiwa mawazo.
nina kumbuka Rais, mawaziri na wabunge walikuwa wana liangalia bungeni, akatumwa mkurugenzi wa bodi ya kutanzana utalia na muhifadhi mkuu wa ngorongoro kulileta CNN tangazo baada ya bunge kuliangali kama lipo sahii sasa jamani kweli hawa viongozi wetu awakumbuki kwamba kuna umuhimu wa tovuti.
je ile tovoti ya WWW.TAZANZANIATOURISTBOARD.COM ni ya nani?
kama kuna mtu mwenye habari zaidi munieleweshe jamani ......
ambao kungelikuwa na tovuti ma- tour operetor wa Tanzania wangelikuwa listed ndani si ingewasaidia pia kupata wageni, hii nikupoteza pesa tu hilo tangazo halimsaidii mtu yeyote hapa tanzania ,
walio liandaa ndiyo waliyo tengeneza pesa
kila mwezi tutawaambia watu wangapi wameangalili hilo tangazo nibure kwenda CNN kupewa takwimu za matangazo, kwa sasa wana JF wanafuatilia tutaziweka hapa JF.
mimi sioni ajabu tutokuwa na website hata IKULU NO WEBSITE miaka miwili mimi ninafikiria viongozi wa Tanzania wana allegy, NA TEKINOLOJIA.
ASANTE