Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Wadau,
kuna matangazo ya Twiga Cement kwa kweli yanaboa sana, hata kama industry ya matangazo bongo ipo chini lakini hili tangazo ambalo bwana mmoja (Patrick) anawahoji watumiaji wa saruji ya Twiga linaboa sana. Halina mvuto, washiriki wenyewe hawana mvuto bas ili mradi linachosha tu. Ni kama vile walimchukua mfanyakazi wao ndo akacheza lile tangazo badala ya kupeleka kwa watu wenye fani.
Binafsi navutiwa sana na tangazo lile la Zain-uhuru wa kuongea jamaa wanacheza music ofcn lile ni zuri sana.
Matangazo mengine ambayo yameanza kuchusha ni yale ya fataki, mwanzoni yap yalikuwa safi lakini sasa mhhh.............
Ni mtizamo tu....................
Kuna tangazo moja la sabuni (nadhani ni family or the like)...damn it! Linaboa kupita maelezo.....
Inashangaza mtu analipia utumbo kwenye radio/tv akitaka ajitangaze. Nadhani matangazo mengine yanakimbiza wateja kuliko kuwavutia!
hayo ya fataki siku hizi ndio hovyo kabisaaaaaaaa...yaani ni mambo ambayo in real life,hayapoe.g lile la kwenye basi,lile la kutajwa na wakubwa na lile la kufanana majina na mjomba...hovyooooooooooo!!!