Tangazo la biashara la Mtanzania limbukeni

Bu'yaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,642
1,779
vz.jpg

Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.

Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.

Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.
 
wa kwanza kutoka kushoto sio mzungu.....wa nne kutoka kushoto sio mzungu....wa kwanza kutoka kulia sio mzungu....wa tatu kutoka kulia ni mchina/japan/taiwan etc.....je unajuaje kuwa mwenye duka ni mtanzania mweusi???anaweza kuwa mzungu/muhindi/mwarabu etc....duka ni la race zote zilizopo tanzania be positive....FYI muandaaji wa tangazo alijua kuna watu sensitive kama wewe ndio maana akatumia models wa race tofauti ila wewe huoni hapo kuwa kuna race tofauti unaona wote wazungu.....AMAZING.......
 
vz.jpg

Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.

Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.

Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.

We jamaa ---- kweli.badi umekaa kikaburu flan hivi.hata hivyo wewe hapo siyo saizi yako .bei zake huziwezi.nenda karume
 
vz.jpg

Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.

Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.

Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.

wee bweg.e kweli kweli. kwanza hapo naona kuna mzungu kuna half cast kuna mwarabu kuna mjapan/mchina na kuna mswahili kama sisi!! sijui ni upumba.vu wako au ni wivu tu
 
Tangazo mbona liko sawa kabisa?
Kwani Tanzania wanakaa watu weusi tu mpaka aweke Picha za Black Kids pekee?
Isitoshe amejitahidi kubalance kwa kuweka sura za Kids kutoka races mbali mbali..
Acha Ubaguzi Mkuu
 
Kusoma hujui hata picha huoni!?
Inawezekana una duka lako kama hilo jirani na hapo!
 
vz.jpg

Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.

Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.

Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.

Kwani issue hapa ni kutangaza race au nguo? Sometimes sisi weusi huwa tunajikuta tumekuwa wabaguzi pasipo sisi wenyewe kujua. Unajibagua mwenyewe halafu baadaye matunda ya ubaguzi wako yakishaanza kukurudia unaanza kulalamika kuwa unabaguliwa!
 
.....je unajuaje kuwa mwenye duka ni mtanzania mweusi???
Okay, kama mwenye duka sio Mtanzania mweusi hizo nguo anamtangazia nani, Mtanzania wa manjano?

anaweza kuwa mzungu/muhindi/mwarabu etc....duka ni la race zote zilizopo tanzania be positive....
Kama duka ni la race zote kwanini hakuna m-bantu hapo katika nchi ya watoto wa kibantu?
 
Kwani Tanzania wanakaa watu weusi tu mpaka aweke Picha za Black Kids pekee?
Preponderant majority ya Watanzania ni Wabantu weusi! Kuweka tangazo lenye picha za watoto ambapo hakuna mbantu hata mmoja ni ulimbukeni uliopitiliza.

Isitoshe amejitahidi kubalance kwa kuweka sura za Kids kutoka races mbali mbali..
Kids kutoka races mbali mbali za nini wakati marketplace yake, nchi yake, haina races mbali mbali?
 
Okay, kama mwenye duka sio Mtanzania mweusi hizo nguo anamtangazia nani, Mtanzania wa manjano?

Kama duka ni la race zote kwanini hakuna m-bantu hapo katika nchi ya watoto wa kibantu?

wewe kipofu huoni black kids hapo?au kwako black kids mpaka awe mweusi kama mjaluo?unaishi tz gani wewe?wake up and stop ur negativity.......duka ni la race zote coz tanzania kuna race zote na race zote na race zote zimewakilishwa sasa kama wewe huoni race yako hilo ni tatizo lako
 
wewe kipofu huoni black kids hapo?
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.

Tanzania sio nchi ya Wazungu, Wachina na vichotara, ni nchi ya Wabantu, for the preponderant part.

Kutukuza imagery za kichina na kizungu kwenye advertisement ya nchi ya kibantu ni ulimbukeni uliokithiri.

tanzania kuna race zote na race zote na race zote zimewakilishwa
Tanzania kuna races zote?

Absolutely ridiculous.

Tanzania sio nchi ya race ya Kijapani au ya Kizungu!

Huwezi kwenda China au Uholanzi ukakuta wametangaza nguo za watoto wao kwa imagery za watoto wa Kigogo, never! Ever! It's neeever gonna happen. Lakini watu wa the lowest self esteem kama Watanzania tunatukuza fashion presentations za kigeni. Nadhani huwa wanatucheka sana.
 
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.

Tanzania sio nchi ya Wazungu, Wachina na vichotara, ni nchi ya Wabantu, for the preponderant part.

Kutukuza imagery za kichina na kizungu kwenye advertisement ya nchi ya kibantu ni ulimbukeni uliokithiri.

Tanzania kuna races zote?

Absolutely ridiculous.

Tanzania sio nchi ya race ya Kijapani au ya Kizungu!

Huwezi kwenda China au Uholanzi ukakuta wametangaza nguo za watoto wao kwa imagery za watoto wa Kigogo, never! Ever! It's neeever gonna happen. Lakini watu wa the lowest self esteem kama Watanzania tunatukuza fashion presentations za kigeni. Nadhani huwa wanatucheka sana.

naamini unaposema mtoto wa kigogo una maana mtoto mweusi.....i hope u know what is MARKS AND SPENCER.....tangazo lao hilo...

o-MS-KIDSWEAR-CHRISTMAS-570.jpg

GAP je??tangazo lao hilo...

gap-stella-mccartney41.jpg

kwa akili yako utasema hamna mtoto mweusi hapo au utataka awe mgogo wa kabila kabisa.......hawa watu wajanja wanajua mpo watu wenye mawazo kama yako........siku hizi hadi madukani wanaweka masanamu ya watu weusi ili 'kuwaridhisha' watu kama wewe
 
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.

Tanzania sio nchi ya Wazungu, Wachina na vichotara, ni nchi ya Wabantu, for the preponderant part.

Kutukuza imagery za kichina na kizungu kwenye advertisement ya nchi ya kibantu ni ulimbukeni uliokithiri.

Tanzania kuna races zote?

Absolutely ridiculous.

Tanzania sio nchi ya race ya Kijapani au ya Kizungu!

Huwezi kwenda China au Uholanzi ukakuta wametangaza nguo za watoto wao kwa imagery za watoto wa Kigogo, never! Ever! It's neeever gonna happen. Lakini watu wa the lowest self esteem kama Watanzania tunatukuza fashion presentations za kigeni. Nadhani huwa wanatucheka sana.

akili yako kama wazungu unaowapinga....wakiona mtu light skinned wanajua sio muafrika halisi ni chotara.....

this is ridiculous....which part of tanzania are you coming from???wake up brother,get out of that box....tannzania ya leo ina race zote...i think im wasting my time.....merry xmas
 
Hata ndani ya Bunge letu kuna watu wa jamii toka nje ya mipaka yetu.
 
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.

Tanzania sio nchi ya Wazungu, Wachina na vichotara, ni nchi ya Wabantu, for the preponderant part.

Kutukuza imagery za kichina na kizungu kwenye advertisement ya nchi ya kibantu ni ulimbukeni uliokithiri.

Tanzania kuna races zote?

Absolutely ridiculous.

Tanzania sio nchi ya race ya Kijapani au ya Kizungu!

Huwezi kwenda China au Uholanzi ukakuta wametangaza nguo za watoto wao kwa imagery za watoto wa Kigogo, never! Ever! It's neeever gonna happen. Lakini watu wa the lowest self esteem kama Watanzania tunatukuza fashion presentations za kigeni. Nadhani huwa wanatucheka sana.

[video=youtube_share;DB6DHubnF10]http://youtu.be/DB6DHubnF10[/video]
 
Siku mojamoja muwe mnapanda pipa kwenda hizi nchi za mnaowaita wazungu japo wao hawajui jina hilo, ukirudi hapa nchini utakuwa umeelimika hutaandika tena post kama hiyo uliyoandika leo, kukaa Bongo bila kutembea nao ni ulemavu wa kuelewa mambo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom