Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.
Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.
Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.

Okay, kama mwenye duka sio Mtanzania mweusi hizo nguo anamtangazia nani, Mtanzania wa manjano?.....je unajuaje kuwa mwenye duka ni mtanzania mweusi???
Kama duka ni la race zote kwanini hakuna m-bantu hapo katika nchi ya watoto wa kibantu?anaweza kuwa mzungu/muhindi/mwarabu etc....duka ni la race zote zilizopo tanzania be positive....
Preponderant majority ya Watanzania ni Wabantu weusi! Kuweka tangazo lenye picha za watoto ambapo hakuna mbantu hata mmoja ni ulimbukeni uliopitiliza.Kwani Tanzania wanakaa watu weusi tu mpaka aweke Picha za Black Kids pekee?
Kids kutoka races mbali mbali za nini wakati marketplace yake, nchi yake, haina races mbali mbali?Isitoshe amejitahidi kubalance kwa kuweka sura za Kids kutoka races mbali mbali..
Kids kutoka races mbali mbali za nini wakati marketplace yake, nchi yake, haina races mbali mbali?
Okay, kama mwenye duka sio Mtanzania mweusi hizo nguo anamtangazia nani, Mtanzania wa manjano?
Kama duka ni la race zote kwanini hakuna m-bantu hapo katika nchi ya watoto wa kibantu?
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.wewe kipofu huoni black kids hapo?
Tanzania kuna races zote?tanzania kuna race zote na race zote na race zote zimewakilishwa
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.
Tanzania sio nchi ya Wazungu, Wachina na vichotara, ni nchi ya Wabantu, for the preponderant part.
Kutukuza imagery za kichina na kizungu kwenye advertisement ya nchi ya kibantu ni ulimbukeni uliokithiri.
Tanzania kuna races zote?
Absolutely ridiculous.
Tanzania sio nchi ya race ya Kijapani au ya Kizungu!
Huwezi kwenda China au Uholanzi ukakuta wametangaza nguo za watoto wao kwa imagery za watoto wa Kigogo, never! Ever! It's neeever gonna happen. Lakini watu wa the lowest self esteem kama Watanzania tunatukuza fashion presentations za kigeni. Nadhani huwa wanatucheka sana.

akili yako kama wazungu unaowapinga....wakiona mtu light skinned wanajua sio muafrika halisi ni chotara.....
this is ridiculous....which part of tanzania are you coming from???wake up brother,get out of that box....tannzania ya leo ina race zote...i think im wasting my time.....merry xmas