Tangazo la Kazi

Tangazo la Kazi

Super Charged

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
950
Reaction score
1,727
Habari Wana JF,

Katika Pitapita Zangu Maeneo ya Magomeni Mpaka Kinondoni Nimekutana na Karatasi nyingi Zimebandikwa Zinatangaza Nafasi Za Ajira, Karibu Kila Kona yamebandikwa Makaratasi Hayo, wanadai Wanatoa Ajira Supermarket Na Viwandani. Kuna Yoyote anajua Chochote Kuhusu Hao Watu.

Naomba Kusaidiwa Wana JF
 
Wanaandika jina la kiwanda au just kiwanda basi...?
 
Habari Wana JF,

Katika Pitapita Zangu Maeneo ya Magomeni Mpaka Kinondoni Nimekutana na Karatasi nyingi Zimebandikwa Zinatangaza Nafasi Za Ajira, Karibu Kila Kona yamebandikwa Makaratasi Hayo, wanadai Wanatoa Ajira Supermarket Na Viwandani. Kuna Yoyote anajua Chochote Kuhusu Hao Watu.

Naomba Kusaidiwa Wana JF
Qnet hao...gusa unase
 
dar kuna supermarket ngapi?
 
Utaishia kuuza mabeseni mtaani na ChiYu kutwa nzima viatu vitaisha utanunua sana hao Wahuni bora ukalime kimbia speed kabisa wala usiangalie nyuma
 
Back
Top Bottom